Hii Sasa ni shida SADC
hiv vitu Africa tulitakiwa tupambane pamoja.. hata kama interest sio ya nchi yako.. tunatakiwa tupambane kwa ajili ya interest ya African country mwenzetu.. sidhan kila nchi Africa inashindwa kutuma majeshi yake hapo kuweka usalama
