Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ninachofarijika ni kwamba ama kwa hakika watanzania tumemuombolezea Magufuli wetu inavyopasa

Dunia nzima imetambua Magufuli alikua nani kwa watanzania, haijawahi kutokea Africa nzima mtu kuombolezewa kama Magufuli, watanzania hakika tumempa heshima yake stahiki

Kingine nimefarijika zaidi ni namna katika uhai wake tulimuonesha wazi wazi kwamba tunampenda sana na kutambua wazi thamani yake kwetu, hatujamsifia mema yake akiwa tayari mfu bali angali anaishi hivyo aliondoka akijua moyoni watanzania wananipenda

Kaondoka Jina lake likiwa tayari linaenziwa kama Magufuli Bridge kule Morogoro, JPM Bridge Busisi, Magufuli City Dodoma, Magufuli Terminal Dar, Magufuli Annex Chamwino etc

Binafsi Mungu anijalie wa kiume na mimi niweze kumuenzi kwa aina yangu

Magufuli utabaki moyoni mwangu daima sababu toka nimepata akili sijawahi kumlilia binadamu mwenzangu namna nimekulilia, nimempoteza mama yangu mdogo niliekua nikimuuguza juzi kati lakini sijadondosha hata tone la chozi ila Magufuli nimekulilia toka nimepokea taarifa mpaka dakika hii.

Hujafa wala hutokaa ufe, unaishi kwenye fikra zetu Daima.
Kaka tuendelee kumuenzi Magu,huu ndo muda tunaotakiwa tuwe na mshikamano wa nguvu kubwa naamini tutaweza tulimpenda Ila mwenyez mungu alimpenda zaidi jikaze bro tuko pamoja siku zote
 
Ongoing construction of Uhasibu flyover.
IMG_20210328_122324_704.jpg
IMG_20210328_122323_285.jpg
IMG_20210328_122331_730.jpg
IMG_20210328_122336_889.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom