Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe pumbavu kweli! Ungejua Samia ni mtu wa JPM usingeongea umavi namna hii! Endelea na siasa zenu za ukabila!
magufuli was the anti corruption president but he let this guy stay in office? Now samia is suspending him for corruption.

So which one is it? Did magufuli tolerate corruption by letting the TPA guy stay in office? or is samia purging magufuli's people?

Good luck with the mental gymnastics as you try to hold on to your cognitive dissonance
 
Kuna watu wanasikia raha masuala ya wizi na rushwa yanavokuwa ndio headlines, bila kujua kwamba kuna vitu vingi tunavikosa kwa huu wimbo, Nampongeza mama lkn wale wapinzani wanataka kutumia hii km mbinu kutuanzishia kutuaminisha kwamba utawala uliopita ulikuwa nao una ubadhirifu sana. Huu ndio wimbo unaoiua Africa yetu, cha msingi hapo kuna vitu huwa havihitaji hesabu za mbali sana ila ni hesabu simple tu, Mf, Hata umpe mtu hela akujengee nyumba hapa bado kuna jero atakunywa maji tu, sasa wapinzani wanataka tuuimbe wimbo wa rushwa wee mpaka miradi mingine wasite kuja kwasababu hiyo. Wakufanya nchi ionekane safi ni sisi na wakufanya ionekane chafu pia ni sasa, Hapa Nampongeza sana Mh. Magu maana mkumbuke hili,
ILI KUONDOA RUSHWA AU WIZI NA UVIVU WE ZUNGUMZIA KUCHAPA KAZI TU.
ILI KUONDOA UJINGA ZUNGUMZIA ELIMU,
ILI KUONDOA HOFU ZUNGUMZIA UJASIRI,
ILI KUONDOA UADUI ZUNGUMZIA WEMA,

Sasa mkitaka turudi kule kwenye Ufisadi na Ubadhirifu tunajikaanga sana, nazungumzia kwa Wapinzani naona shauku yao ndio hiyo sana.
Lkn kwa aliye kwenye dola huo kwake niutekezaji safi sana.
wewe ni mpuuzi wa wapi kwani mama Samia si part ya Awamu ya tano? wacha kupotosha hebu muache afanye kazi yake!
 



ExkvjnvWUAg7Qeh



Exkvk38XIAAnI5I
 
Accountable kivipi? Ndio maana nikasema kwenye ardhi utakuta kuna matatizo lakini ukitrack back unakuta hilo kosa lilifanya hata wakati wa awamu ya pili au ya tatu sasa hapo utamuwajibisha nani? Kwenye hii wizara ndugu yangu kuna mambo mazito sna kuliko unavyodhani. Labda sema wewe ulitaka afanyeji ili aonekane amefanya kazi? Kuna watu wengine hawana utamaduni wa kijiproud sana wao ni kimya kimya tu.
Atoe japo tamko kuhusu ujenzi holela, je we unapenda huu ujenzi wa kipumbavu unaoendelea hapa nchini hasa Dar? Km hupendi je nani anayepaswa japo kukemea ujenzi wa aina hii km co waziri mwenye dhamana.

Ameshindwa japo kutoa tamko la kuzuia ujenzi wa namna hii ss utasemaje tumvumilie waziri goigoi km huyu? Hawezi kazi plus history yake ya upigaji nnayo so simkubali kabisa huyu mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sema unatokea Iringa basi sio unaanza siasa za kutetea upuuzi wa Lukuvi! Yaani migogoro yote inayorindima ya Ardhi jamaa kwa miaka mitano kashindwa kufukuza kazi maafisa ardhi? hata JPM alisema siku za karibuni mtu kama Lukuvi hawezi kumrithi...
Mm binafsi Iringa kunanihusu ila siwezi kumtetea waziri mzembe hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sema unatokea Iringa basi sio unaanza siasa za kutetea upuuzi wa Lukuvi! Yaani migogoro yote inayorindima ya Ardhi jamaa kwa miaka mitano kashindwa kufukuza kazi maafisa ardhi? hata JPM alisema siku za karibuni mtu kama Lukuvi hawezi kumrithi...
Umejuaje kama mimi natokea Iringa? Ina maana wewe unavyomtetea Jafo unatokea Kisarawe? We pinga au kubali hoja lakini hzo habari za we unatokea wapi tuachane nazo. Kwanza humu hatufahamiani zaidi ya utanzania wetu ndio unatuunganisha.
 
wacha wivu mshikaji mwache Jafo wewe unafikiri kujenga hospitali 92 na vituo vya afya 400+ ni kitu kirahisi enhee? na ukarabati wa shule kongwe? machinjio, stesheni za mabasi na masoko na dampo za manispaa? TARURA? miradii ya maboresho ya miji? kuwa na hati chafu ya halmashauri 8 kati ya 175+ si utendaji mbaya kiasi hicho!


Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
 
Umejuaje kama mimi natokea Iringa? Ina maana wewe unavyomtetea Jafo unatokea Kisarawe? We pinga au kubali hoja lakini hzo habari za we unatokea wapi tuachane nazo. Kwanza humu hatufahamiani zaidi ya utanzania wetu ndio unatuunganisha.
nimekuuliza swali jamaa yupo Ardhi miaka mitano na bado kuna madudu sijawahi kuona akifukuzwa Afisa Ardhi yeyote ni kipi kinakufanya kuona anafaa Umakamu Urais? Au unafikiri Umakamu Urais ni nafasi mchezo mchezo? na kwann apewe mzee kama Lukuvi? kwa lipi haswa?


 
nimekuuliza swali jamaa yupo Ardhi miaka mitano na bado kuna madudu sijawahi kuona akifukuzwa Afisa Ardhi yeyote ni kipi kinakufanya kuona anafaa Umakamu Urais? Au unafikiri Umakamu Urais ni nafasi mchezo mchezo? na kwann apewe mzee kama Lukuvi? kwa lipi haswa?
Kwa hiyo kigezo cha kuwa makamu wa rais lazima uwe umefukuza au kusimaisha watu kazi? Samia, Shein, Gharibu walifukuza au kumsimaisha nani ndio wakaqualify kuwa makamu wa rais? Hata hivyo hakuna mhali nimesema anafaa kuwa makamu wa raisi. Ninavyomjua JPM (RIP) kama Lukuvi angekuwa ha-perform kiasi hicho unachosema wewe angekuwa ameshambua kitambo sana au hata asingerudisha kwenye nafasi ya uwaziri. Mashamba mangapi makubwa ya serikali yamerudishwa kutoka kwa wamilki wasiyoyaendeleza, migogoro na mauaji ya wakulima na wafugaji bado unaisikia kama kipindi cha JK, Kuanzisha ofisi za kand a za ardhi kurahisisha upatikanaji wa hati za viwanja na mashamba, kuwahamisha maafisa ardhi waliokaa muda mrefu sehemu moja ili kuondoa chain ya ufisadi katika ardhi n.k n.k. Sema huyu jamaa hata kama ana mapungufu yake amjitahidi sana ila sio mtu wa kufanya kitu halafu akakimbilia kwenye media. HII WIZARA NI NGUMU HATA HUYOJAFO AKIENDA HAPA NDIO ANAWEZA ASITOBOE KABISA!
 
Wewe pumbavu kweli! Ungejua Samia ni mtu wa JPM usingeongea umavi namna hii! Endelea na siasa zenu za ukabila!
Sema wewe unapenda ukabila na ulimfurahia Magufuli sababu hiyo,jamaa hajaonesha chochote kinachoashiria ukabila wewe hayo mawazo umeyatoa wapi na bado mtu anampenda lukuvi unalazimisha ni mtu wa iringa. Mtu kama wewe ni hasara kwa hili taifa. Bado unawaza kukarabati shule kongwa ni mafanikio ya waziri?
 
Back
Top Bottom