Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Is that render au barabara iko nchi za ulaya huko??🤣🤣🤣🤣🤣 leta render yake hapa tucheke
kichaa hii si barabara, hii render dogo
images.jpeg
 
kuna account ya mkenya with over 130k followers ilipost picha magu kwenye jeneza lake, likaireport hio account twitter.. nashukuru leo wameifunga kbsa.. jaman tuendelee kureport accounts za hawa wakunya.. wengi wao wanatafuta followers/umaarufu kupitia ujinga kama huu
View attachment 1735683
Wakenya wako kama wanyama hawajastaharabika kabisa..
 
Mr Geza wewe ni IT expert, kweli kwa hii field yako unataka kuniambia hakuna mbinu inawezatumika kumtruck uyu mtu mkuu naomba unjuze
Kuna watu humu ndani wanaweza zaidi hata hints zinazotolewa zina mashiko waambie serikali waseme watatoa ngapi incase mtu anajitolea kumtafuta! Si zawadi nono kimaneno tuu! wasema nono $50,000 au $100,000 au $200,000 watu wamuibue!
 
Mr Geza wewe ni IT expert, kweli kwa hii field yako unataka kuniambia hakuna mbinu inawezatumika kumtruck uyu mtu mkuu naomba unjuze
Mimi kuna mjinga mmmoja alini-bore wakati flani nika-hack facebook yake account nikaweka picha zake na familia yake Kilichotokea nikala-ban na jamaa akabadilisha username yake! Walio JF kwa muda wanajua hili tukio la siku nyingi lakini!
 
Back
Top Bottom