Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu mradi ukichunguzwa vzr una viashiria vya ufisadi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa Sino ni takataka kabisa, Gondwe kashakuta madudu ya kutisha kwenye kazi yao mbovu, uchelewa na nyufa kwenye mradi nashangaa bado wanalelewa

Sasa hiyo permanent terminal ipo stage gani sababu tumeshaanza kummiss Magufuli mapema sana.
 
Kutovaa barakoa kashatuma ujumbe tosha.
Mabeberu walitegemea baada ya kifo cha JPM na kuingiza propaganda ni covid imemuondoa sasa Tanzania nzima wangekua kwenye lock down, barakoa, sanitizer na mpango wa maandalizi ya vaccination upo kwenye kasi ya 5G

Wamepigwa kwanza na butwaa kwenye hilo nyomi la waombolezaji maelfu kwa maelfu ya watanzania tunamlilia shujaa wetu bila uoga wowote wa covid

Wamepigwa na butwaa family yote ya JPM, viongozi wa vyombo vya ulinzi na Rais hawana habari na protocols za covid

Yaani mpaka saivi wamechanganyikiwa wanasema hawa watu wa aina gani hawa?
 
Sio vzr kuongea mambo ya watu ila kuna jamaa yangu alinipa story moja hv kitambo kidogo, yeye alikuwa dereva nyumbani kwa Lukuvi, anakuambia kuna wakati alikuwa anamsikia anaongea na simu anasema "hii dili yule mkuda asijue ataharibu" huyo mkuda wanayemzungumzia ni Magufuli enzi hizo akiwa waziri wa ujenzi.

Unaambiwa hiyo ilikuwa michongo ya dili za dawa za kulevya makontena yanaingia, lkn kuna ishu zingine Magu alikuwa anasema "mama yangu hii hapana Mungu hapendi" japo jamaa aliniambia kuna dili ambazo Magu alikuwa anazikubali lkn zingine alishindwa kabisa kuvumilia na ndiyo maana baadhi ya mawaziri wakawa kama wanamkataa, kumbuka enzi hizo Magu ni waziri.

Jamaa yangu aliniambia Lukuvi alikuwa anarudi na mabegi ya pesa kila siku kwa dili haramu walizokuwa wanapiga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijawahi skia Afisa Ardhi kafutwa kazi pamoja na migogoro lukuki!
 
Kuna mtu naona kaanzisha uzi ujenzi wa daraja la busisi Raisi ausimamishe, kwa maelezo yake anadai hauna faida.
 
Back
Top Bottom