Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio vzr kuongea mambo ya watu ila kuna jamaa yangu alinipa story moja hv kitambo kidogo, yeye alikuwa dereva nyumbani kwa Lukuvi, anakuambia kuna wakati alikuwa anamsikia anaongea na simu anasema "hii dili yule mkuda asijue ataharibu" huyo mkuda wanayemzungumzia ni Magufuli enzi hizo akiwa waziri wa ujenzi.

Unaambiwa hiyo ilikuwa michongo ya dili za dawa za kulevya makontena yanaingia, lkn kuna ishu zingine Magu alikuwa anasema "mama yangu hii hapana Mungu hapendi" japo jamaa aliniambia kuna dili ambazo Magu alikuwa anazikubali lkn zingine alishindwa kabisa kuvumilia na ndiyo maana baadhi ya mawaziri wakawa kama wanamkataa, kumbuka enzi hizo Magu ni waziri.

Jamaa yangu aliniambia Lukuvi alikuwa anarudi na mabegi ya pesa kila siku kwa dili haramu walizokuwa wanapiga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio walioifanya Tanzania kuwa shamba la bibi dahh
 
kabla mega projects kuisha ngependa mama samia ajitahidi kumalizia vyuo vya veta nchi nzima na reliable heath centers nchi nzima( kitu ambacho mpka sas tunaongoza E.africa nzima halina ubishi).ili zikiisha tuu na vyeo tunapanda kua logistics and power hub. with industrial agenda and high level of literate citizens ata blue collor jobs zitapungua hence better GNI, investors due to favorable factors na political stability. alafu funga kazi itakua bima ya afya kwa kila mtanzania. tukifanikiwa hii strategy itakua win win kwamba tumetekeleza international projects na at the same time tumeinua kila mtanzania locally
sasa next phase iwe better housing na servicing sectors. (after world war II Germany embarked on science na mpka leo wanaaminika na products zao e.g vw)
 

President Samia hits the ground running, suspends Tanzania Ports Authority boss​



SUNDAY MARCH 28 2021​

samia piccc

Summary

President Hassan said she had seen the massive embezzlement that has been conducted at TPA and ordered the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) to take up the task as a matter of urgency.

The citizen pic

By The Citizen Reporter
More by this Author

Dar es Salaam. President Samia Suluhu Hassan has on Sunday, March 28 suspended the Director General of Tanzania Ports Authority (TPA) Mr Deusdedit Kakoko after the institution was adversely mentioned in the report of the Controller and Auditor General (CAG).

This came up when the President was receiving the CAG’s audit reports for the financial year 2019/20 at State House in Dodoma.

President Hassan said she had seen the massive embezzlement that has been conducted at TPA and ordered the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) to take up the task as a matter of urgency.

At one point, President Hassan said, the Prime Minister, Mr Kassim Majaliwa had formed a committee to probe what had been happening at the port and some action was taken.

“But from the report that you submitted to me yesterday, at least Sh3.6 billion had been embezzled at TPA…..When the Prime Minister conducted a probe, we only managed to fire junior staff. I now order the suspension of TPA Director General to pave way for investigations into the embezzlement,” she said.

In December last year, Mr Kassim Majaliwa suspended two officials of TPA to pave the way for investigations over accusations of embezzlement of public funds.

The suspended officials were Finance director, Ms Nuru Mhando, and the Financial Expenditures manager, Ms Witness Mahela.

He said one of TPA’s unsatisfactory practices that deprive the government of revenues was the tax exemption of more than Sh2 billion granted to Mbeya Cement despite rejection of the proposed exemption by the Special Committee.

The meeting – held at the TPA offices – was also attended by the director of criminal investigations (DCI), Robert Boaz, and the director general of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), Brigadier General John Mbungo.

Mr Majaliwa said it was unusual that TPA approved the payment of Sh8.2 billion to Kigoma Port for various payments while the limit of the port was Sh7.4 billion.

President Suluhu said on Sunday, March 28, 2021 that sternaction will be taken against heads of other public entities, including Air Tanzania Company Limited (ATCL) that had been adversely mentioned in the CAG’s report.

Mr Kakoko was confirmed as TPA Director General in October 2018 after working in the position in the acting capacity for a long time.

He replaced Awadhi Massawe who was fired along with the then permanent secretary in the transport ministry, Shaaban Mwinjaka by former President John Magufuli following the disappearance of over 2,700 shipping containers at the port.

 
A low human development index but blinded by patriotism to a fault.....The world is sprinting while you are walking

Screenshot_20210328-132635_Opera Mini.jpg


Screenshot_20210328-132645_Opera Mini.jpg


Screenshot_20210328-132656_Opera Mini.jpg
 
kuna kichwa nakikubali kinaitwa william lukuvi uyu akipewa kua VP mbona nchi itanyooka zaidi ata ya hayati Dr jpm.
pili wizara ya fedha na ya mambo ya nje(napenda kuziita crucial ministries) ipo na vichwa imara mpango na kabudi respectively.
mama samia atakua kama Angela Merkel.

nnacho hofia ni kupata visionary leader unlike magu, labda wanaotengeneza ilani ya chama wawe na visionary projects n agenda.
WATANZANIA WENZANGU, kwa tukio la hotuba ya leo + udaku wa kigogo nimeconnect dots na kuconclude awamu inayofuata "MUNGU ATUJALIE RAISI ALIEWAHI KUWA NA CHEO KIKUBWA JESHINI" something ike Kagame. Hapo ndio tutajitahidi kulinda siri za serikali yetu
 
Huyu Adesanya ni noma alafu kuna yule demu kama dume yule Mnigeria kila siku anawapiga wenzake, akikutia loba hutoki

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ivi waziri wa tamisemi ndio jafo. ripoti ya CAG inaonyesha kuna mpunga mrefu tuu unapotea..
nahisi kuna siku kama skosei ulishalaumu hii tamisemi kutojiendesha kiufasaha ila ulipitia kwa juu juu sasa naona madudu yanaibuka.
 
WATANZANIA WENZANGU, kwa tukio la hotuba ya leo + udaku wa kigogo nimeconnect dots na kuconclude awamu inayofuata "MUNGU ATUJALIE RAISI ALIEWAHI KUWA NA CHEO KIKUBWA JESHINI" something ike Kagame. Hapo ndio tutajitahidi kulinda siri za serikali yetu
Hapana mkuu, cha msingi serikali isifanye mzaha iwe serious cz wanaovujisha siri unadhani ni kina nani kama sio usalama?

Rais afanye mageuzi makubwa kwenye hiyo idara asicheke kabisa na ni aibu mno, haiwezekani mtu akaongea mambo anayotaka kufanya Rais alaf yanafanyika kweli, usalama wajitafakari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom