Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aawapii kafanya nn meaningful zaidi ya porojo! nakumbuka alihaidi kupima ardhi nchi nzima na kuipa hati na kuwa na Landuse database for the whole country! Ila wapii hamna kitu mpaka sasa!? katika watendaji wabovu wa baraza la Mawaziri ni yeye!
Mkuu moja ya wizara ambazo ni ngumu hapa tz ni hii ya ardhi. Hii wizara according to Jakaya Kikwete hata Magufuli mwenyewe akiwa waziri wa ardhi during the Kikwete administration alikiri kuwa hii wizara ni ngumu sana. Mi siwezi kumuhukumu Lukuvi kwamba ni mzembe maana yeye ni waziri na maono na mipango ya wizara yake yake lazima ayapeleke kwa baraza la mawaziri na kwa rais pia. Hivyo inategemea na uwezo wa serikali katika kugharamia hiyo mipango hata kama ni mizuri vp.

Ila tuseme tu ukweli bila kuwa biased Lukuvi amejitahidi sana kutatua masuala mbalimbali ya ardhi ikiwemo migogoro ya wafugaji na wakulima hapa nchini. Hii wizara ina mambo mengi na madudu mengi sana yaliyosababishwa na serikali za awamu zilizopita ambayo kuyarekebisha itachukuwa muda mrefu sana na kwa gharama kubwa.
 
Mabeberu walitegemea baada ya kifo cha JPM na kuingiza propaganda ni covid imemuondoa sasa Tanzania nzima wangekua kwenye lock down, barakoa, sanitizer na mpango wa maandalizi ya vaccination upo kwenye kasi ya 5G

Wamepigwa kwanza na butwaa kwenye hilo nyomi la waombolezaji maelfu kwa maelfu ya watanzania tunamlilia shujaa wetu bila uoga wowote wa covid

Wamepigwa na butwaa family yote ya JPM, viongozi wa vyombo vya ulinzi na Rais hawana habari na protocols za covid

Yaani mpaka saivi wamechanganyikiwa wanasema hawa watu wa aina gani hawa?
Ile propaganda ya kusema Magu kafa kwa covid imepigwa mweleka na mambo yote yaliyofanyika kwenye msiba
 
Mkuu moja ya wizara ambazo ni ngumu hapa tz ni hii ya ardhi. Hii wizara according to Jakaya Kikwete hata Magufuli mwenyewe akiwa waziri wa ardhi during the Kikwete administration alikiri kuwa hii wizara ni ngumu sana. Mi siwezi kumuhukumu Lukuvi kwamba ni mzembe maana yeye ni waziri na maono na mipango ya wizara yake yake lazima ayapeleke kwa baraza la mawaziri na kwa rais pia. Hivyo inategemea na uwezo wa serikali katika kugharamia hiyo mipango hata kama ni mizuri vp.

Ila tuseme tu ukweli bila kuwa biased Lukuvi amejitahidi sana kutatua masuala mbalimbali ya ardhi ikiwemo migogoro ya wafugaji na wakulima hapa nchini. Hii wizara ina mambo mengi na madudu mengi sana yaliyosababishwa na serikali za awamu zilizopita ambayo kuyarekebisha itachukuwa muda mrefu sana na kwa gharama kubwa.
Ni hivi sijawahi skia Afisa Ardhi held accountable na huyu unayemtetea!
 
mkuu ivi waziri wa tamisemi ndio jafo. ripoti ya CAG inaonyesha kuna mpunga mrefu tuu unapotea..
nahisi kuna siku kama skosei ulishalaumu hii tamisemi kutojiendesha kiufasaha ila ulipitia kwa juu juu sasa naona madudu yanaibuka.
Mara nyingi sana huwa siwaamini viongozi waongeji sna linapokuja kwenye utendaji kazi. Huyu jafo japo anajitanabahisha kuwa mpambanaji lakini huwa sina trust sana naye. Yupo kisiasa sana kuliko kiutendaji na uajibikaji.
 
Ni hivi sijawahi skia Afisa Ardhi held accountable na huyu unayemtetea!
Accountable kivipi? Ndio maana nikasema kwenye ardhi utakuta kuna matatizo lakini ukitrack back unakuta hilo kosa lilifanya hata wakati wa awamu ya pili au ya tatu sasa hapo utamuwajibisha nani? Kwenye hii wizara ndugu yangu kuna mambo mazito sna kuliko unavyodhani. Labda sema wewe ulitaka afanyeji ili aonekane amefanya kazi? Kuna watu wengine hawana utamaduni wa kijiproud sana wao ni kimya kimya tu.
 
ExlN0lBUcAAHDRs

ExlN3H9U4AEzC7e
 
Mara nyingi sana huwa siwaamini viongozi waongeji sna linapokuja kwenye utendaji kazi. Huyu jafo japo anajitanabahisha kuwa mpambanaji lakini huwa sina trust sana naye. Yupo kisiasa sana kuliko kiutendaji na uajibikaji.
wacha wivu mshikaji mwache Jafo wewe unafikiri kujenga hospitali 92 na vituo vya afya 400+ ni kitu kirahisi enhee? na ukarabati wa shule kongwe? machinjio, stesheni za mabasi na masoko na dampo za manispaa? TARURA? miradii ya maboresho ya miji? kuwa na hati chafu ya halmashauri 8 kati ya 175+ si utendaji mbaya kiasi hicho!
 
Accountable kivipi? Ndio maana nikasema kwenye ardhi utakuta kuna matatizo lakini ukitrack back unakuta hilo kosa lilifanya hata wakati wa awamu ya pili au ya tatu sasa hapo utamuwajibisha nani? Kwenye hii wizara ndugu yangu kuna mambo mazito sna kuliko unavyodhani. Labda sema wewe ulitaka afanyeji ili aonekane amefanya kazi? Kuna watu wengine hawana utamaduni wa kijiproud sana wao ni kimya kimya tu.
sema unatokea Iringa basi sio unaanza siasa za kutetea upuuzi wa Lukuvi! Yaani migogoro yote inayorindima ya Ardhi jamaa kwa miaka mitano kashindwa kufukuza kazi maafisa ardhi? hata JPM alisema siku za karibuni mtu kama Lukuvi hawezi kumrithi...
 
Kuna watu wanasikia raha masuala ya wizi na rushwa yanavokuwa ndio headlines, bila kujua kwamba kuna vitu vingi tunavikosa kwa huu wimbo, Nampongeza mama lkn wale wapinzani wanataka kutumia hii km mbinu kutuanzishia kutuaminisha kwamba utawala uliopita ulikuwa nao una ubadhirifu sana. Huu ndio wimbo unaoiua Africa yetu, cha msingi hapo kuna vitu huwa havihitaji hesabu za mbali sana ila ni hesabu simple tu, Mf, Hata umpe mtu hela akujengee nyumba hapa bado kuna jero atakunywa maji tu, sasa wapinzani wanataka tuuimbe wimbo wa rushwa wee mpaka miradi mingine wasite kuja kwasababu hiyo. Wakufanya nchi ionekane safi ni sisi na wakufanya ionekane chafu pia ni sasa, Hapa Nampongeza sana Mh. Magu maana mkumbuke hili,
ILI KUONDOA RUSHWA AU WIZI NA UVIVU WE ZUNGUMZIA KUCHAPA KAZI TU.
ILI KUONDOA UJINGA ZUNGUMZIA ELIMU,
ILI KUONDOA HOFU ZUNGUMZIA UJASIRI,
ILI KUONDOA UADUI ZUNGUMZIA WEMA,

Sasa mkitaka turudi kule kwenye Ufisadi na Ubadhirifu tunajikaanga sana, nazungumzia kwa Wapinzani naona shauku yao ndio hiyo sana.
Lkn kwa aliye kwenye dola huo kwake niutekezaji safi sana.
 
wacha wivu mshikaji mwache Jafo wewe unafikiri kujenga hospitali 92 na vituo vya afya 400+ ni kitu kirahisi enhee? na ukarabati wa shule kongwe? machinjio, stesheni za mabasi na masoko na dampo za manispaa? TARURA? miradii ya maboresho ya miji? kuwa na hati chafu ya halmashauri 8 kati ya 175+ si utendaji mbaya kiasi hicho!
Mh, alisema nimejifunza kuto msifu mtendaji anayefanya vizuri, hii ni Second warning that means yuko vizur kuna vitu vya kurekebisha hii ni heri kwake kwasababu ameaminiwa tena.
That's wisdom
 
Back
Top Bottom