Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Hata Ndejembe nae alikua nayo kila siku kama Bashe vile, leo sijui kaiweka wapi!Kwenye Mazishi ya Magu,Jafo allikuwa amevaa,leo sijamuona akiwa nayo, nahisi alinyoshewa kidole
Hata Ndejembe nae alikua nayo kila siku kama Bashe vile, leo sijui kaiweka wapi!Kwenye Mazishi ya Magu,Jafo allikuwa amevaa,leo sijamuona akiwa nayo, nahisi alinyoshewa kidole
Kweli kabisa, alionesha namna gani ni dhaifu
Naona ushanielewaHe he heee
naskia marehemu alipenda sana kupiga kuni asubuhi😬😬🏃I miss you JPM, I spent more than a half an hour looking at this picture I don't know why.
I wish leo ungepokea ile report, kuna maneno yako huwa unayaongea ambayo huwa husomi sehemu yanatoka kichwani na hukosei, mic u dadyView attachment 1737226
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaangaika sanaNaona ushanielewa
naskia marehemu alipenda sana kupiga kuni asubuhi![]()
Fanya heshima na marehemu kijana.aliwahi kukuomba au??
We na wewe kumbe unatatizo la kutosoma post ukaielewa, point yangu wapinzani wanataka tuanze kuimba nyimbo za ufisad km awamu zilizopita, usichoelewa nn au point yako ni ipi?wewe ni mpuuzi wa wapi kwani mama Samia si part y a Awamu ya tano? wacha kupotosha hebu muache afanye kazi yake!
Wanaopenda mambo ya uchumi
Hilo tatizo nililiona jana! Alikuwa anapata kigugumizi,yaani aliandikiwa hivi!I miss you JPM, I spent more than a half an hour looking at this picture I don't know why.
I wish leo ungepokea ile report, kuna maneno yako huwa unayaongea ambayo huwa husomi sehemu yanatoka kichwani na hukosei, mic u dadyView attachment 1737226
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah km umeniongelea yaniI miss you JPM, I spent more than a half an hour looking at this picture I don't know why.
I wish leo ungepokea ile report, kuna maneno yako huwa unayaongea ambayo huwa husomi sehemu yanatoka kichwani na hukosei, mic u dadyView attachment 1737226
Sent using Jamii Forums mobile app
Anapotosha nini sasa? Anaongea ukweli. Wapinzani watatumia hi kama lope hole ku degrade kazi ya JPM... mzee alikua mchapakazi kweli sema watu aliokua akifanya nao kazi wengine bado hawa kuwa wa adilifu lakini isiwe sababu ya ku down play what he didwewe ni mpuuzi wa wapi kwani mama Samia si part y a Awamu ya tano? wacha kupotosha hebu muache afanye kazi yake!
Mna papara utafikiri mnataka kuzaa!Anapotosha nini sasa? Anaongea ukweli. Wapinzani watatumia hi kama lope hole ku degrade kazi ya JPM... mzee alikua mchapakazi kweli sema watu aliokua akifanya nao kazi wengine bado hawa kuwa wa adilifu lakini isiwe sababu ya ku down play what he did
Uchambuz mzrWanaopenda mambo ya uchumi