Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni vile drone iko juu huwezi ona vizuri ni kubwa sana na chini zimepita Tatu wacha natafuta picha bora
Hakuna picha bora ya pangani utaleta cz imeshaletwa humu mara kibao kabla haijaanza kuitwa 3level[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii ishu somalia hana chake sababu hata akishinda mahakamani sidhani kama kenya watamuachia amiliki hilo eneo la bahari. Kwa kenya ni rahisi zaidi kuidhibiti somalia kwa nguvu kuliko kufungua kesi kama hiyo dhidi ya Tanzania kudai eneo la bahari wakati alishakuwa nalo kabla. Sioni jumuiya ya kimataifa ikiwa upande wa somalia kwa maamuzi yoyote yale ambayo kenya atayachukua ukizingatia pia ni mshirika mkubwa wa marekani na uingereza ukanda huu.
 
Venus Star ndio hii hapa e-citizen. Tuna offer services nyingi online na pia baada ya kuapply, unaweza kulipa kwa kutumia Mpesa. Kwa hivyo unaweza kuapply hizi services zote na kuzilipia bila kutoka nyumbani.
 
Good analysis lakini Watanzania watakupinga kwa sababu ya chuki yao kwa Kenya.
 
Venus Star ndio hii hapa e-citizen. Tuna offer services nyingi online na pia baada ya kuapply, unaweza kulipa kwa kutumia Mpesa. Kwa hivyo unaweza kuapply hizi services zote na kuzilipia bila kutoka nyumbani.
Sijaona, Passport, Visa, Permit
Vitu ambavyo Tanzania vomafanyika online kweni hakuna.

By the way Birth and Dirty certificate ni service integrated kwenye hospitals.
Huwezi ukasajili Dirth au Birth without verification and Validation.
 
Hii ndio kitu mumejenga zaidi ya miaka 10😆😆 yani haijafkia hata 1% of render ya tatu city au nadanganya
 
Wacha upumbavu kwahiyo kwavile ni rahisi Kenya kuimiliki Somalia kwahiyo unahalalisha wizi?Watu mnaongelea border ya Tanzania na Kenya as if border ya Tanzania na Mozambique ipo straight!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…