Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sikilizeni hii video. Haki Wabunge wa Uganda wamelia kuhusu Kenya hadi nimehisi huruma.

Cc ichoboy01 Geza Ulole The best 007 tuusan

We chekelea that Uganda can finya Kenya big time if they block u from using their land to reach DRC, Rwanda and Burundi ! Mind u they can choose to use central corridor too! BTW mnawapa reason to invest heavily in Tanga!
 
Hhahaha. Uganda hawana ubavu huo. Wewe huoni jinsi wanatuogopa? Wabunge wao wanaongea kwa uwoga sana. Hata speaker wa bunge machozi yanamlenga lenga machoni. Lakini nimehisi huruma wao ni watu wazuri. Hatungeban mahindi yao maana wao wana uchumi mdogo na huwa hawatupigii kifua kama nyinyi. Nyinyi ndio mnastahili kufunzwa nani ni baba wa eneo hili. Hilo ban lilikuwa linawalenga nyinyi sio Uganda.
 
Kenya ndio huwa inarusha makonde kwa majirani, hakuna siku majirani wamepata ubabe wa kulianzisha. Sisi ndio huwa tunalianzisha kila siku maana tuna ubavu huo na uwezo huo. Tanzania hata this time haikulipiza kisasi. Hio ni evidence tosha nani ndio superpower ukanda huu. Lakini kwa upande mwingine ni vizuri Kenya iwache ubabe iishi kwa amani na majirani zake. Sio vizuri maana hizi trade war zinaweza kuback-fire.
 
Baba wa eneo hili ni Tz au hautaki mbona mmeondoa sasa mtakufa njaa.
 
Kenya ndio huwa inarusha makonde kwa majirani, hakuna siku majirani wamepata ubabe wa kulianzisha. Sisi ndio huwa tunalianzisha kila siku maana tuna ubavu huo na uwezo huo. Tanzania hata this time haikulipiza kisasi. Hio ni evidence tosha nani ndio superpower ukanda huu. Lakini kwa upande mwingine ni vizuri Kenya iwache ubabe iishi kwa amani na majirani zake. Sio vizuri maana hizi trade war zinaweza kuback-fire.

nakutafutia video/GIF ambayo kuna mtu anarusha ngumi nyingi afu mwisho wa siku kapigwa moja tu chali
 
Nairobi 1958., Moi Avenue, Archives.
FB_IMG_16155196459267615.jpg
 
Kama kukopa kulileta nafuu ya maisha kwa watu kuna shida gani?

Kukopa na kujenga miradi ya kipuuzi isiyo na tija wala kuchochea uchumi kuna maana gani?

Kuna serikali iliyokopa kama hii baada ya Nyerere? Na mnakopa kujenga ushuzi huko Chato mara stendi mara ndege mara madaraja ya kuvuka maziwa

Kwa hiyo hiyo ndio scale of preference yenu ,reasoning yenu iko based kwenye emotions na feelings kuliko kufanya economic thinking

We don't eat madaraja and such upuuzi tunataka ajikite kwenye welfare economics..

Afu na wewe mchumi feki kasome Behavioral economics ikusaidie kudhibiti mihemko wakati wa kujenga hoja za kiuchumi
Bado ni mjinga anae ishi kwenye emotional instead of deep thinking
 
Kenya ndio huwa inarusha makonde kwa majirani, hakuna siku majirani wamepata ubabe wa kulianzisha. Sisi ndio huwa tunalianzisha kila siku maana tuna ubavu huo na uwezo huo. Tanzania hata this time haikulipiza kisasi. Hio ni evidence tosha nani ndio superpower ukanda huu. Lakini kwa upande mwingine ni vizuri Kenya iwache ubabe iishi kwa amani na majirani zake. Sio vizuri maana hizi trade war zinaweza kuback-fire.
Slogan tuliyotumia hapa ni "Chizi akikunyang'anya taulo usimkimbize, nenda chumbani kavae nguo"
 
jitihada za mtu siku zote ndiyo humnyanyua endelea kujidanganya kwa kujifurahisha....
evidence huna,kama una pesa andaa show kisha muite uone atakutoa kiasi gani cha pesa,

kwanini wasiwekwe sauti soul...?,,,,,kisha radio tukaiipa jina la SAUTO SOUL FM
Bwahahaha!!umekasirika, wasafi inawenyewe mzee baba..
Kuna visiki pale vimekaa pembeni vinapiga hela pole pole

CEO katika kampuni kwn ndio nn, kumbe hamjui lebels zinavyofanya kazi..
Ni pm nikundishe kiasi
 
Kwa sababu wakenya wanamuogopa Magufuli kuliko wanavyomuogopa Mungu wao
Imeingia hyo, na bado kisha..
Atapata tabu sana, naona mwisho aki delete account yake ya twitter km alivyofanya uhuru..

Wakenya km unafanaya kitu wao wanaku zoom tu alafu badae wanakuja kukupiga nacho
 
Zuchu toka atoke hajawahi perform njeya Tanzania na hakuna mwanamuziki yeyote Kenya anaemfikia

Shows za tumewasha tu countrywide huwezi linganisha na show yoyote Kenya, Tanzania kila kitongoji wanajimudu kulipa mkwanja wowote kwenye show ya msanii yoyote, Kenya msanii wa kikikuyu frequency zake mwisho ukikuyu
Hamna hela yyte nyie, show za ndani mnalipana peanuts kabisa aisee..
Diamond mwnywe analijua hilo, wasaanii wenu show za ndani tsh 10m per show ni balaa alafu uje ulinganishe na show za ndani kenya
 
Hamna hela yyte nyie, show za ndani mnalipana peanuts kabisa aisee..
Diamond mwnywe analijua hilo, wasaanii wenu show za ndani tsh 10m per show ni balaa alafu uje ulinganishe na show za ndani kenya
By the way wasanii wetu wanafanya show mpaka ulaya na marekani.
 
Hebu peleka ufala wKo uko ,hujui kitu kaa kimya pungu wewe
Mbona unalialia jomba, au unafikiria wale wazee pembeni wameenda kukenua meno tu
Na msiombe isambaratike manake kuna watu kusaga meno, heri yule kinonge kaamua kujinasua mepema wengine wao bado wanapumbazwa tu ndio ili watumiwe vizuri..
 
Back
Top Bottom