mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,516


yaani hii dunia ukiwa huna dira hakuna upande ambao hutapelekwa.wakisikia tumebana kona tunasoma upepo kwanza wanatuona hatujasoma

.

yaani hii dunia ukiwa huna dira hakuna upande ambao hutapelekwa.
.Hivi wakulungwa hizi number plate huwa wanaandika kwa Brush la mkono?
View attachment 1720775
View attachment 1720776
failed stateBodaboda wa Kenya huwa wamekuwa kama vigilante. Yaani ukiwa unaendesha gari omba Mungu usigonge mmoja wao. Maana ukigonga mmoja wao wanakuja wengi kama nzi wanataka kukupiga.
Kwa hivyo hujui idadi kamili?zaidi ya 35.
Nyinyi ni jirani zetu ndio maana tunafuatilia mambo yenu kwa karibu. Kwani ulikuwa unadhani sisi tutafuatilia mambo ya North Korea kushinda mambo ya Tanzania?Any thing about Magufuli is big News in Kenya, kweli Magufuli ni rais wa Tanzani na Kenya kwa pamoja, wakenya mnafuatilia habari za Magufuli kuliko habari za kiongozi yeyote duniani kwa sasa
Failed state Indeed 🙂Bodaboda wa Kenya huwa wamekuwa kama vigilante. Yaani ukiwa unaendesha gari omba Mungu usigonge mmoja wao. Maana ukigonga mmoja wao wanakuja wengi kama nzi wanataka kukupiga.
Failed state ambayo ina GDP kubwa kuwashinda.failed state
failed state !!!Failed state ambayo ina GDP kubwa kuwashinda.
nimesoma shuleni zaidi ya miaka 17 iliyopita kulikuwa na mikoa 26.Kwa hivyo hujui idadi kamili?
Failed state ambayo ina Gdp kubwa kuwashinda.Failed state
Failed state ambayo ina GDP kubwa kuwashinda.

kuna nchi yenye GDP kubwa kama nigeria hapa africa!!!!zaidi ya 35.
Imebidi niende google maana isipokuwa wewe uliyejaribu, Malazy wengine ni vilaza wasiojua chochote kuhusu nchi yao.nimesoma shuleni zaidi ya miaka 17 iliyopita kulikuwa na mikoa 26.
baada ya hapo imekuwa ikigawanywa ile mikubwa zaidi,na kuzaliwa mikoa mingine.
kwahiyo unataka zawadi gani???Imebidi niende google maana isipokuwa wewe uliyejaribu, Malazy wengine ni vilaza wasiojua chochote kuhusu nchi yao.
Tanzania ina mikoa 31 sasa hivi
View attachment 1723468
Failed state ambayo ina Gdp kubwa kuwashinda.
Vipi Nigeria ukilinganisha na SAkuna nchi yenye GDP kubwa kama nigeria hapa africa!!!!




mpumbavu huyo anajibu jibu tu.Vipi Nigeria ukilinganisha na SA![]()
Nafikiri ushajijibu kuhusu GDP za kiafrika.Nigeria inatuaibisha. Nchi kubwa lakini inagenerate 5,000 MW pekee. Blackouts kila siku. Wananchi wengi wanatumia generator.
nigeria wala sio kubwa kieneo,haipishani na TZ sana.Nigeria inatuaibisha. Nchi kubwa lakini inagenerate 5,000 MW pekee. Blackouts kila siku. Wananchi wengi wanatumia generator.

.Nikisema Nigeria ni kubwa namaanisha in terms of Gdp na population. Hata kieneo sio ndogo sana.nigera wala sio kubwa kieneo,haipishani na TZ sana.
wao wana watu wengi tu hiyo ndio tofauti yao na sisi.ndio maana sisi tunahangaika kuzalisha umeme zaidi.
ajabu anakuja mpuuzi mmoja kutoka kenya anasema umeme utazalishwa mwingi ukose matumizi.