Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii nchi kwakweli inatia aibu jamani, yn mm ningekuwa mkunya wala nisingekuwa nacoment kuhusu serikali mana ni kujiaibisha, hata wiki haijaisha[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1723266
Ni aibu Kua mkunya[emoji849]
Screenshot_20210312-084846_DuckDuckGo.jpg
 
Wasafi ina wenyewe mzee baba, yule kawekwa tu awapumbaze watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jitihada za mtu siku zote ndiyo humnyanyua endelea kujidanganya kwa kujifurahisha....
evidence huna,kama una pesa andaa show kisha muite uone atakutoa kiasi gani cha pesa,

kwanini wasiwekwe sauti soul...?,,,,,kisha radio tukaiipa jina la SAUTO SOUL FM[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom