Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,301
- 2,126
Imekaa kipropaganda zaidi na mengi yaliyopo humo tayari tunayajua. Document ambayo ni confidential sio lazima iwe private. Sasa hiyo private kwa watu gani?. Hiyo document inatoa taarifa kwa general public wakati huo huo imeandikwa confidential, ni mambo ya ajabu.



