NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,975
Unahitaji kumfuata Magufuli hospitalini Nairobi.Zuchu toka atoke hajawahi perform njeya Tanzania na hakuna mwanamuziki yeyote Kenya anaemfikia
Shows za tumewasha tu countrywide huwezi linganisha na show yoyote Kenya, Tanzania kila kitongoji wanajimudu kulipa mkwanja wowote kwenye show ya msanii yoyote, Kenya msanii wa kikikuyu frequency zake mwisho ukikuyu

