Mbona unatumia nguvu nyingi mzee baba, jaribu hata kidogo kutumia na ubongo wako kiasi..
Haya mambo hayahitaji papara jomba, tatizo lako hujui record labels na induztry ya mziki huaga zinafanyaje kuingiza hela..
Mziki hela yake inaingia lkn ujue ina mafungu kibao especially kwa wasanii wakubwa na lebels kubwa kubwa duniani..
Jaribu hata kujifunza kidogo basi kuhusu mziki ndio angalau utoke matongotongo machoni..
Usione msanii anatamba basi ukafikiria eti ni kw juhudi zake pekeake, kuna watu nyuma ya pazia ndio wamemueka pale na wanawekeza mpunga wa maama kw ajili yake..
Ni pm we mwehu nije nikutoe ujinga