komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Km hukuelewa uliza, enhe!!ni kweli ya kwamba kanisani mara hii hakuonekana mtakatifu jiweOna ulivyo ndezi![]()
Km hukuelewa uliza, enhe!!ni kweli ya kwamba kanisani mara hii hakuonekana mtakatifu jiweOna ulivyo ndezi![]()
Emu weka swali lako vizuri mjombaMaguZen let me ask you, btn Magu and Uhuru who's the most famous than the other?
Mpost tumuome mzee baba, swala la official source bongo zii..Leta official source inayosema dereva aliekufa aliuliwa ukipata tag me nifunge acc sasa hvi
Km hukuelewa uliza, enhe!!ni kweli ya kwamba kanisani mara hii hakuonekana mtakatifu jiwe
Nikimjua ndio atanisaidiaje.










Kipi hujaelewa.MaguZen let me ask you, btn Magu and Uhuru who's the most famous than the other?
Tatizo mumeweka mitambo ya huduma 2020, kwhyo bado tumewazidi...sisi mitambo yetu iliwekwa kitambo sasa hapo anayejitekenya naniHata ingekua munalipia mark my words hapo mungefika 2040![]()
Mbona unachanganya ma file, nikweli baba jesicca hakwenda kanisani badala yake akasali nyumbani..
Kwanza ukiangalia followers wa yule msanii wao mkubwa twitter utacheka mzee baba...Wakenya kwenye twitter tuko vizuri, huo ndio ukweli hata sijui unacheka nini. Uhuru alikuwa na followers wengi kushinda rais yeyote ukanda huu kabla ya kutoroka twitter kwa kichapo alichokuwa akipokea kutoka kwa Wakenya.
Wewe unajua mpk jina la mtoto wa rais wangu wkt mm hata mke wa rais wako simjui.Mbona unachanganya ma file, nikweli baba jesicca hakwenda kanisani badala yake akasali nyumbani..
Mbona swali rahisi tu
Kwahiyo unamaanisha kwamba Uharo Kunyatta ni mashuhuri kuliko JPM?Wakenya kwenye twitter tuko vizuri, huo ndio ukweli hata sijui unacheka nini. Uhuru alikuwa na followers wengi kushinda rais yeyote ukanda huu kabla ya kutoroka twitter kwa kichapo alichokuwa akipokea kutoka kwa Wakenya.
Twitter ndio kila kitu katika viongozi, punguza hasira lkn we najua kw akili zako umashuhuri ni kuwa followers wengi instaKwahiyo unamaanisha kwamba Uharo Kunyatta ni mashuhuri kuliko JPM?

Kwenye twitter alikuwa na followers wengi kushinda rais yeyote Afrika nzima kabla ya yeye kutoroka. Hio ni fact yenye haipingiki. Wakenya wapo wengi sana kwenye twitter. Sijui ni kwa nini Wakenya wanapenda twitter. Watanzania mpo wengi instagram kwa sababu ya kutazama mapicha na mavideo. Twitter huwa inawashinda maana ni kiingereza kinachotumika sana kule. Na kiingereza huwa imewalemea sana.Kwahiyo unamaanisha kwamba Uharo Kunyatta ni mashuhuri kuliko JPM?
Hili jengo kwa mbele hospital ya mloganzila ni jengo la niniView attachment 1721947
Nimekuuliza who's the most popular leader btn Magu and Uhuru?Kwenye twitter alikuwa na followers wengi kushinda rais yeyote Afrika nzima kabla ya yeye kutoroka. Hio ni fact yenye haipingiki. Wakenya wapo wengi sana kwenye twitter. Sijui ni kwa nini Wakenya wanapenda twitter. Watanzania mpo wengi instagram kwa sababu ya kutazama mapicha na mavideo. Twitter huwa inawashinda maana ni kiingereza kinachotumika sana kule. Na kiingereza huwa imewalemea sana.
Heheee!!mnafiki katika kiwango chake..Wewe unajua mpk jina la mtoto wa rais wangu wkt mm hata mke wa rais wako simjui.

Walahi nakuambia simjui mke wa Uharo anafananaje.Heheee!!mnafiki katika kiwango chake..
Comment yako naihifadhi najua kuna situ utakuja kuongelea maswala yetu siasa za mpka county level...nitakukumbusha tu..
Alafu baba jesicca nalitoa hko katika jukwaa la siasa, nimepata majina mengi sana..km vile meko pia![]()
Popular kw lipi, kupima mapapai ama?Nimekuuliza who's the most popular leader btn Magu and Uhuru?
Hili jengo kwa mbele hospital ya mloganzila ni jengo la niniView attachment 1721947
Sijui.Nimekuuliza who's the most popular leader btn Magu and Uhuru?