xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
uhuNYEWacha matusi. Uharo ndio nani?
uhuNYEWacha matusi. Uharo ndio nani?
Wiki hii hajaonekana basi dunia nzima inamuuliziaZaidi ya mapapai wala hakuna kingine jomba, uhuru ali hit hata bila ya kiki






Jaribuni alafu mkioneNa nyie mnatumia twitter kujenga nchi au sio![]()
Ndo nani huyo KRG the don.Umaarufu wa umbea na kiki hawezekani, mi kw sasa nitamfananisha na KRG the don kw sababu wanaendana tabia
Kenyans ndio tumeimfanya a trend, hilo hupaswi kusahau...Wiki hii hajaonekana basi dunia nzima inamuulizia![]()
Na mbn mnasema hamtufuatilii.Kenyans ndio tumeimfanya a trend, hilo hupaswi kusahau...
Ukitaka ku hit lazima upitie kwetu hapa east africa
Khee!!View attachment 1722014View attachment 1722017. Vs View attachment 1722018View attachment 1722019hiyo ndio level ya Burnaby na pia anapigwa mbali sana.. kima wewe

Na mbn hamfanyi watu wenu wa hit.Kenyans ndio tumeimfanya a trend, hilo hupaswi kusahau...
Ukitaka ku hit lazima upitie kwetu hapa east africa
Mbn hamuwasapot watu wenu ili nao wa hit duniani km mnaukubali mziki wenu?Khee!!
View nyingi haimaanishi km ngoma yako au album eti imeuza sana kuliko ya mwenzio..
Tatizo domo anatumia nguvu nyingi kuliko maelezo ndio manake wale wamarekani wakaenda kumla hela za collabo alafu hawa post ngoma zao..
Kenya tumekubali mziki wetu upo chini lkn tz mnalazimisha kujiweka sehemu ambayo sio size yenu na hilo ndio tatizo huku mkisahau bila sisi kuwa support kimziki basi hamuendi popote
na internet yenu hadi wifi kwa mtindo huo mtaingia YOUTUBE au insta? unafkiri huko nako kuna bando kitonga?Kwenye twitter hamtukaribii. Toa ujinga wako hapa.
hawana bando la kuingia YOUTUBE au insta umesahau kwao internet ni anasaMbn hamuwasapot watu wenu ili nao wa hit duniani km mnaukubali mziki wenu?
😂😂😂 ..we vipi wewe . Kwenye masuala ya mtandaoni heb mtuache kidogo.. sio sio level .bongo land is home trends . Wala hatuvijui wala kufuatilia vitu vyenuKenyans ndio tumeimfanya a trend, hilo hupaswi kusahau...
Ukitaka ku hit lazima upitie kwetu hapa east africa
Wewe sio mzima kichwani uende kwenye sherehe kwa jilani kwako kuna msibaKhee!!
View nyingi haimaanishi km ngoma yako au album eti imeuza sana kuliko ya mwenzio..
Tatizo domo anatumia nguvu nyingi kuliko maelezo ndio manake wale wamarekani wakaenda kumla hela za collabo alafu hawa post ngoma zao..
Kenya tumekubali mziki wetu upo chini lkn tz mnalazimisha kujiweka sehemu ambayo sio size yenu na hilo ndio tatizo huku mkisahau bila sisi kuwa support kimziki basi hamuendi popote
Hapo vipi,View attachment 1722014View attachment 1722017. Vs View attachment 1722018View attachment 1722019hiyo ndio level ya Burnaby na pia anapigwa mbali sana.. kima wewe
KOT wanapenda sana kufuatilia vitu km hvyo ili wakuumbue..Na mbn mnasema hamtufuatilii.
Nadhani somo limekuingia vyemaWewe sio mzima kichwani uende kwenye sherehe kwa jilani kwako kuna msiba
Bro hiyo ni kwasababu insta na YouTube ni ghali sana en u can't afford that's mnaishia uko uko kwenye kitonga .. world Superstars and celebrities sehem yao ya kujidai ni insta mzee . Kwahyo ukisema mtu kuwa maarufu au kutokua maarufu mtandaoni ujue moja kwa moja unazungumzia instaKwenye twitter hamtukaribii. Tuseme ukweli.
Upende usipende, wakenya ndio wamemtrendisha meko tokea jana..we vipi wewe . Kwenye masuala ya mtandaoni heb mtuache kidogo.. sio sio level .bongo land is home trends . Wala hatuvijui wala kufuatilia vitu vyenu

acha kulialia hapa nunua bando la kutosha ufurahie dunia ya insta na youtubeHapo vipi,
Kwanza inatia aibu haswa..yani ndio utajua km hamna lolote zaidi ya umbeaView attachment 1722027View attachment 1722028