Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bro hiyo ni kwasababu insta na YouTube ni ghali sana en u can't afford that's mnaishia uko uko kwenye kitonga .. world Superstars and celebrities sehem yao ya kujidai ni insta mzee . Kwahyo ukisema mtu kuwa maarufu au kutokua maarufu mtandaoni ujue moja kwa moja unazungumzia insta
Twitter ni sehemu ya kufanya vitu vya ufahamu, insta ni umbea tu..
Hata jiwe analifahamu hilo, akitaka kutuma ujumbe atapost twitter tu wala sio insta
 
acha kulialia hapa nunua bando la kutosha ufurahie dunia ya insta na youtube
Bwahaha
Internet kenya ni cheap sana, sijui hata ni lini mwisho kuchukua bando kw ajili ya youtube au insta..
M nko na wi-fi mzee baba
 
Ndio ujue wabongo atuna shobo na Twitter nyie Twitter mpo wengi tungejua kuwa mnasapoti mziki wetu mngeijaza Twitter ya wasanii wetu acheni kujikweza tunajiweza mafala nyinyi
Wakenya tupo kila mahali, na kila sehemu kuna kitu wanafuata..
Hakuna siku utaona mkenya twitter anangania pages za tz
 
Twitter ni sehemu ya kufanya vitu vya ufahamu, insta ni umbea tu..
Hata jiwe analifahamu hilo, akitaka kutuma ujumbe atapost twitter tu wala sio insta
Twitter ni mtandao kama mitandao mengine ya kijamii (na ni cheap kutumia) kwahyo kuhusu kupost au kutopost embea au taarifa muhimu inategemeana na matumiz ya mtu binafsi ..watu maarufu karibu wote ulimwenguni wanatumia insta . Kwahyo iyo reason yako ni upumbavu
 
mko obsessed na magu sana aya mtrendisheni na uharo uhunye sasa
Naona umeanza kukubali kimya kimya
Wakenya ndio tunaweza mpaisha yyte east africa wala sio magu tu, hata mseven twitter tukiamua ata trend mpka mambele na watamtangaza mpka kw vituo hikubwa vy ahabari duniania..

Achana na kenyan's on twitter kabisa wewe
 
Wakenya tupo kila mahali, na kila sehemu kuna kitu wanafuata..
Hakuna siku utaona mkenya twitter anangania pages za tz
wasee ya internet penetration 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
mbona hamupo moyale na marsabit kajazaneni huko mmalize au muitrendishe njaa sasa
 
Twitter ni mtandao kama mitandao mengine ya kijamii (na ni cheap kutumia) kwahyo kuhusu kupost au kutopost embea au taarifa muhimu inategemeana na matumiz ya mtu binafsi ..watu maarufu karibu wote ulimwenguni wanatumia insta . Kwahyo iyo reason yako ni upumbavu
Trump alipost lini ujumbe insta, ronaldo tu akitaka kupost jambo la maana haweki insta anakimbilia twitter..
Sasa wewe nionyeshe hao watu maarufu wanapost vitu muhimu insta zaidi ya misifa na kiki
 
Twitter ni sehemu ya kufanya vitu vya ufahamu, insta ni umbea tu..
Hata jiwe analifahamu hilo, akitaka kutuma ujumbe atapost twitter tu wala sio insta
Hiyo twitter unayo sema kuwa ni sehemu ya kufanya vitu vya ufahamu mbona inaongoza kwa usambazaji wa fake news?

(Najua hutonipa jibu la kueleweka zaidi ya kuandika ujinga)
 
Hiyo twitter unayo sema kuwa ni sehemu ya kufanya vitu vya ufahamu mbona inaongoza kwa usambazaji wa fake news?

(Najua hutonipa jibu la kueleweka zaidi ya kuandika ujinga)
Km insta inavyoongoza kw usambazi wa video za ngono na umbea, ndio manake wanaume wengi wanaokesha insta ni wambea..
 
Trump alipost lini ujumbe insta, ronaldo tu akitaka kupost jambo la maana haweki insta anakimbilia twitter..
Sasa wewe nionyeshe hao watu maarufu wanapost vitu muhimu insta zaidi ya misifa na kiki
Kiswahili kigumu au .. soma tena nilichoandika . Au nikusaidie na word to word translation.?? Au nikupe assignment ukafanye na wenzako .?? "Kupost au kutopost umbea au taarifa muhimu ni maamuzi ya mtu binafsi". Read it again ☝️
 
Naona umeanza kukubali kimya kimya
Wakenya ndio tunaweza mpaisha yyte east africa wala sio magu tu, hata mseven twitter tukiamua ata trend mpka mambele na watamtangaza mpka kw vituo hikubwa vy ahabari duniania..

Achana na kenyan's on twitter kabisa wewe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿baby!!!!!!

Tony254 njoo uone howmuch mko obsessed na tz hadi mnajipa kazi zisizo wahusu 😂😂😂😂😂

atutaki msaada wenu asaivi ni zamu ya chuchumila wa mombasa kumuinua af hawa wa huku🇹🇿🇹🇿 tuachieni wenyewe atujashindwa kuwainua sie
 
Kiswahili kigumu au .. soma tena nilichoandika . Au nikusaidie na word to word translation.?? Au nikupe assignment ukafanye na wenzako .?? "Kupost au kutopost umbea au taarifa muhimu ni maamuzi ya mtu binafsi". Read it again
Bwahahaha!!ndivyo anavyowadanganya jiwe sio
 
Km insta inavyoongoza kw usambazi wa video za ngono na umbea, ndio manake wanaume wengi wanaokesha insta ni wambea..
Mtanzania wa kawaida ana followers wengi instagram kuliko wasanii wengi wakubwa wa kenya.

Watanzania wanavuna mikwanja mizuri kupitia matangazo kwenye mtandao wa instagram.

Kuna page za Watanzania wa kawaida ziko verified insta.

(Nilikuwa sahihi kuandika kuwa hutonipa jibu la kueleweka zaidi ya kuandika ujinga)
 
Back
Top Bottom