komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Usiumie sana punguza munkari utakufa bure tukuzikeTunawacheka sana vile mukihangaika yani munahangaika na magufuli kuliko corona![]()
Usiumie sana punguza munkari utakufa bure tukuzikeTunawacheka sana vile mukihangaika yani munahangaika na magufuli kuliko corona![]()
Sio kiongozi au hajawai kua kiongozi hajawah kua prime minister 😄😄😄😄😄Huyo ni rais wa wapi
Tunacheka vile mukihangaila na magufuli huku mukisahau corona 😅😅😅😅😅Usiumie sana punguza munkari utakufa bure tukuzike
Bwahahaha!!emu nieleweshe na hapa mjomba, nifafanulie kidogo angalau na mie nipate ufahamu kuhusuView attachment 1721862
We ndio una weweseka na vitu ambavyo havina mshiko, tutumie kadi katika huduma za bure...punguza hasira sasa siongelei mashine za ku scan naongelea hiii
Kiongozi wa nchi gani, unafikiria sisi tunafichaSio kiongozi au hajawai kua kiongozi hajawah kua prime minister![]()

Kwa chuki zenu muache nyinyi 🤣🤣🤣🤣Kiongozi wa nchi gani, unafikiria sisi tunaficha![]()
Havina mashiko au sio 😆😆😆😆😆We ndio una weweseka na vitu ambavyo havina mshiko, tutumie kadi katika huduma za bure...
Narudia tena hatutofika hyo level ya kulipia
Umebadili gearKwa chuki zenu muache nyinyi![]()
Hatulipii likoni ni bure, kwhyo hatuhitaji huo upuuzi hkuHavina mashiko au sio![]()
Mpost na yule aliyemuua dereva wa loriSasa hvi wanaua raia na wanauana wao kw wao sasa
MATAGA nyie mnakuwaga forever in denial. Lakini msiwe na wasiwasi wowote, habari kamili zitawafikia tu 😂😂😂😂Hii ndio official source 😆😆😆😆 magu mumemkosa sasa mumemuandama finance minister
Mkuu km unadhani hii battle ni ya mzaha basi endelea kudhani hivyo ila ukweli ni kwamba Wakenya cvyo km unavyofikiria wewe, ni wako serious wana chuki na Tz, ni washenzi na wasiokuwa na utu kabisa, hukumbuki MP wao fulani cmjui jina alivyosema wafanyabishara wa Tanzania warudishwe kwao? Huoni chuki za wazi wazi wanazotupakazia? Hatuna urafiki wala undugu na wanafki hawa tangu enzi za Nyerere wameendelea kuwa wanafki dhidi ya TZ mpk leo.EAST AFRICA sio Tanzania pekee na hii ni battle ya kimaendeleo sio chuki kama unavyo dhani na hata baadhi viongozi naimani hii battle wanaijua kiufupi hatuna chuki na kenya hutasikia hata siku moja tunashangilia JWTZ kupeleka vifalu kenya au KDF kuleta vifalu TZ mkuu hata ukiasoma thread description inajieleza na kama ikitokea vita vya kulipuana mabom Tz na Ke nalo litafunguliwa thread ila tusiweke chuki za namna hiyo moyoni naamini hawakosekani wakenya ambao nao watasema wametendewa vitu vya hovyo na wabongo hayo yapo tu
NB. ningumu sana kumkuta mkenya huko nje ya Africa akasema ametokea kongo kama kutaja nchi yake italeta shida wengi husema ametokea TZ na kwa mtanzania ni hivyohivyo ni husema kenya
Wewe unamjua rais wa wapi aliyepo KNH?Huyo ni rais wa wapi
Naunga hoja 100 percentThats good maana hata hapa EA sanasana ni KE na TZ kwa Afrika nchi inayo nitisha ni SA na hao arabs ila hao western A wakipatikana members tunafungua battle