Alikimbia twitter huyo, alafu siku hataki kujihusisha na dramaSo mmeshindwa kumtrendisha Uharo?
Huna hoja wewe kaa utue achia wengine labda watajaribuWe hata hujielewi ni wakupuuzwa tu.
Nitajie wasanii wakubwa wanaopachika habari zao insta acha mitoko sijui na kiki, habari za mhimu..ukileta mi natoka jfkomora sikuizi ndio uko kinyume na ukweli kabisa, twitter ndio kuna mijadala ya umbea ilhali insta na youtube ndio mapichapicha ya mitoko ya maartists. Tangulini ukakuta mijadala insta au youtube, sasa huyo msanii twitter anapost mashairi au?
Kw sababu watanzania wa kawaida wanapenda sana kiki na umbea kuliko wasanii wa kenya..Mtanzania wa kawaida ana followers wengi instagram kuliko wasanii wengi wakubwa wa kenya.
Watanzania wanavuna mikwanja mizuri kupitia matangazo kwenye mtandao wa instagram.
Kuna page za Watanzania wa kawaida ziko verified insta.
(Nilikuwa sahihi kuandika kuwa hutonipa jibu la kueleweka zaidi ya kuandika ujinga)
Ona sasa unavyoparamia kitu ambacho hujakielewa, kuna mtandao ambao unavujisha video za kipuuzi na umbea km instaEti insta inaongoza kwa pic za ngono?unaijua Twitter wewe... ni formal porn site mixer onlyfans
btch plz
habari za wasanii wakubwa ni zipi???,naona unaandika tu kama umelewa wewe muuzaji.Nitajie wasanii wakubwa wanaopachika habari zao insta acha mitoko sijui na kiki, habari za mhimu..ukileta mi natoka jf
Kila watu na mfumo waoMbona malkia hajawahi kuuwawa, kati ya Gaddafi na malkia wa Uingereza nani ametawala kwa muda mrefu? Hapo vipi unaona kuna demokrasia we mama?
huko twitter ndiko mnaangalizia hata video zao wakitoa eh!!!!!Kw sababu watanzania wa kawaida wanapenda sana kiki na umbea kuliko wasanii wa kenya..
Niletee msani wa tz ambae ana milion followers twitter nikulipe
We mwehu kama wehu wengine uko kwenu .. kila mtu au msanii huwa na umaarufu kwenye mtandao fulani kwasababu ya matumiz yake kwenye huo mtandao,vanny hapost chochote uko Twitter . Atapata vipi followers wengi.? We ni tahira tu ,sitakujibu tena chizi weweHapo vipi,
Kwanza inatia aibu haswa..yani ndio utajua km hamna lolote zaidi ya umbeaView attachment 1722027View attachment 1722028
unaona ulivyo panya buku???Kila watu na mfumo wao
Kheee!!habari za wasanii wakubwa ni zipi???,naona unaandika tu kama umelewa wewe muuzaji.
post kama hii mtu kapiga pesa ya matangazo kibao hapo chini,huko twitter kuna nini cha maana zaidi anapost!!!!
hata ukiangalia mitandao inayoongoza kwa kulipa wasanii utajiona mjinga.View attachment 1722148



Umbea na kiki hauna nafasi twitterhuko twitter ndiko mnaangalizia hata video zao wakitoa eh!!!!!
jinga la kiwango wewe.

siku hizi watu wanakaba ticktok,nako wataachwa waje waanze utetezi wa kishamba hivi hivi.We mwehu kama wehu wengine uko kwenu .. kila mtu au msanii huwa na umaarufu kwenye mtandao fulani kwasababu ya matumiz yake kwenye huo mtandao,vanny hapost chochote uko Twitter . Atapata vipi followers wengi.? We ni tahira tu ,sitakujibu tena chizi wewe


,maana insta,youtube,na ticktok hutumii kama hela ya kula tu ni mtihani.Kwahiyo ikitokea Africa ni uvunjwaji wa democracy ila ulaya inakuwa "kila watu na mfumo wao"Kila watu na mfumo wao
unashangaa birthday,badala ya kuangalia kiatu hicho wewe masikini!!!!!Kheee!!
We jamaa kweli bogas sana walai, birthday ni nn sasa
kajifunze kwanza matumizi ya twitter.Umbea na kiki hauna nafasi twitter
Pole sana ndugu yangu
punda la malkia hiloKwahiyo ikitokea Africa ni uvunjwaji wa democracy ila ulaya inakuwa "kila watu na mfumo wao"



Hili sio swala laa awamu hii kwanzia enzi za nyerere it has always been that way ... watu kulalamika but now it's different story... wana muita Baba wataifa n no body will ever deny he was great man despite all dat.... afu as long is for a good course sacrifice have to be taken for things to progress ndo kitu wa Africa wengi hatujaelewa and it's in the name of democracy. We unathani marekani au England are up there because of democracy? Think again mr opportunity cost 🤣... yani wazungu katika kitu walicho jipanga ni kutubeba kiakili.... but one day yess tutatoka kwenye hizi mediocre mindset n think in a bigger picture... one dayLazima ujiulize kwa nini awamu hii tuu?
Patriotism haijengwi kwa vitisho ila kwa fair ,ndio maana tunawaambia Gadafi alikuwa anagawa hadi mahari watu waoe lakini alikufa na hakuna anemsikitia hata kama watu wanapata shida kwa kuwa alikuwa anakandamiza wenzio na kujisifu,binadamu sio mbuzi kwamba utamfuga