Muda umefika asante air tanzania👇👇
Yajayo yanafurahisha mwengine amekalia kuisema tanzania
Magu ni genius mkuu. Hata haters wake wanajua hili. Ni ile tu wanaona aibu kuunga mkono maana wameongea sana.
Kwahiyo unataka kusema hilo bandiko ni fake.Mimi nilidhani tayari mnafly to Guangzhou
Hiyo si ni kawaida huko kwenu, polisi Kenya huwa wanaona raia ni takataka labda awe mzungu, mchina, au muhindi but co Mkenya na tena akiwa mweusi ndo kabisaYaani lakini kurushia mtu teargass ndani ya gari ni unyama sana.

Ilikuwa muanze February. Sasa pengine wamesongeza mbele tarehe ya first flight.Kwahiyo unataka kusema hilo bandiko ni fake.
Huko kwenu si huwa polisi wanapiga wanahabari rungu hadi wanabakia tu utumbo.Hiyo si ni kawaida huko kwenu, polisi Kenya huwa wanaona raia ni takataka labda awe mzungu, mchina, au muhindi but co Mkenya na tena akiwa mweusi ndo kabisa![]()
Nani!! Yule freemason a.k.a nyamihela😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Upo kama mjinga flani hiviii,kumbuka mlianza kutuhurumia tangu january last year,mkasema tutaokota wafu barabarani,mkadanganywa na mabwana zenu wazungu kwamba watanzania watakufa sana,mkawaamini..kwa misimamo ya serikali ya tz,watanzania wameishi kwa amani na furaha kubwa ktk kipindi chote cha covid,no fear at all,and life goes on,corona si threat tena...Mnazidi kuchekesha kila kuchao. Yani unaamini tu kabisa kwamba mask ni kitu ya kujitengenezea hapo kwako nyumbani na ukitumie kujikinga nayo!? I don't mean to be disrespectful but huu ni uazimu. Face masks should be made by certified bodies and should be subjected to stringent quality checks before they are realised for human use.
Masks should meet certain specifications ambazo wewe hapo huwezani nazo. A good quality face mask should have at least two layers of tightly woven cotton fabric. Hiyo cotton utatoa wapi hapo nyumbani kwako? And do you have the machine to weave it?
Secondly, a good mask should have a filter to provide an extra layer of protection. How will you go about this ukijitengenezea yako hapo kwako?
Hivi ndivyo mlidanganywa kwamba corona haipo Tanzania. Sasa hivi mnadanganywa kwamba mjitengenezee barakoa nyumbani. Nawahurumia
Unajua nixcie ni mjinga sana,anashangaa kujitengenezea barakoa nyumbani wakati kuna taarifa baadhi ya wakenya wanavaa bra za wake zao kama barakoaMkuu unajua nini kuhusu kutengeneza masks yako nyumbani? Kwanini ni disaster in waiting? Sio Magu tu hata huko kwa mnakowaabudu wanaelewa umuhimu au unaweza kutengeneza mask yako mwenyewe.
Huyu hapa Dr Gupta wa CNN anaonesha jinsi ya kutengeneza mask yako nyumbani.
View attachment 1716399
Much know.Unajua nixcie ni mjinga sana,anashangaa kujitengenezea barakoa nyumbani wakati kuna taarifa baadhi ya wakenya wanavaa bra za wake zao kama barakoa
Yajayo yanafurahisha mwengine amekalia kuisema tanzania
Hivi Kenya wanao uwezo wa kubaini chanjo feki kweli? Tutashuhudia mengi sana zama hizi.
Duh sasa nimeona why post zako nyingi humu ni vituko. Yaani rais anaposema watu wajitengenezee wenyewe barakoa kumbe unadhani anamaanisha kila mtu akanunue kitambaa, uzi, sindano, na kamba, au na cherehani kabisa! Ee bwana eee!Mimi sina shida na ujamaa wenu. That's your way of life na nyinyi ndio mnajua mabaya yake na mazuri yake.
Nyinyi kuwa na viwanda vingi vya kutengeza barakoa iwe ni kila kata au wilaya ni jambo nzuri mno kwa sababu mtapokea barakoa ambazo zimetimiza zile standards and specifications zikizowekwa. Shida yangu ni pale mtu anapoambiwa ajitengenezee yake nyumbani. Will that mask meet the required standards? The answer is no. And what do you think will happen after that?
Uzalishalishaji wa bidhaa na kila mtu pia ni nzuri ila pia ina changamoto zake. It leads to production of substandard goods that do not meet specifications. Ndio maana watu wanaenda vyo vikuu na colleges to specialize in specific areas of study.
Ukiachilia every Tom Dick and Hurry ajitengenezee yake, you'll end up with many substandard products na hapo utakuwa umejipiga risasi ya mguu.
Contagion is just a movie like any other. Personally I have watched it. It may have been based on earlier events of other coronaviruses such as SARS which first appeared in 2002. It's even funny how you view corona virus as "mchezo" just because you watched a movie!
Yes, Contagion is just a movie. Just like TITAN was also just a novel yet the same content happened a century later in real life exactly how it was portrayed in the novel. People decided to name the "real" incident TITANIC.Mimi sina shida na ujamaa wenu. That's your way of life na nyinyi ndio mnajua mabaya yake na mazuri yake.