This is the problem with debating with a conditioned mind na yenye imejaa hasira. My point is, these measures are still in place even though people flaut them. Uvaaji wa mask bado hutiliwa mkazo and people get arrested everyday for not wearing them.
Tofauti yetu na nyinyi Ni kwamba serikali yetu imetuambia the right thing to do, haikutudanganya like your government did to you. As you know it, these measures are meant to prevent infections only up to a certain degree. Suala la watu kukusanyika kwenye mikutano ya kisiasa is an unfortunate one but still utaona watu na barakoa zao midomoni