Umenifanya niingie online
Kenya ipi unaizungumzia?
Unadhani wote humu hawaijui Kenya?, hadi wakenya watakushangaa... Kenya wanashifirika moja la umeme kama Tanesco.
Wakenya gani wanajenga nyumba zao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wakenya asilimia 70 na zaidi hawezi kumudu kujenga nyumba zao... Wanakaa kwenye yale magorofa ambayo kodi yake ni 5K.
Kwa taarifa yako gharama ya umeme Tanzania ni nafuu kuliko Kenya.
Pia Umeme Kenya unakatika kuliko Tanzania.
Sent using
Jamii Forums mobile app