Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona mumeanza kukumbatia huu mfumo wa "maboxes" na gated communities. Ona mandhari inavyovutia na kupendeza hadi raha! Mnaiponda humu ndani ila moyoni mnaikubali sana [emoji23]
Ndo kusema kwamba nyinyi ndio waanzilishi ama? Au kwamba kwenu zimejaa tele au sio, hv vijamaa bhn [emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Ndo kusema kwamba nyinyi ndio waanzilishi ama? Au kwamba kwenu zimejaa tele au sio, hv vijamaa bhn [emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Nikianza kupost picha za gated communities kama hizo sitafikia hata 1/8 yao. Mara nyingi mmeziponda hapa kisa na maana zinahesabika Dar ila moyoni mnazishabikia na kuzitamani kinyama
 
Hujui kwamba kwa mara nyingine corona ishapigwa Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Round hii mkulu alisemaje baada ya maombi kutofua dafu? Au this time round mnajinyunyuzia maji ya uzima? 😂 😂 😂 Enyewe sikio la kufa halisikii dawa.
 
Round hii mkulu alisemaje baada ya maombi kutofua dafu? Au this time round mnajinyunyuzia maji ya uzima? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Enyewe sikio la kufa halisikii dawa.
Corona chaliii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hivi bwana mapesa yuko wapi [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
Screenshot_20210301-143519.jpg
 
Back
Top Bottom