Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Apa naungana nawe
Kama Magu haamini ubora wa masks kutoka nje ya Tanzania, ingekuwa bora zaidi aanze mchakato wa kuziunda hapo Tanzania badala ya kudanganya watu wajitengenezee zao nyumbani! That's a disaster in waiting.

Hapa Kenya almost all masks are made locally at a factory in Kitui County. This is what Magu should do badala ya kupotosha watanzania
 
Kuna viwanda hapa Tz wanatengeneza mask poa kabisa hua wanaziuza MSD na watumiaji hua tunazigiza uko MSD, ziko na standard alieleza uyo jamaa,Za kuagiza kutoka nje ndio haziaminiki
I didn't even know you have a factory making masks. Hapo ndio sasa serikali inafaa kuelekeza pesa ili kuiwezesha kiwanda hicho kutengeneza enough masks. Lakini hii ya kuambia watu wajitengenezee zao nyumbani ni uchawi
 
We ni fala wa kiwango cha diesel sgr, yn habari za Tz kuwa na viwanda vya kutengeneza barakoa huwa huzioni licha ya kuwa zinawekwa humu usiku na mchana.
 
We ni fala wa kiwango cha diesel sgr, yn habari za Tz kuwa na viwanda vya kutengeneza barakoa huwa huzioni licha ya kuwa zinawekwa humu usiku na mchana.
Mbona basi mnaambiwa mujitengenezee nyumbani? Kuwa na kiwanda sio issue. The issue is that does it produce enough? (if any). Unawezeka kuwa na kiwanda lakini haizalishi chochote na maybe ndio maana mmaambiwa mjitengenezee nyumbani
 
Mbn una argue kichizi hivi? Km tuna factory ndo iweze kutosheleza mahitaji yote?
 
Sasa mkivaa barakoa inamaanisha mnatuiga? Mbona husemi mnaiga Uganda, Rwanda na nchi zingine zote duniani ambazo watu havaa mask? Na sisi basi tuliiga nani tulipoamua kuvaa mask?

Ulianza kwa kuuliza nikupe evidence kwamba Magu alisema muanze kuvaa mask. Baada ya kukuaibisha sasa umebadilisha gear unaongea mambo na kuiga!!
Wapi Magufuli alikataza kuvaa barakoa?, tangu mwanzo alisema tusiamini barakoa kutoka nje ya Tanzania, alichokataza ni 'lockdown na sheria zote zinazozuia watu kufanya kazi na kuchanganyika, bado anaendelea kusisitiza kwamba barakoa za nje sio salama, wivu wenu ndio inaosababisha kulazimisha kwamba alikataza barakoa ili kutaka kuonyesha kwamba ameshindwa.

Kuhusu Vaccine, yeye amesema lazima kwanza Wizara ya Afya ijiridhishe kama inafanya kazi na haina madhara kwa wananchi ndio waruhusu chanjo itumike, lakini siku Wizara ikijiridhisha na kuruhusu chanjo itumike Tanzania, media za Kenya lazima zitapindisha na kusema Magufuli alikataza chanjo lakini mwisho amekubali, wakenya mpo na wivu sana kwa Tanzania, hasa kipindi hiki ambapo Tanzania imekua ni gumzo duniani.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mbona basi mnaambiwa mujitengenezee nyumbani? Kuwa na kiwanda sio issue. The issue is that does it produce enough? (if any). Unawezeka kuwa na kiwanda lakini haizalishi chochote na maybe ndio maana mmaambiwa mjitengenezee nyumbani
Achana na mambo ya maybe kwenye ulimwengu wa kisasa. Nenda youtube angalia Muhimbili National Hospital wanatengeneza barakoa 54k kila siku. That's more than 1.5m badakodas (in Magu tone) per month.

Ukiacha hao kuna MSD (Medical Stores Department) na private producer mwingine mmoja ambaye ana uwezo mkubwa.

Sisi tuna msingi wa ujamaa kwenye maisha yetu hivyo kuna fundi vyerehani kibao mtaani wanazalisha barakoa vile vile. Yaani kwetu kama unacho kitenge ndani unaenda tu kwa fundi anakushonea "badakoda" za familia nzima.

Wizara ya Afya ilikwishatoa muongozo juu ya namna ya kutengeneza barakoa.

My take: Nyie majirani zetu mshakuwa brainwashed na mambo ya wazungu ndiyo sababu you are acting very sloppy hata kwenye issues serious kama corona.

As we speak, USA zimekamatwa barakoa feki zaidi ya 12m kwenye majimbo mbali mbali. China pia kuna mamilioni ya barakoa feki zimekamatwa. Kama kwenye masoko yao kuna barakoa feki itakuwaje huku kwenye masoko yenu? Kwamba nyinyi ndiyo mnapendwa sana eee.

Naishangaa serikali yetu why haipigi ban barakoa kutoka nje. Kuhamasisha watu kutozitumia (za nje) haitoshi, wazipige ban kabisa tuwaachie hao wenzetu wanaopenda sana vya mabeberu.
 
Tujikumbushe na bwana mapesa
Screenshot_20210301-143519.jpg
Screenshot_20210301-143241.jpg
 
Kama Magu haamini ubora wa masks kutoka nje ya Tanzania, ingekuwa bora zaidi aanze mchakato wa kuziunda hapo Tanzania badala ya kudanganya watu wajitengenezee zao nyumbani! That's a disaster in waiting.

Hapa Kenya almost all masks are made locally at a factory in Kitui County. This is what Magu should do badala ya kupotosha watanzania
Mkuu unajua nini kuhusu kutengeneza masks yako nyumbani? Kwanini ni disaster in waiting? Sio Magu tu hata huko kwa mnakowaabudu wanaelewa umuhimu au unaweza kutengeneza mask yako mwenyewe.
Huyu hapa Dr Gupta wa CNN anaonesha jinsi ya kutengeneza mask yako nyumbani.
Screenshot_20210303-171612.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom