Nilikua zangu busy nalizoom Daraja jamaa kaona naremba barabarani katanua
View attachment 1717142
View attachment 1717143
View attachment 1717144
View attachment 1717145
View attachment 1717146
View attachment 1717147
the dubai of EAST AFRICA
Nilikua zangu busy nalizoom Daraja jamaa kaona naremba barabarani katanua
View attachment 1717142
View attachment 1717143
View attachment 1717144
View attachment 1717145
View attachment 1717146
View attachment 1717147
Sijakataa kuwa mnalima maparachini ila siyo kama Tanzania, mengi mnanunua kwetu. Subiria mwakani kwenye takwimu mpya, hata Tanzanite mlikuwa namba mbili duniani lakini sasa hamuonekani tena kwenye chati.Huwa mko na victim-mentality sana. Hamjatoa facts au evidence kuonyesha kwamba most of the Avocados exported by Kenya came from Tanzania. Wakenya wanapanda parachichi kwa wingi. Leteni facts zenu kwamba tunanunua kutoka kwenu. Mimi nasema asilimia ndogo sana pengine chini ya 20% ndio pengine tunanunua kutoka kwenu. Mengine tunapanda wenyewe.
Evidence yangu ndio hii hapa. Leteni yenu kuonyesha kwamba tunanunua kutoka kwenu.
Hii itaisha sawa na ile ya Chang'ombe, yn cku hz mwendo wa flyover mbili mbili mpk ziishe zote 11 ambazo ni modern co tofali like flyoversUhasibu flyover
View attachment 1717290





Ss hyo ya 1600ksh ndo hawaitaki100ksh pikipiki mpaka 1600ksh gariyajayo yanafurahisha
Mchina anajua kula na kipofu



Alaf mtu anategemea umeme ubakie idle 🤣🤣
Expressway sio tofali na ni 27 km ambayo 13 km ya juu kwa juu. Hamtawahi kuja kuwa na barabara kama hio zaidi ya kuitazama kwenye TV.Hii itaisha sawa na ile ya Chang'ombe, yn cku hz mwendo wa flyover mbili mbili mpk ziishe zote 11 ambazo ni modern co tofali like flyovers![]()
100ksh pikipiki mpaka 1600ksh gari 🤣🤣🤣 yajayo yanafurahisha
Mchina anajua kula na kipofu
umemaliza mkuu basi,,,,Sijakataa kuwa mnalima maparachini ila siyo kama Tanzania, mengi mnanunua kwetu. Subiria mwakani kwenye takwimu mpya, hata Tanzanite mlikuwa namba mbili duniani lakini sasa hauonekani tena kwenye chati.
Kwahiyo mmekubali au sio gari ndogo kupita ni Tshs 6600 na gari kubwa ni Tshs 35200, Watz mnaona maisha ya sasa ya Wakenya?Gari ya kawaida ni ksh 300. Trela ndio ksh 1,600. ichoboy01 wacheni kujitekenya na kucheka wenyewe.





Si ndiyo ya kwanza kwa Kenya ila cc modern infrastructures tayari tunazo.Expressway sio tofali na ni 13 km ya juu kwa juu. Hamtawahi kuja kuwa na barabara kama hio zaidi ya kuitazama kwenye TV.
For your info Trela haitakiwi sana kupita maeneo haya kwa sababu mbili. Kwanza Trela zinaharibu barabara na kufanya maintenance cost kuwa juu. Pili Trela kwanza zilizobeba mizigo zinakwenda kwa mwendo wa mzee kobe. Yaani pole pole na unajua kwenye expressway gari zinastahili kusonga kwa mwendo wa kasi ili zisizuie gari zingine kupita. Lazima zichargiwe pesa nyingi. Lorry zimejengewa barabara mbadala ya kupitia. Zinaweza kupitia BypassesKwahiyo mmekubali au sio gari ndogo kupita ni Tshs 6600 na gari kubwa ni Tshs 35200, Watz mnaona maisha ya sasa ya Wakenya?![]()
Nyinyi hamna expressway na hamtawahi kuwa nayo.Si ndiyo ya kwanza kwa Kenya ila cc modern infrastructures tayari tunazo.
Kwamba ni pesa nyingi sana au.Nyinyi hamna expressway na hamtawahi kuwa nayo.