Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
Mwanza passenger terminal building
VS
MY TAKE
Wakandarasi wa ndani wali-quote price kubwa kwa kazi ya steel fabrication kwa ajili ya Mwanza airport!
Mwanza passenger terminal building
Tanzania imezungukwa na nchi 8 mzee, yani nchi zote ziendelee na shughuli zao kenya ndio iongelee tanzania ?? Hvi nyinyi muko sawa kiakili?Uganda wanawaogopa. Uganda na Rwanda ni nchi ndogo. Ila Kenya ndio baba wa Afrika Mashariki, hatuwaogopi sie. Nyinyi mkileta mchezo tunatembeza viboko.
Yani nyinyi ni nchi inachekesha sana munaikazania tanzania wakat wananchi wenu wanakufa na njaa na corona juu??Tanzania ilikuwa inatrend number 1 kwenye twitter ila sasa hivi inatrend number 3. Hii ni kwa sababu ya habari kwamba priests na nuns 85 wamefariki kwa corona
View attachment 1716723
Najua world bank report imekutesa sana, unajitia hamnazo tu humu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vumilia kaka, tafuna ndimu Kama mwanaume, be strong [emoji123][emoji123], wacha kulia lia kama wanadada na kujitetea with zero points, umependa kuokota opinions za tweeter, hizi ni reactions from a factual report [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., alamskiki.Kumbe ni mawazo ya watu kama wewe [emoji23][emoji23] asante
Mimi sina shida na ujamaa wenu. That's your way of life na nyinyi ndio mnajua mabaya yake na mazuri yake.We jamaa mbona mgumu sana kuelewa. Unataka tutumie lugha gani uelewe. Nimekwisha kwambia nchi yetu ina element za kijamaa. Hivyo tunaposema "we can produce our own masks" tunajumuisha wazalishaji wote kuanzia viwanda vikubwa kama Muhimbili na MSD mpaka hao wanaotengenezea nyumbani.
Our major means of production are owned by the majority wakiwemo mafundi cherehani wa majumbani, wamachinga, nk. That's contrary to nyinyi ambao mnadhani uzalishaji wa bidhaa lazima ufanywe na wachache wenye uwezo mkubwa.
That's why tunasema mko brainwashed! Mnataka kila kitu mfanye kama wazungu. Nikisema brain washed simaanishi kutumia bidhaa za wazungu, no. Hata wao hutumia bidhaa zetu kama vile parachi na maua, je, tumewa-brain wash? Hapana.
Mfano mzuri wa brainwashing ni huu; Kwamba wazungu (WHO) wanatangaza kupata chanjo ya corona bila kufuata taratibu kama vile miezi 18 ya matazamio. Wanasema lazima kila nchi ichanjwe, kama hamna hela mtakopeshwa. Serikali brainwashed kama ya kwenu inaagiza chanjo 800k. A few weeks baada ya ku-press order yenu inaibuka version mpya ya kirusi huko SA na Congo ambacho hakikingwi na hiyo chanjo mliyoagiza! Sasa hapo pana akili kweli kiongozi?
Sasa sisi wenye Rais mwenye natural brains anajua tu huo ni mchezo na huwa anasema hivyo siku zote. Labda atakuwa pia alishatazama ile movie ya CONTAGION. Hivi serikali yenu yote hakuna basi hata kiongozi mmoja aliyeitazama hii movie awashtue wenzake kwamba haka ni kamchezo ka kuiyumbisha dunia?
Kuhusu hiyo hoja yako ya kusema serikali yetu inasema au ilisema hakuna corona nimeamua nisipoteze muda kuijadili. Imesemwa sana humu. Ungekuwa wa kuelewa ungekwisha elewa.
Hata mimi sijapoteza mtu wa family kutokana na corona ila najua corona ipo na inaua. Kama unataka kujua corona ipo na inaua, uliza family ya the late former VP wa Zanzibar na wale viongozi wenu wengine waliokufa kutokana na "changamoto ya kupumua" WatakuadhithiaWewe nawe ni fala tu, Kwani humu JF umeona kuna mtu amekufa?
I have lost zero relatives and friends and their relatives and family members in my very diverse network of life then how do I stop living my life for a mere virus with 0.001 probability of fatality,
We are attending church services, schools reopened since last year (Kids know no social distancing madness)
We are attending football matches to full stadium capacity, political campaigns, no stupid masks, no stupid vaccines since june last year and we are are alive enjoying good beer,
Na sasa nalewa hapa maeneo Karibu na home kwangu Kimara Dar es Salaam,
Watu wanaenjoy maisha wapumbavu kama wewe wanajifungia ndani wakisoma propaganda za media za Kikenya, ikiwa huko Kenya mnakusanywa kama mang'ombe kwenye mikutano ya siasa za ufala wa bbi na Wheelbarrows na tangatanga na kieleweke, kina Ruto sijui joshua, hadi kina Gideon Moi wanawakusanya kuwadanganya na mlivo na maisha magumu wasenge nyie mneanda kama makondoo kujaza mikutano without any stupid precautions, why aren't you dying in huge numbers?
Tazama hizi picha nimepiga this time Mjinga mmoja toka Kunyaland
View attachment 1716668View attachment 1716670View attachment 1716672
Imenitesa kwa lipi ikiwa kenya inafananishwa na zimbabwe kwenye umaskini uliopitiliza 🤣🤣🤣🤣🤣 umebakia kupost opinion za vichaa kama wewe watu kama hao wasioona mema wapo walikuwepo hata kabla hujazaliwa na watakuwepo mpaka dunia inasimamaNajua world bank report imekutesa sana, unajitia hamnazo tu humu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vumilia kaka, tafuna ndimu Kama mwanaume, be strong [emoji123][emoji123], wacha kulia lia kama wanadada na kujitetea with zero points, umependa kuokota opinions za tweeter, hizi ni reactions from a factual report [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., alamskiki.
CRDB haiwezi kuafford $3.5 billion. Itoe wapi hio pesa? Halafu huu mradi mnaoringa nao sio wenu. Ni wa Total. Halafu pia ni wa Uganda. Sio wa Tanzania. Nyinyi ni njia tu ambapo pipeline itapitia. Mafuta ni ya Uganda na mjenzi ni Total.They are wasting their time, $3.5b is a peanut money for Tanzania, we can engage CRDB and fund that project incase wazungu banks pull out their interests.
Tz sio masikini kama Kenya that needs loan in everything they do. Including paying debts and salaries [emoji3][emoji3][emoji3]
Hata huku Kenya they've halted many big projects...sometimes I hate NGOs for such., mara environmentalists, mara eti human rights activists yet biased.,etc. In most cases they hardly see the bigger picture, ndio maana they are ignored in many instances.
Ni njia kweli ila tutafaidika kwa ajira over 24000 people, tutafaidika kwa kodi, tutafaidika kwa kuuza umeme kwenda kwenye mradi, tutafaidika vijana kupata ajira ya kulinda mradi, tutafaidika bandari ya tanga kupata mapato zaidi na biashara zaidi 😀😀😀😀CRDB haiwezi kuafford $3.5 billion. Itoe wapi hio pesa? Halafu huu mradi mnaoringa nao sio wenu. Ni wa total. Halafu pia ni wa Uganda. Sio wa Tanzania. Nyinyi ni njia tu ambapo pipeline itapitia. Mafuta ni ya Uganda na mjenzi ni Total.
Corona has been in Tanzania since it was first reported. Hata hapa ndani Luna baadhi yenu wanakubali corona imekuwepo huu mda wote. Magu tried to deny its existence until he could deny no moreKwa hiyo muache ujinga wenu wa kumsingizia kwamba alikataza Barakoa. Kweli Corona ilikwisha Tanzania baada ya " first wave of infections, sasa hivi hili ni "second wave" soon we are going to defeat it like we defeated the first wave, Tanzania sio failed state
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
😀😀👇👇👇👇CRDB haiwezi kuafford $3.5 billion. Itoe wapi hio pesa? Halafu huu mradi mnaoringa nao sio wenu. Ni wa Total. Halafu pia ni wa Uganda. Sio wa Tanzania. Nyinyi ni njia tu ambapo pipeline itapitia. Mafuta ni ya Uganda na mjenzi ni Total.
tutauza na gesi pia! viwanda vya coating na lubricants ukiacha the largest crude oil storage n port terminal in the region at Chongoleani! In short 80% of $3.5 bln itakuwa invested in Tanzania!Ni njia kweli ila tutafaidika kwa ajira over 24000 people, tutafaidika kwa kodi, tutafaidika kwa kuuza umeme kwenda kwenye mradi, tutafaidika vijana kupata ajira ya kulinda mradi, tutafaidika bandari ya tanga kupata mapato zaidi na biashara zaidi 😀😀😀😀
Kwani rais anaposema mujihadhari hua anasema tujihadhari na nini? Na hotuba zake zote fatilia hua lazma atamke hilo neno na Anaposema tumieni mask za ndani hua anamaana gani?? Tatizo nyinyi munamchukia kwa sababu hajaua uchumi kwa lockdown kama mulivoungia chaka nyinyi mukategemea na sisi tuwaigeCorona has been in Tanzania since it was first reported. Hata hapa ndani Luna baadhi yenu wanakubali corona imekuwepo huu mda wote. Magu tried to deny its existence until he could deny no more
NGOs wanawapumulia kisogoni.Sasa sijui Tony254 ankwama wapi🤣🤣🤣
Hawa hawawezi kuzuia mradi kama ingekua kuzuia wangezuia Julius nyerere dam yenye thamani ya 2.9b usd walipiga kelele wee lakini waliambulia patupu 😁😁😁NGOs wanawapumulia kisogoni.
![]()
NGOs' pressure on banks threatens $3.5bn pipeline project financing
Over 260 NGOs petition banks to call off financing the $3.5 billion Eacop project with six lenders privately indicating they would walk away.www.theeastafrican.co.ke
Alaf chakufurahisha media kutoka kenya na mwandishi kutoka kenya 🤣🤣🤣🤣🤣NGOs wanawapumulia kisogoni.
![]()
NGOs' pressure on banks threatens $3.5bn pipeline project financing
Over 260 NGOs petition banks to call off financing the $3.5 billion Eacop project with six lenders privately indicating they would walk away.www.theeastafrican.co.ke