Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania inazidi kuchukua nafasi yake ya mzalishaji number 1 wa avocado Africa

Kenya ndio mzalishaji number moja wa Avocado in Africa for export. Wacha ujinga.
Na sio avocado tu. Sisi ni namba moja Africa katika uzalishaji wa chai, maua na vegetables for export.
 
Nchi zinazoproduce umeme kwa wingi duniani.

Wachina ni wanyama. Tazama kitu walichowafanyia USA kati ya mwaka wa 2003 hadi 2010. USA hawakuamini.

Hawa jamaa ni mwisho wa matatizo, hata treni za kasi za umeme, walikuwa na km chache sana mwaka 2007 lakini sasa wana km nyingi kuliko jumla ya km za reli za nchi zote duniani. Halafu kumbuka maendeleo yao hayakutokana na dhulma ya kutumikisha watu wengine bila malipo.
Kenya ndio mzalishaji number moja wa Avocado in Africa for export. Wacha ujinga.
Na sio avocado tu. Sisi ni namba moja Africa katika uzalishaji wa chai, maua na vegetables for export.
Ninyi ni wachuuzi tuu, na sasa tumeshazuia kuchukua hayo maparachichi bongo, sikilizia data za mwakani uone kama mtaongoza.
 
Attachments

  • Screenshot_20210304-073740_Instagram.jpg
    Screenshot_20210304-073740_Instagram.jpg
    43.5 KB · Views: 6
Uganda wanawaogopa. Uganda na Rwanda ni nchi ndogo. Ila Kenya ndio baba wa Afrika Mashariki, hatuwaogopi sie. Nyinyi mkileta mchezo tunatembeza viboko.
Ulishawahi kumpa nani kichapo zaidi ya nyie kupewa kichapo na ethiopia kule border mara kwa mara!Tanzania tumepakana na nchi 8,unavyodhani kuna nchi kati ya hizo inaweza kuthubutu kuingiza majeshi yake ndani ya ardhi ya Tanzania kama ethiopia anavyoingiza majeshi yake kenya?
 
Unasahau kwamba licha ya sisi kuwa kwenye lockdown, our economy performed far better than yours in most sectors? Lokudawnu 😂 😂
Unaongelea uchumi gani unaokopa kwa hadija kumlipa asha 😅😅😅 uchumi ambao hausogei hatua moja bila madeni na leo world bank wanawafananisha na zimbambwe kwenye umaskini alaf unafurahia
D231DA5C-DE44-4CAC-A3C0-8678C019FAD9.jpeg
5B32DF21-4C5D-4AB7-83F5-A206EC9B5C7A.jpeg
 
Wakuu nadhani mnazidi kujionea maisha halisi ya Wakenya, kuna cku Nicxie naye aliingia cha kike kama huyu fala wa leo, yn humu ndani mkenya ambaye kdg unaweza kumuamini ni Tony254 basi hawa wengine hawa kuwa nao makini sana.

Ila leo Teargass umenchekesha sn wallahi
Huyo Teargas ni kilaza sijawahi ona,halafu wakenya wa humu mbona kama wote ni vilaza
 
Ndo mtatuambia mlikuwa mnatoa wapi
🤣 magu ageukie na kwenye sangara na sato,vile viwanda vya samaki vya wahindi kule mwanza kuna mchezo wanacheza,super market za ulaya sato na sangara ni from kunya tu while sie ndio tunaongoza kwa kuvua na hata kuexport wale samaki,jamaa watakua wanachenji labels 🤣
 
Kenya ndio mzalishaji number moja wa Avocado in Africa for export. Wacha ujinga.
Na sio avocado tu. Sisi ni namba moja Africa katika uzalishaji wa chai, maua na vegetables for export.
Really??
K.jpg
 
Hawa jamaa ni mwisho wa matatizo, hata treni za kasi za umeme, walikuwa na km chache sana mwaka 2007 lakini sasa wana km nyingi kuliko jumla ya km za reli za nchi zote duniani. Halafu kumbuka maendeleo yao hayakutokana na dhulma ya kutumikisha watu wengine bila malipo.

Ninyi ni wachuuzi tuu, na sasa tumeshazuia kuchukua hayo maparachichi bongo, sikilizia data za mwakani uone kama mtaongoza.
jamaa wanataka kufanya kitu ambacho hakuna nchi imewahi kujaribu wala kuwaza kukifanya.

ukitaka uone maajabu google miji kadhaa china tofauti na beijing,guangzoo,hongkong utajua kumne china sio kama tunavyoiona.

hiyo hongkong ndio jiji lenye majengo marefu mengi kuliko jiji lolote duniani.
 
Hawa jamaa ni mwisho wa matatizo, hata treni za kasi za umeme, walikuwa na km chache sana mwaka 2007 lakini sasa wana km nyingi kuliko jumla ya km za reli za nchi zote duniani. Halafu kumbuka maendeleo yao hayakutokana na dhulma ya kutumikisha watu wengine bila malipo.

Ninyi ni wachuuzi tuu, na sasa tumeshazuia kuchukua hayo maparachichi bongo, sikilizia data za mwakani uone kama mtaongoza.
Ndo mtatuambia mlikuwa mnatoa wapi
Waangalie tu SA isije ika-reexport on their name kama Kenya!
Huwa mko na victim-mentality sana. Hamjatoa facts au evidence kuonyesha kwamba most of the Avocados exported by Kenya came from Tanzania. Wakenya wanapanda parachichi kwa wingi. Leteni facts zenu kwamba tunanunua kutoka kwenu. Mimi nasema asilimia ndogo sana pengine chini ya 20% ndio pengine tunanunua kutoka kwenu. Mengine tunapanda wenyewe.
Evidence yangu ndio hii hapa. Leteni yenu kuonyesha kwamba tunanunua kutoka kwenu.

By the way upandaji wa avocado una pesa sana, hata inaitwa green gold.

Back
Top Bottom