Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa sipendi kuonyesha Vitu vyangu ila kwa kuwa mmetaka nawaonyesha, siku nyingine mkitaka niwaonyeshe hata ukucha wangu hamtakaa kupata kuuona

By BWANA MAPESA.


IMG_5880.jpg

IMG_5879.jpg

IMG_5878.jpg
 
Mkuu unajua nini kuhusu kutengeneza masks yako nyumbani? Kwanini ni disaster in waiting? Sio Magu tu hata huko kwa mnakowaabudu wanaelewa umuhimu au unaweza kutengeneza mask yako mwenyewe.
Huyu hapa Dr Gupta wa CNN anaonesha jinsi ya kutengeneza mask yako nyumbani.
View attachment 1716399
Tengeneza basi yako ukasambazie watanzania wenzako. Hapo utakuwa umeharasisha mambo
 
Nilikuwa na picha km hizi ila nilizifuta, ss bwn mapesa alivyoweka mapesa yake nikatamani nami ningeweka yangu, ila mkuu umenchekesha sn wallahi



Mi huwa naenda kubeba mzigo wa ofisi wa maana , Ila leo wakati bado sijazidumbukiza kuwapa Security wazipeleke , nikakumbuka mipesa juu ya meza ya MAPESA nikaamua na mimi ni snap kipicha.
 
Achana na mambo ya maybe kwenye ulimwengu wa kisasa. Nenda youtube angalia Muhimbili National Hospital wanatengeneza barakoa 54k kila siku. That's more than 1.5m badakodas (in Magu tone) per month.

Ukiacha hao kuna MSD (Medical Stores Department) na private producer mwingine mmoja ambaye ana uwezo mkubwa.

Sisi tuna msingi wa ujamaa kwenye maisha yetu hivyo kuna fundi vyerehani kibao mtaani wanazalisha barakoa vile vile. Yaani kwetu kama unacho kitenge ndani unaenda tu kwa fundi anakushonea "badakoda" za familia nzima.

Wizara ya Afya ilikwishatoa muongozo juu ya namna ya kutengeneza barakoa.

My take: Nyie majirani zetu mshakuwa brainwashed na mambo ya wazungu ndiyo sababu you are acting very sloppy hata kwenye issues serious kama corona.

As we speak, USA zimekamatwa barakoa feki zaidi ya 12m kwenye majimbo mbali mbali. China pia kuna mamilioni ya barakoa feki zimekamatwa. Kama kwenye masoko yao kuna barakoa feki itakuwaje huku kwenye masoko yenu? Kwamba nyinyi ndiyo mnapendwa sana eee.

Naishangaa serikali yetu why haipigi ban barakoa kutoka nje. Kuhamasisha watu kutozitumia (za nje) haitoshi, wazipige ban kabisa tuwaachie hao wenzetu wanaopenda sana vya mabeberu.
"Am acting sloppy Kwenye mambo serious Kama corona?!" 😂 😂. Wow! The pot calling the kettle black. Between Kenya and Tanzania which country acted floppy in matters corona? Ni nchi gani iliaminisha wananchi wake kwamba corona haipo? If that's not being floppy then I don't know what floppy mean.

About mask production, if you have the capacity to produce that much in a day, then why is your government still asking people to make their own masks at home? This is the million dollar question that you guys are avoiding. I am not saying that you ain't producing masks. My question is: why ask people to make their own at home? Am saying this because at some point one of you said that Magu has issues na barakoa za kutoka nje ya nchi ndio mana aliagiza watu wajitengenezee. But it appears you have the capacity to produce your own but still ask people to make them at home. How now??

You can't be talking about fake masks being impounded in USA while your own president is encouraging the use of the same fake masks. Am saying fake because barakoa ya kujitengenezea haijakuwa certified to meet the required standards and specifications. That's double standards.

And just to remind you, masks tunazotumia tunajitengeneza hapa Kenya, hazitoki nje ya nchi.

My Take : Stop talking about being brainwashed or anything. Kila kitu unachotumia, including the phone/computer you used to type your response ni technology ya mzungu. Are you also brainwashed?
 
Wapi Magufuli alikataza kuvaa barakoa?, tangu mwanzo alisema tusiamini barakoa kutoka nje ya Tanzania, alichokataza ni 'lockdown na sheria zote zinazozuia watu kufanya kazi na kuchanganyika, bado anaendelea kusisitiza kwamba barakoa za nje sio salama, wivu wenu ndio inaosababisha kulazimisha kwamba alikataza barakoa ili kutaka kuonyesha kwamba ameshindwa.

Kuhusu Vaccine, yeye amesema lazima kwanza Wizara ya Afya ijiridhishe kama inafanya kazi na haina madhara kwa wananchi ndio waruhusu chanjo itumike, lakini siku Wizara ikijiridhisha na kuruhusu chanjo itumike Tanzania, media za Kenya lazima zitapindisha na kusema Magufuli alikataza chanjo lakini mwisho amekubali, wakenya mpo na wivu sana kwa Tanzania, hasa kipindi hiki ambapo Tanzania imekua ni gumzo duniani.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Magu aliwaambia kwamba "corona haipo Tanzania." Sasa mngeendelea kuvaa mask ya nini? Msemo wake kwamba corona haipo meant the end of face mask wearing, just like it did other measures.

Ni juzi tu aliwaambia muanze kuvaa mask baada ya kirusi kuwashika sehemu nyeti 😂 na kufululiza hadi ikulu kule Zanzibar.

Hayo mambo ya chanjo sijayaongelea mie
 
Mbn una argue kichizi hivi? Km tuna factory ndo iweze kutosheleza mahitaji yote?
Watanzania hawakuwa wanavaa barakoa until a few days ago ambapo mkulu alisema muanze kuzitumia. Kulingana na maneno yenu wenyewe, you said that you have the capacity to produce up to a million masks a day and I believe this is something that has been ongoing. At this rate, itakuwaje kuwe na short supply wakati demand ilikuwa chini while production was still standing at a million pieces a day? Unatuona sisi wajinga sana?
 
Having faith and taking actions are two different things. You can have faith that moves mountains but that's not enough for God to work miracles in your life. We all know that God will provide according to His will and timing. However, this is not a reason for inactivity on your part.

Let me give you a classical example: if you are in need of a job and pray about it and have faith that God will indeed bless you with a job, do you think God will cause employers to come looking for you at the comfort of your home? Your guess is as good as mine. You will have to go out there are knock on doors, drop your papers to prospective employers, and do everything you can and God will surely help you. Now, haven't you helped yourself first by writing that application letter and knocking on different offices before God helped you?

In your case, you knew the right thing to do so that even as you pray, God will answer your prayers but you didn't do it. You didn't help yourselves first. You didn't take that important initiative
hizo bado ni principle za wahaba wa imani.

nikuulize swali,wakati Yesu anatembea juu ya maji alitumia nini ili asizame!!!kwanini petro alipojaribu alipiga mbili kisha akazama???

sikia nikwambie wewe mwenye imani duni(maana hata si haba),imani ni zaidi ya upeo wa kawaida wa kufikiri,ni nje kabisa ya principle za kimwili,ndio maana YESU alikaa siku 40 bila kula,ukifanya kwa kuamini kwa jina la Mungu kwamba si lazima ule ili uishi utapitiliza hata hizo siku 40.

unakwenda kanisani kusali maisha yako yakae sawa,kisha unajituma kazini,unadhani tofauti yako na anayefanya kazi kwa bidii bila kusali ni ipi kama sio kakuzidi kujiamini wewe mwoga!!!!
 
Back
Top Bottom