Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NGOs hawataki pipeline yenu ijengwe.

Wivu ulianzia hapa.
JamiiForums-1172118218.jpg
 
"Am acting sloppy Kwenye mambo serious Kama corona?!" . Wow! The pot calling the kettle black. Between Kenya and Tanzania which country acted floppy in matters corona? Ni nchi gani iliaminisha wananchi wake kwamba corona haipo? If that's not being floppy then I don't know what floppy mean.

About mask production, if you have the capacity to produce that much in a day, then why is your government still asking people to make their own masks at home? This is the million dollar question that you guys are avoiding. I am not saying that you ain't producing masks. My question is: why ask people to make their own at home? Am saying this because at some point one of you said that Magu has issues na barakoa za kutoka nje ya nchi ndio mana aliagiza watu wajitengenezee. But it appears you have the capacity to produce your own but still ask people to make them at home. How now??

You can't be talking about fake masks being impounded in USA while your own president is encouraging the use of the same fake masks. Am saying fake because barakoa ya kujitengenezea haijakuwa certified to meet the required standards and specifications. That's double standards.

And just to remind you, masks tunazotumia tunajitengeneza hapa Kenya, hazitoki nje ya nchi.

My Take : Stop talking about being brainwashed or anything. Kila kitu unachotumia, including the phone/computer you used to type your response ni technology ya mzungu. Are you also brainwashed?
We jamaa mbona mgumu sana kuelewa. Unataka tutumie lugha gani uelewe. Nimekwisha kwambia nchi yetu ina element za kijamaa. Hivyo tunaposema "we can produce our own masks" tunajumuisha wazalishaji wote kuanzia viwanda vikubwa kama Muhimbili na MSD mpaka hao wanaotengenezea nyumbani.

Our major means of production are owned by the majority wakiwemo mafundi cherehani wa majumbani, wamachinga, nk. That's contrary to nyinyi ambao mnadhani uzalishaji wa bidhaa lazima ufanywe na wachache wenye uwezo mkubwa.

That's why tunasema mko brainwashed! Mnataka kila kitu mfanye kama wazungu. Nikisema brain washed simaanishi kutumia bidhaa za wazungu, no. Hata wao hutumia bidhaa zetu kama vile parachi na maua, je, tumewa-brain wash? Hapana.

Mfano mzuri wa brainwashing ni huu; Kwamba wazungu (WHO) wanatangaza kupata chanjo ya corona bila kufuata taratibu kama vile miezi 18 ya matazamio. Wanasema lazima kila nchi ichanjwe, kama hamna hela mtakopeshwa. Serikali brainwashed kama ya kwenu inaagiza chanjo 800k. A few weeks baada ya ku-press order yenu inaibuka version mpya ya kirusi huko SA na Congo ambacho hakikingwi na hiyo chanjo mliyoagiza! Sasa hapo pana akili kweli kiongozi?

Sasa sisi wenye Rais mwenye natural brains anajua tu huo ni mchezo na huwa anasema hivyo siku zote. Labda atakuwa pia alishatazama ile movie ya CONTAGION. Hivi serikali yenu yote hakuna basi hata kiongozi mmoja aliyeitazama hii movie awashtue wenzake kwamba haka ni kamchezo ka kuiyumbisha dunia?

Kuhusu hiyo hoja yako ya kusema serikali yetu inasema au ilisema hakuna corona nimeamua nisipoteze muda kuijadili. Imesemwa sana humu. Ungekuwa wa kuelewa ungekwisha elewa.
 
Endeleeni kujifanya wajanja. Mtazidi kufa tu.

Wewe nawe ni fala tu, Kwani humu JF umeona kuna mtu amekufa?
I have lost zero relatives and friends and their relatives and family members in my very diverse network of life then how do I stop living my life for a mere virus with 0.001 probability of fatality,
We are attending church services, schools reopened since last year (Kids know no social distancing madness)
We are attending football matches to full stadium capacity, political campaigns, no stupid masks, no stupid vaccines since june last year and we are are alive enjoying good beer,
Na sasa nalewa hapa maeneo Karibu na home kwangu Kimara Dar es Salaam,
Watu wanaenjoy maisha wapumbavu kama wewe wanajifungia ndani wakisoma propaganda za media za Kikenya, ikiwa huko Kenya mnakusanywa kama mang'ombe kwenye mikutano ya siasa za ufala wa bbi na Wheelbarrows na tangatanga na kieleweke, kina Ruto sijui joshua, hadi kina Gideon Moi wanawakusanya kuwadanganya na mlivo na maisha magumu wasenge nyie mneanda kama makondoo kujaza mikutano without any stupid precautions, why aren't you dying in huge numbers?
Tazama hizi picha nimepiga this time Mjinga mmoja toka Kunyaland

20210228_201836_mfnr.jpg
20210228_200924_mfnr.jpg
20210228_200920_mfnr.jpg
 
NGOs hawataki pipeline yenu ijengwe.

They are wasting their time, $3.5b is a peanut money for Tanzania, we can engage CRDB and fund that project incase wazungu banks pull out their interests.
Tz sio masikini kama Kenya that needs loan in everything they do. Including paying debts and salaries
 
Wewe nawe ni fala tu, Kwani humu JF umeona kuna mtu amekufa?
I have lost zero relatives and friends and their relatives and family members in my very diverse network of life then how do I stop living my life for a mere virus with 0.001 probability of fatality,
We are attending church services, schools reopened since last year (Kids know no social distancing madness)
We are attending football matches to full stadium capacity, political campaigns, no stupid masks, no stupid vaccines since june last year and we are are alive enjoying good beer,
Na sasa nalewa hapa maeneo Karibu na home kwangu Kimara Dar es Salaam,
Watu wanaenjoy maisha wapumbavu kama wewe wanajifungia ndani wakisoma propaganda za media za Kikenya, ikiwa huko Kenya mnakusanywa kama mang'ombe kwenye mikutano ya siasa za ufala wa bbi na Wheelbarrows na tangatanga na kieleweke, kina Ruto sijui joshua, hadi kina Gideon Moi wanawakusanya kuwadanganya na mlivo na maisha magumu wasenge nyie mneanda kama makondoo kujaza mikutano without any stupid precautions, why aren't you dying in huge numbers?
Tazama hizi picha nimepiga this time Mjinga mmoja toka Kunyaland

View attachment 1716668View attachment 1716670View attachment 1716672
Hawa hapa kondoo wamekusanywa🤣🤣👇👇👇
 
Hawa hapa kondoo wamekusanywa
Yaani hapo wao wanaona wanachukua precautions,
Unajua ukiwa na maisha magumu saana, halafu ukawa na Njaa saana na huna matumaini, hata uwezo wa kufikiria unashuka saana.
Hii kitu naiona among Kenyans. Very stupid humans for sure.
Acha wabongo tuendelee na maisha yetu ya kujiachia. Chances za kufa kwa Ajali bongo ni kubwa mno kuliko Covid-19, yaani ugonjwa wa wazungu unichanje mimi? Pumbavu sana.
 
Back
Top Bottom