Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa hawawezi kuzuia mradi kama ingekua kuzuia wangezuia Julius nyerere dam yenye thamani ya 2.9b usd walipiga kelele wee lakini waliambulia patupu 😁😁😁

na mm nikwambia tu kwa ulimi mpana hzi NGOs nyuma yake kuna sura ya kenya lakini kwa kukupa pole zaidi angalia hii video waziri wa mambo ya nje alikua total ufaransa juzi na wamesaini na kukubaliana mambo mengi sana

Total haitumii pesa yake. Total imeomba Mkopo from western banks. Bank moja inayoitwa Standard bank ya South Africa imetengeneza panel ili kuangalia ikiwa mradi huu utaharibu mazingira. Total wameomba loans from banks. Soma hio article.
 
Article from kenya blog written by kenyan serious 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ebu nitaftie news kama hio written by western media nasubiri
 
Total haitumii pesa yake. Total imeomba Mkopo from western banks. Bank moja inayoitwa Standard bank ya South Africa imetengeneza panel ili kuangalia ikiwa mradi huu utaharibu mazingira. Total wameomba loans from banks. Soma hio article.
Total ni investor sasa wanahiari ya kutumia pesa yao au kukopa na china company the same issue so wewe usiwapangie nini cha kufanya 😀😀😀😀 ugua pole mzee
 
Icho kichwa nazani kibovu mkuu ilipotekea mara ya kwanza tukachukua hatua + kujifukiza ikapotea ndo hapo tulisema corona imeisha inamaana ilikuwepo ila imedhibitiwa ikatoweka magu hakusema kua haijawahi kuwepo tanzania.

hiii ya mara ya pili zilianza fununu mwisho tukapewa tahadhari kwamba tuchukue hatua kujikinga, mfano mzuri kwenye usafiri wa mwendokasi fwatilia utaelewa nini namaanisha

Hasa hapo ambacho huelewi kipi hebu tumia akili basi
Corona haikupotea ndugu yangu. Naomba tuwe tu wakweli. Tanzania ilisimamisha utoaji wa habari zozote kuhusu hili janga for almost three weeks. During this time, no one knew what was happening. It was a top-guarded secret. Later mkaambiwa mfanye maombi ya siku tatu "kufukuza" corona. Baadae, Magu akatangaza kwamba Tanzania is corona-free. Just like that!

During all this time, Tanzania was receiving international arrivals from countries that had reported severe cases of corona, including from neighbouring countries. Most of these people were not even screened, especially those who were crossing by foot from neighboring countries. But Tanzanians were still made to believe hakuna corona kwao. Hata kama wewe ni mjinga aje, huoni kwamba huu ni uwongo?
 
Kwani rais anaposema mujihadhari hua anasema tujihadhari na nini? Na hotuba zake zote fatilia hua lazma atamke hilo neno na Anaposema tumieni mask za ndani hua anamaana gani?? Tatizo nyinyi munamchukia kwa sababu hajaua uchumi kwa lockdown kama mulivoungia chaka nyinyi mukategemea na sisi tuwaige

kila nchi duniani inapambana kwa njia zake usilazmishe tanzania iwafaate wapuuzi nyinyi hilo haliwezekani pambaneni na hali zenu huko
Unasahau kwamba licha ya sisi kuwa kwenye lockdown, our economy performed far better than yours in most sectors? Lokudawnu 😂 😂
 
Yaani hapo wao wanaona wanachukua precautions,
Unajua ukiwa na maisha magumu saana, halafu ukawa na Njaa saana na huna matumaini, hata uwezo wa kufikiria unashuka saana.
Hii kitu naiona among Kenyans. Very stupid humans for sure.
Acha wabongo tuendelee na maisha yetu ya kujiachia. Chances za kufa kwa Ajali bongo ni kubwa mno kuliko Covid-19, yaani ugonjwa wa wazungu unichanje mimi? Pumbavu sana.
Mkuu leo umeshusha nondo babkubwa, hakuna mkunya atakugusa leo
 
Najua world bank report imekutesa sana, unajitia hamnazo tu humu, vumilia kaka, tafuna ndimu Kama mwanaume, be strong , wacha kulia lia kama wanadada na kujitetea with zero points, umependa kuokota opinions za tweeter, hizi ni reactions from a factual report ., alamskiki.
Ss hapo umeonesha world bank report au individual concerns about the report.
 
hizo bado ni principle za wahaba wa imani.

nikuulize swali,wakati Yesu anatembea juu ya maji alitumia nini ili asizame!!!kwanini petro alipojaribu alipiga mbili kisha akazama???

sikia nikwambie wewe mwenye imani duni(maana hata si haba),imani ni zaidi ya upeo wa kawaida wa kufikiri,ni nje kabisa ya principle za kimwili,ndio maana YESU alikaa siku 40 bila kula,ukifanya kwa kuamini kwa jina la Mungu kwamba si lazima ule ili uishi utapitiliza hata hizo siku 40.

unakwenda kanisani kusali maisha yako yakae sawa,kisha unajituma kazini,unadhani tofauti yako na anayefanya kazi kwa bidii bila kusali ni ipi kama sio kakuzidi kujiamini wewe mwoga!!!!
We kwel mwehu, akili hizi ndio zile ma pastor wanazipenda sana..
Mpka mbegu mkeo atapandikizwa huku wewe ukibaki kujenga imani tu
 
Corona haikupotea ndugu yangu. Naomba tuwe tu wakweli. Tanzania ilisimamisha utoaji wa habari zozote kuhusu hili janga for almost three weeks. During this time, no one knew what was happening. It was a top-guarded secret. Later mkaambiwa mfanye maombi ya siku tatu "kufukuza" corona. Baadae, Magu akatangaza kwamba Tanzania is corona-free. Just like that!

During all this time, Tanzania was receiving international arrivals from countries that had reported severe cases of corona, including from neighbouring countries. Most of these people were not even screened, especially those who were crossing by foot from neighboring countries. But Tanzanians were still made to believe hakuna corona kwao. Hata kama wewe ni mjinga aje, huoni kwamba huu ni uwongo?
We nae umeng'ang'ana na corona mpk unakera jombaa, haya basi corona ipo Tz na imeua hapa Tz kuliko nchi yoyote duniani, happy now!?
 
They are wasting their time, $3.5b is a peanut money for Tanzania, we can engage CRDB and fund that project incase wazungu banks pull out their interests.
Tz sio masikini kama Kenya that needs loan in everything they do. Including paying debts and salaries
Umeona sasa ulivyokuwa mwehu, si mlipe kwanza deni la mkulima km mna huo ubavu.
 
Yaani hapo wao wanaona wanachukua precautions,
Unajua ukiwa na maisha magumu saana, halafu ukawa na Njaa saana na huna matumaini, hata uwezo wa kufikiria unashuka saana.
Hii kitu naiona among Kenyans. Very stupid humans for sure.
Acha wabongo tuendelee na maisha yetu ya kujiachia. Chances za kufa kwa Ajali bongo ni kubwa mno kuliko Covid-19, yaani ugonjwa wa wazungu unichanje mimi? Pumbavu sana.
Unapiga kelele na wakati hata chanjo za polio ulidungwa huku mkeo akingangania dawa za kupanga uzazi

Wajinga ndio wale wao, hapo bado kuna watanzania wanapangia foleni ARV za mabeberu eti kisha chanjo wanajitia kususa..

Nyie semeni ukweli tu km mnafuata mkumbo, ile siku bichwa nundu ataagiza wabunge wote watapiga meza na kumsifia
 
Tunasubiri mfanyiwe majaribio zen ikiwa poa na cc tutaikubali, kwn shida iko wapi? Si mpunga tu!
 
Mbona basi mnaambiwa mujitengenezee nyumbani? Kuwa na kiwanda sio issue. The issue is that does it produce enough? (if any). Unawezeka kuwa na kiwanda lakini haizalishi chochote na maybe ndio maana mmaambiwa mjitengenezee nyumbani
huwa unachagua habari nusu nusu....

hivi president aliposema kuwa tuchukue tahadhali alimaanisha nini...?...mbona hauluzungumzii hilo..?

kuna vitu vikizungumzwa inabidi ujiongeze kauli za magu za mwanzo aliongea kwaajili ya kutoa hofu na hilo alushalusema,,,,hauwezi kuwa mpiganaji kabla ya kuingia uwanja wa vita ukasema kuwa vita tumeshindwa wakati hata haujaingia uwanjani,,,muwe mnaelewa kauli za magufuli kiundani na si juu juu tu,,,,mpo nyuma sana kwa upande wa speech understanding,,,,,
 
Mbona basi mnaambiwa mujitengenezee nyumbani? Kuwa na kiwanda sio issue. The issue is that does it produce enough? (if any). Unawezeka kuwa na kiwanda lakini haizalishi chochote na maybe ndio maana mmaambiwa mjitengenezee nyumbani
hujui kupima kauli mzee baki na ujinga wako,,kwenye lugha kuna undani wa mambo ,,,,si kila anayekuambia kuwa wewe ni mjinga huwa anamaanisha kuna mwingine anakuita mjinga ili uupime ujinga wako...

hamjui kupima misemo kabisa,,,,mpo nyuma sana misemo ina upana sana tofauti na ufikiriavyo
 
Back
Top Bottom