Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,523
Taja mojaKwani huko Kenya hakuna makampuni yanayozalisha umeme wake ?![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Taja mojaKwani huko Kenya hakuna makampuni yanayozalisha umeme wake ?![]()
Afrika Mashariki Tanzania ndio nchi pekee inayoweza kuwa na umeme wa nyuklia.Mimi ni Mtanzania ila ukweli ni kwamba Kenya mko mbele zaidi katika vitu vingi kwa mfano ishu ya umeme , ninyi mpo mbele zaidi kwanza mnauza umeme kisasa zaidi mtu unajenga nyumba makampuni ya umeme yanakuwekea umeme yenyewe tena kwa kushindana hiyo kwetu hapa haipo kabisa yaani kuunga umeme ni taabu ile mbaya.Pia wakati watz wanawaza umeme wa maji ninyi mnawaza umeme wa nyuklia ambao ni bora na wa kuaminika zaidi kuliko huu wa maji.
Tatizo watz wengi wana wivu tu na hiyo Kenya hawana jambo zaidi sasa wivu wao badala wawaze kufanya kitaalamu wao mambo yao wanafanya kizamani zaidi.Kenya mpo smart na kamwe mtu smart hatatawaliwa na mtu anayetumia nguvu zaidi kuliko akili.
Keep up Kenya sisi huku tunaburuzwaburuzwa tu
kwa maana iyo wameishiwa vya kupost


Hakuna kitu kama hicho ulichoandika,uhaba wa imani yako usisahabishe utengeneze theories zako ambazo hazipo.Mimi ni Mkristo tena imara ila Bibilia inaniambia kwamba Mungu husaidia mtu anayejisadia. Don't expect God to work miracles in your life if you are not making any effort to better your life. Mungu anataka aone Kwanza unavyojituma na kujikakamua. Hapo ndipo ataanza kutimiza mahitaji yako. Maombi so mbaya but you can't just sit there, not observe any rules with regards to the virus and expect God to exempt you wakati unajiexpose kwa kirusi kila siku by not following the laid down guidelines. It doesn't work that way my brother. It takes personal efforts for God to work miracles in your life. That's where you all went wrong na matokeo yake dunia iliona
kwenye grup nililopo, kuna mtu kajibu hivView attachment 1716107
Side effects zimeshaanza 👀
Acha porojo lete kifungu cha biblia kuprove ulichosemaBibilia ni kitabu cha mafumbo. Yesu mwenyewe alikuwa akifundisha kutumia mafumbo. If you take it literally, you will have a difficult time understanding the Bible and any of its hidden messages.
Pekua vitabu zinazozungumzia laziness and you'll get my point
Look at how self-contradictory you are. Umesahau kwamba ni wiki iliyopita tu Magu kawaambia muanze kuvaa masks na kumantain social distancing baada ya kirusi kupenyeza hadi ikulu? You look stupid by arguing this way.View attachment 1716063
Hao mnaowaaabudu kila siku wanabadilisha magoli ya jinsi ya kujikinga. Sasa wanasema barakoa hazifai, mnazidi kuumbuka.
Tukikuita mpumbavu utabisha!Look at how self-contradictory you are. Umesahau kwamba ni wiki iliyopita tu Magu kawaambia muanze kuvaa masks na kumantain social distancing baada ya kirusi kupenyeza hadi ikulu? You look stupid by arguing this way.
These guidelines are followed by all the countries in the world except Tanzania that chose prayer and exotic medicines. How you single out just Kenya is laughable to say the least. Ulitaka nasi pia tuache kuchukua tahadhari tuweke maombi mbele?


labda" sosho distensi"You are debating with a lot of emotions! Eti wakenya hawajengi nyumba? 😂 😂Umenifanya niingie online
Kenya ipi unaizungumzia?
Unadhani wote humu hawaijui Kenya?, hadi wakenya watakushangaa... Kenya wanashifirika moja la umeme kama Tanesco.
Wakenya gani wanajenga nyumba zao..
Wakenya asilimia 70 na zaidi hawezi kumudu kujenga nyumba zao... Wanakaa kwenye yale magorofa ambayo kodi yake ni 5K.
Kwa taarifa yako gharama ya umeme Tanzania ni nafuu kuliko Kenya.
Pia Umeme Kenya unakatika kuliko Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndio guidelines mnazozifata!Look at how self-contradictory you are. Umesahau kwamba ni wiki iliyopita tu Magu kawaambia muanze kuvaa masks na kumantain social distancing baada ya kirusi kupenyeza hadi ikulu? You look stupid by arguing this way.
These guidelines are followed by all the countries in the world except Tanzania that chose prayer and exotic medicines. How you single out just Kenya is laughable to say the least. Ulitaka nasi pia tuache kuchukua tahadhari tuweke maombi mbele?



This is the problem with debating with a conditioned mind na yenye imejaa hasira. My point is, these measures are still in place even though people flaut them. Uvaaji wa mask bado hutiliwa mkazo and people get arrested everyday for not wearing them.Tukikuita mpumbavu utabisha!
Jana uliandika hivi "The measures are still in place in Kenya sema tu watu wamelegea kidogo kuzifata." ona ulivyo jikaanga kwenye comment yako
Hizo measures ambazo watu wamelegea zinawasaidia nini?
Viongozi wenu kila siku wanazivunja hizo measures mlizoziweka na huko hapa kupiga panganga!
Hivi kenya mnamentain social distancinglabda" sosho distensi"
Usituone wajinga humu kana kwamba hatuoni kinachoendelea hapo failed state.
You can clearly see people are maskedHizi ndio guidelines mnazozifata!
Kwenye "sosho distensi" pia naona wameachana mita tatu tatu
View attachment 1716153View attachment 1716154View attachment 1716155View attachment 1716156
Using points, can you explain these claims?Afrika Mashariki Tanzania ndio nchi pekee inayoweza kuwa na umeme wa nyuklia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaelewaje wakati hujui Biblia ni kitabu cha mafumbo?Acha porojo lete kifungu cha biblia kuprove ulichosema



This is the problem with debating with a conditioned mind na yenye imejaa hasira. My point is, these measures are still in place even though people flaut them. Uvaaji wa mask bado hutiliwa mkazo and people get arrested everyday for not wearing them.
Tofauti yetu na nyinyi Ni kwamba serikali yetu imetuambia the right thing to do, haikutudanganya like your government did to you. As you know it, these measures are meant to prevent infections only up to a certain degree. Suala la watu kukusanyika kwenye mikutano ya kisiasa is an unfortunate one but still utaona watu na barakoa zao midomoni
Ukiangalia picha nilizo post waliovaa barakoa ni wachache kuliko ambao hawajavaa.You can clearly see people are masked



uganda pia hawana ndege za kutosha bro, labda ungesema tuna weigh options ( scale of preference)Tunaanza China kwanza! Hatuna ndege za kutosha kwa ajili ya routes za Ulaya na China!