Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu ioo corona hamna aliegoma kua haipo ipoo ila sio kwa kiwango hicho mnacho zani mbona si tunaishi vizuri tu tunadunda, mnaohangaika ni nyie ukoo na kafyuuu zenu hizoo
Wakati Magu akisema corona imeisha Tanzania ulikuwa umesafiri nje ya Tanzania? Mbona hamueleweki? Mara haipo, mara ipo, mara iko kidogo. Mara ni changamoto tu za kupumua, mara ooh...mara eeh! What a confused country!
 
Watanzania walivyokuwa wakiringa walipotunyang'anya pipeline ya EACOP

Saa hizi NGOs wanachezea mat*ko zenu
Hii pipeline inakunyima usingizi.
JamiiForums-1172118218.jpg
 
tumia hata akili... wakat wanakufa tuseme 10 alikuwa wapi huyo? nina uhakika akikamatwa na akaambiwa aende kuonyesha makuburi ya hao watu na ushahid kuwa walikuwa ni mapadri au sista hawezi kufikisha hio idadi
There are people who will stand to say the truth despite of everything na moja wao ni huyu Father. He went against the tide and spoke the truth and of course he rubbed some shoulders the wrong way. Hata yule VP wa Zanzibar stood up to say the truth wakati watanzania bado walianinishwa na mkulu kwamba corona haipo.
 
Kuna viwanda hapa Tz wanatengeneza mask poa kabisa hua wanaziuza MSD na watumiaji hua tunazigiza uko MSD, ziko na standard alieleza uyo jamaa,Za kuagiza kutoka nje ndio haziaminiki
Pili ni kupoteza thamani ya shilingi kwa kufanya manunuzi makubwa nje ya nchi.
 
Wewe nawe ni fala tu, Kwani humu JF umeona kuna mtu amekufa?
I have lost zero relatives and friends and their relatives and family members in my very diverse network of life then how do I stop living my life for a mere virus with 0.001 probability of fatality,
We are attending church services, schools reopened since last year (Kids know no social distancing madness)
We are attending football matches to full stadium capacity, political campaigns, no stupid masks, no stupid vaccines since june last year and we are are alive enjoying good beer,
Na sasa nalewa hapa maeneo Karibu na home kwangu Kimara Dar es Salaam,
Watu wanaenjoy maisha wapumbavu kama wewe wanajifungia ndani wakisoma propaganda za media za Kikenya, ikiwa huko Kenya mnakusanywa kama mang'ombe kwenye mikutano ya siasa za ufala wa bbi na Wheelbarrows na tangatanga na kieleweke, kina Ruto sijui joshua, hadi kina Gideon Moi wanawakusanya kuwadanganya na mlivo na maisha magumu wasenge nyie mneanda kama makondoo kujaza mikutano without any stupid precautions, why aren't you dying in huge numbers?
Tazama hizi picha nimepiga this time Mjinga mmoja toka Kunyaland

View attachment 1716668View attachment 1716670View attachment 1716672
Sasa unakasirika kwa sababu kasisi amesema kwamba 25 priests na 60 Nuns wamekufa kwa corona? Kama unapinga basi nenda kampinge kasisi mimi nawasilisha tu habari ila mimi sio mtoa habari.

After the World bank report on Tanzania economic status 2021., Reactions za watani.., truth will set people free., ndoto zitabaki kua ndoto tu.,
Screenshot_20210303-215805.jpg

Screenshot_20210303-220122.jpg

Screenshot_20210303-220056.jpg

Screenshot_20210303-215849.jpg

Screenshot_20210303-215817.jpg
 
Sasa unakasirika kwa sababu kasisi amesema kwamba 25 priests na 60 Nuns wamekufa kwa corona? Kama unapinga basi nenda kampinge kasisi mimi nawasilisha tu habari ila mimi sio mtoa habari.

Unawasilisha habari inayotoka kaenye media za kenya ?? Kwann usilete habari iliowasilishwa na tanzania ?? kwann munaingilia mambo ya tanzania wakat tanzania haiingilii ushuzi wenu?? Na kwann ni nyie tu africa pekee munayoingilia mambo ya tanzania na sio nchi zingine za africa

munashida gani na tanzania ??😀😀😀😀
 
Kwa hivyo kwa sababu watu wanapitia hali ngumu samburu ina maana kwamba Gdp yetu sio kubwa kushinda yenu?
GDP iko wapi inajinyea na madeni?? Haiwezekani ujisifu na GDP alaf watu wako na hali ya kufa huko samburu

huwezi kua na GDP kubwa alaf watu wananuka njaa haiwezekani mzee 😀😀😀
 
Unawasilisha habari inayotoka kaenye media za kenya ?? Kwann usilete habari iliowasilishwa na tanzania ?? kwann munaingilia mambo ya tanzania wakat tanzania haiingilii ushuzi wenu?? Na kwann ni nyie tu africa pekee munayoingilia mambo ya tanzania na sio nchi zingine za africa

munashida gani na tanzania ??😀😀😀😀
Nyinyi mnadanganya kwamba TZ haina corona. Hatuwezi kuwaacha. Tutazidi kuwashika mashati hadi mkubali kwamba TZ ina corona.

Hata kasisi wenu amekiri kwamba amepoteza watu 85 kupitia ugonjwa wa corona

Nyinyi mnadanganya kwamba TZ haina corona. Hatuwezi kuwaacha. Tutazidi kuwashika mashati hadi mkubali kwamba TZ ina corona.

Hata kasisi wenu amekiri kwamba amepoteza watu 85 kupitia ugonjwa wa corona

Hujanijibu swali kwann nyie muizungumzie tanzania kwa africa kwann wasiwe waganda na rwanda au zambia?? Kwanini kenya
Muna shida gani na tanzania au wewe ulitaka lockdown??
 
GDP iko wapi inajinyea na madeni?? Haiwezekani ujisifu na GDP alaf watu wako na hali ya kufa huko samburu

huwezi kua na GDP kubwa alaf watu wananuka njaa haiwezekani mzee 😀😀😀
Inawezekana. Hata pia kuna familia ambazo baba ni tajiri ajabu ila watoto wanalala njaa.
 
Nyinyi mnadanganya kwamba TZ haina corona. Hatuwezi kuwaacha. Tutazidi kuwashika mashati hadi mkubali kwamba TZ ina corona.

Hata kasisi wenu amekiri kwamba amepoteza watu 85 kupitia ugonjwa wa corona

Kwani magufuli aliposema mchukue tahadhari na corona anakua anamaana gani au wewe unajua kiswahili kuliko sisi??
Aliposema mutumie barakoa za ndani na sio za nje anamaana gani???

au shida yenu ni kwamba tanzania ifate kenya kwenye lockdown kama mulivoua utalii na biashara 😀😀😀 sikia nikwambia tanzania haiwezi kuifata kenya hata siku moja na sababu unazijua sana

kila nchi duniani imetumia njia yake kupambana na corona musitake kuisemea tanzania wakat kwenu uharo unawatoka
 
Hujanijibu swali kwann nyie muizungumzie tanzania kwa africa kwann wasiwe waganda na rwanda au zambia?? Kwanini kenya
Muna shida gani na tanzania au wewe ulitaka lockdown??
Uganda wanawaogopa. Uganda na Rwanda ni nchi ndogo. Ila Kenya ndio baba wa Afrika Mashariki, hatuwaogopi sie. Nyinyi mkileta mchezo tunatembeza viboko.
 
Back
Top Bottom