Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hakuna mtu anayevimba kwa hiyo pesa
We kw kupinga hujambo[emoji1787][emoji1787]
Kuna video mlileta hapa siku hyo, eti sijui mtaa gani umepanda bei kisa siku hzi hakuna vyuma vya 25k tsh nikuanza 30k..
Yani nilishangaa sana
 
Ayayai. Hio booti ya black imenimaliza. Hivi viatu mbona msivilete Kenya. Ama mndhani hatuna uwezo wa kuvinunua?

Tony254 hivi viatu kama sikosei ndo kwanza vimeanza kuuzwa Tanzania. Hivyo mdogo mdogo hadi Kenya vitafika. Kwa ushauri tu muombe ichoboy akija Nairobi akuletee.
 
Wewe kijana kibera ujui lolote unakaa kibera unaongea kupitia stori za wakola wenzako
Wakola[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yeah wakola[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] kama wewe[emoji23]
 
Hawa huwa tunawafurahisha tu humu wasijione wapweke ila hata wao wanajua tumewaacha mbali sana.
The difference is too obvious, no comparison, ni tuvitu tu chache zenye wamejenga zinawapea orgasm, ndio wanaona wamefika[emoji1787][emoji23][emoji23], EAC hapa hakuna any to level. Here is having fun and learning kiswahili., have picked many words., nime improve kiswahili sana[emoji23][emoji23]
Masikini akipata matako yanalia mbwata[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
90% of Tanzanian roads are not marked.

View attachment 1711288
tapatalk_1614172501252.jpeg
tapatalk_1614172488748.jpeg
 
This is the reason why Tanzanians don't always show ground pictures of their CBD. Angalieni uchafu[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116].
tapatalk_1614172461439.jpeg
tapatalk_1614172649618.jpeg
 
Halafu huku Nairobi nimeona wasichana wengi kutoka Uganda wanakuja kufanya kazi za nyumbani. Yaani kuosha nyumba na kupika na kadhalika. Sijui kama umenotice hio trend?
Nipo na washikaji kutoka chad nao wanashangaa🙂
 
Tofauti ni kama usiku na mchana.[emoji23][emoji23][emoji23].The first picture ni Britam na Second picture ni TPA. Angalieni tofauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji116][emoji116]

IMG_20210223_183039.jpeg
tapatalk_1614172461439.jpeg
 
Hahaha kwa hivyo leo ulikuwa Tom Mboya avenue. Nilikuwa hapo Monday ila eneo lenyewe watu huwa busy hawana shughuli na mtu. Dar pia watu wako busy hivyo au huko mmetulia tu. Mnatembelea polepole na kusalimiana?
Hamna tulikuwa tumeenda Kula sehemu moja hivi 🙂
 
Back
Top Bottom