xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
😂😂😂😂utafkir nyie mnaweza kuinunua 😂😂😂😂😂😂Tumemaliza. Imetestiwa kwa mwili ya watu 1.2 million huko Israel na inafanya kazi. Hii vaccine ya pfizer iko very effective. Lakini hamuwezi kuiafford maana hamna hio pesa ya kununua.
