Anza kuiombea kenya yenye case zaidi la laki 1Pray for tanzania,
hawa apaStendi ya kawaida ya mabasi Nairobi [emoji846]View attachment 1711066View attachment 1711067
Na barabara tunaona iko marked pia heheheStendi ya kawaida ya mabasi Nairobi [emoji846]View attachment 1711066View attachment 1711067
Iweje leo iko Tanzania? 😂 😂 Ugonjwa Kama huu haufichiki kaka!Huo ugonjwa uko kila mahali na ni hao wazungu waliusambaza duniani kabla hawajaitaja nchi yyte wakumbuke chanzo alikua nani
Ayayai. Hio booti ya black imenimaliza. Hivi viatu mbona msivilete Kenya. Ama mndhani hatuna uwezo wa kuvinunua?
Nairobi looks goodStendi ya kawaida ya mabasi Nairobi [emoji846]View attachment 1711066View attachment 1711067
80k tu tshAyayai. Hio booti ya black imenimaliza. Hivi viatu mbona msivilete Kenya. Ama mndhani hatuna uwezo wa kuvinunua?
Usiforce vitu, unacheka kweli ama ndo kujipa moyokunawatu hapa kimba znagonga pichu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani kimba znashtua kijoti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1711070View attachment 1711071View attachment 1711072
Hahaha kwa hivyo leo ulikuwa Tom Mboya avenue. Nilikuwa hapo Monday ila eneo lenyewe watu huwa busy hawana shughuli na mtu. Dar pia watu wako busy hivyo au huko mmetulia tu. Mnatembelea polepole na kusalimiana?Nimekutana na BRT ya Nairobi sema waliifungua kidogo ipumue[emoji2]View attachment 1711031
Dont force things, not impressive
Kwani cha ajabu nn?kenya hamna ugonjwa?Iweje leo iko Tanzania? [emoji23] [emoji23] Ugonjwa Kama huu haufichiki kaka!
Hio iko affordable. ni ksh 4k. Ikija Kenya bora ni pure leather nitainunua. Jitumeni kibiashara mzilete huku mpige pesa ndefu. Hata hamna competition maana Kenya sidhani kama tunaunda vitu kama hivyo.80k tu tsh
Aisee hapo sio msanga kwa bibi[emoji23][emoji23]Stendi ya kawaida ya mabasi Nairobi [emoji846]View attachment 1711066View attachment 1711067
We mbulula unanitafuta?Dont force things, not impressive
Unatabia za kichawiDont force things, not impressive
Hua muungwana sana ni vyemaHio iko affordable. ni ksh 4k. Ikija Kenya bora ni pure leather nitainunua. Jitumeni kibiashara mzilete huku mpige pesa ndefu. Hata hamna competition maana Kenya sidhani kama tunaunda vitu kama hivyo.