Very true....very very slow... no wonder these guys are behind....😂 😂 😂 😂 😂 😂 Dar is slum hii moja? sasa we will stick to English., Kiswahili iko na wenyewe, lugha ya kizembezembe, vile Mombasa na Dar walivyo, tafadhali, naomba, shikamoo, etc., ya adabu pia..,(Tz yote btw, slow and laid back)
pesa za Ku mark wilijengea stendi kule kichakani..wa TZ aisee..wacha tu
CC: Tony254
Then ungejieleza maana nimeshindwa kupata maana nikajua nyumba zenyu zimekuwa irrigation sites!Wakenya wa bara kiswahili chetu ni kibovu. Huku huwa tunaita bomba kwamba ni mfereji.
Msaada, not impressive
Hio hio mabibo tukizoom 🤣🤣👇👇👇 umeona vile kwann mzungu hajaona slum mpaka leo
Kwan mji gani kenya umepangika nitajie mji mmoja tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Shebby01 The best 007 Naton Jr
Geza Ulole
Sasa nadhani ichoboy01 amewapa darasa kuhusu jinsi mji unavyostahili kupangwa.
Sumbawanga ndio best mji wa TZ in terms of city planning. Sikujua Tanzania mna city ambayo iko well planned namna hii. Inapendeza macho ukiitazama kutoka juu.
View attachment 1710615View attachment 1710616
Sio huu uharo wa Dar es Salaam
View attachment 1710624View attachment 1710628
Kwa hivyo wazungu wanatumia tissue kwa sababu ya ukosefu wa maji? Ona huyu wazimu.hakuna cha flow ya maji wala nini wacha kujipotosha pia wacha kujipa maneno ya kizembe yanayodhihirisha ukapuku wako,,,,
flow ya maji imefanya nini,kwanini iwe flow ya maji miaka yote hiyo....?...
na kinachonifurahisha wakenya huwa mkinya hamtawazi huwa mnatumia paper of magazine hiyo yote sababu ya ukossfu wa maji...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii mada ilikushinda, usiforce vitunyie wakunya mnaoishi kwenye magofu yanayokaribia kuporomoka...
karibuni dar niwapangishe single room hiziView attachment 1710980View attachment 1710981View attachment 1710982View attachment 1710983
Mada gani tenaHii mada ilikushinda, usiforce vitu
So usituambie bus terminal inakuuma 🤣🤣pesa za Ku mark wilijengea stendi kule kichakani..wa TZ aisee..wacha tu
Tunaona project ya mchina tunasubiri matokeo sasa 😂😂😂😂 miaka 30 ya mchinaView attachment 1710989View attachment 1710991
Best road in Africa baby, not finished but already causing schock waves.
we ni mzubngu...?..Kwa hivyo wazungu wanatumia tissue kwa sababu ya ukosefu wa maji? Ona huyu wazimu.
mzee ojwani tulia,,,huna maisha hata robo,,,,,,,ganda kwenye mabanda yenu hayo [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Hii mada ilikushinda, usiforce vitu