komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kwani mlianza kujenga juzi hvyo vitu
Kwani mlianza kujenga juzi hvyo vitu
Huu mtaa ungelikua tz basi sai pangeliitwa ushuaniEwaaaaah! Yani umegongelea msumari mahala pake huaga unaongea point Sana sema dawa za mental zibadlishwe kufanya kazi Ila basi tu
Ni kweli Sana hata mimi juzi nimeshangaa Sana kuona eti Tanzania wanaendea kujenga BRT wakati hawaitajina BRT ya Kenya iko Sawa Sana
Hata hiyo stendi haina maana vile ni Bora serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania Inge consider usafiri wa miguu,baisikeli au kusisitiza ufugaji wa punda kwa ajili ya Transportation from mkoa to mkoahata hizi meli na Geri wana introduce kushindana na Kenya si za kiwango
Najiulizanga kwani ni Tanzania ina leta treni za kisasa electric na vile ya diesel au mkaa iko Sawa
Wakenya tuko na akili Sana sema slums ndo huaga zinaturudisha nyuma![]()

Kibera na refuges camp ndio level zenuHii ni definitions ya nini?
Kenya nzima ni shithole kuanzia nairobi mpaka mikoani
View attachment 1710464View attachment 1710465View attachment 1710466View attachment 1710467View attachment 1710468


Sehemu unayoweza imudu kimaisha pekeake nairobiShithole nairobi the mother of slums and lowlife
View attachment 1710478View attachment 1710479View attachment 1710480


Enjoy industries hzo


Wakati Dar ipo 95% ya tap water supply to the rest of the city which is two times biggest than nairobi
Nairobi ipo kwenye first century technology of boreholes inaugurated by the president yet mnajiita most modern city, it's crazy 😅😅😅
View attachment 1710743
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 wacha watu wajiburudishe bro.,😂😂😂 walianzisha wenyewe kutupa mawe, wamesahau kwao wamejenga kwa glass kwanza kubwa sana.,Lakini leo tumepigana sana. Tupunguze kichapo pande zote mbili.😂😂🤣🤣
We linganisha hiyo mitambo ulio post ya world war 2 na ya dawasa🤣🤣🤣🤣🤣Kisumu water (Kiwasco), mambo ya kawaida tu.,
View attachment 1710772
View attachment 1710773
Water treatment plant; Eldoret.,
View attachment 1710775
View attachment 1710776
NO BIG DEAL..,
Hujaona daladala hapo nyuma?Halafu nataka evidence kama hapo ni TZ. Maana cocacola ni international brand hapo panaweza kuwa popote duniani. Hapo sio Dar.
Mbona unalia!Waafrika tumerogwa. Eti nchi masikini kabisa duniani ina concept cars na hata barabara ni mbovu ina bumps na sio expressway. Haya magari yameundwa kuendeshewa kwenye expressways za Marekani au UK au autobahn za Germany. Mahali ambapo hakuna bumps na hakuna roundabout. Hamuwezi kusomesha watoto wenu vizuri au kuwapa kazi nzuri lakini tayari mna concept cars? Waafrika aliyeturoga kafa.
Mbona unapata maumivu kwenye swala la maji naomba mkae kimya aseeDar haikomboleki karne hii, wachana na Nairobi na shida zake., bado mpo mashambani tu, licha ya kukua na mifereji ya maji, yaani maisha ni yale yale ya vijijini, kama vile watu wanaenda mitoni kuteka maji, yaani pale Dar nyie mnatunga folen mahali hizo taps zimewekwa, kwani hawawezi kuweka mfereji kwa kila nyumba ama ni umasikini umekithiri sana? ama ni ujamaa? sielewi, kaka nifahamishe kikamilifu..,
Mitungi mumejaza kwa nyumba.., licha ya maji maisha inabaki ya kishamba tu.., inaeza kua mko na maji 95% to 100% lakini sasa weka mpangilio mwafaka, Dar ni mashambani tu![]()
![]()
![]()
View attachment 1710835
View attachment 1710808
View attachment 1710809
View attachment 1710815
View attachment 1710818
View attachment 1710822
View attachment 1710823
View attachment 1710829
View attachment 1710830
View attachment 1710836
View attachment 1710838
Duh! Kumbe hawa mang'ombe wakisema wana maji 95% ya makaazi ya Dar kumbe wanamaanisha kwamba wamefunga mifereji communal nje ya estate ili kila mtu aje achote? Hahaha. Mimi nilidhani kwamba kila nyumba imefungiwa mfereji wake ndio maana nikashangaa sana na kuwapa kongole maana walikuwa wanakimbizana na Marekani mahali ambapo karibu kila nyumba ina mfereji ndani ya nyumba. Nilikuwa nimeshaanza kuona Dar kwamba imeanza kuwa Ulaya kumbe bado sana. Nilijua tu kuwa nchi masikini za Afrika mashariki hazitafika haraka mahali pa kila nyumba kuwa na mfereji ndani ya nyumba. Hii mifereji communal ambayo ipo nje ili kila mtu aweze kuchota ipo hata hapa Kenya. Na haturingi. Hata slums za Kenya siku hizi zina mifereji za kufungiwa nje.Dar haikomboleki karne hii, wachana na Nairobi na shida zake., bado mpo mashambani tu, licha ya kukua na mifereji ya maji, yaani maisha ni yale yale ya vijijini, kama vile watu wanaenda mitoni kuteka maji, yaani pale Dar nyie mnatunga folen mahali hizo taps zimewekwa, kwani hawawezi kuweka mfereji kwa kila nyumba ama ni umasikini umekithiri sana? ama ni ujamaa? sielewi, kaka nifahamishe kikamilifu..,
Mitungi mumejaza kwa nyumba.., licha ya maji maisha inabaki ya kishamba tu.., inaeza kua mko na maji 95% to 100% lakini sasa weka mpangilio mwafaka, Dar ni mashambani tu 😂 😂 😂 😂
View attachment 1710835
View attachment 1710808
View attachment 1710809
View attachment 1710815
View attachment 1710818
View attachment 1710822
View attachment 1710823
View attachment 1710829
View attachment 1710830
View attachment 1710836
View attachment 1710838
Toka mashambani na weweMbona unapata maumivu kwenye swala la maji naomba mkae kimya asee
Wacha upumbavu last mile connection huwa kwa mteja yaani serikali inaleta maji mpaka mtaani then mwananchi unalipa ku-connect Kwa nyumba yako at a very low cost! Nyie hamna hilo mna water kiosks na pia magari ya ugawaji maji! Usifananishe Nairobi na Dar kwenye hili hata siku moja!We
Duh! Kumbe hawa mang'ombe wakisema wana maji 95% ya makaazi ya Dar kumbe wanamaanisha kwamba wamefunga mifereji communal nje ya estate ili kila mtu aje achote? Hahaha. Mimi nilidhani kwamba kila nyumba imefungiwa mfereji wake ndio maana nikashangaa sana na kuwapa kongole maana walikuwa wanakimbizana na Marekani mahali ambapo karibu kila nyumba ina mfereji ndani ya nyumba. Nilikuwa nimeshaanza kuona Dar kwamba imeanza kuwa Ulaya kumbe bado sana. Nilijua tu kuwa nchi masikini za Afrika mashariki hazitafika haraka mahali pa kila nyumba kuwa na mfereji ndani ya nyumba. Hii mifereji communal ambayo ipo nje ili kila mtu aweze kuchota ipo hata hapa Kenya. Na haturingi.
Cc Geza Ulole Naton Jr
hizi nguzo ni lile daraja ya kuingilia?Up to now this stuff isView attachment 1710855