Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Hongera hapa kwa kituo. Ushindani nimeweka pembeni. Kazi nzuri Jakaya na Magufuli wamefanya.
Nilikuambua get in the bus or KQ nenda kajionee., kwao ni kawaida sana, inakaa villagish hivi., Kenya nyumba nyingi ziko na taps za maji ndani, ama kwa compound incase not all houses, shida ni flow ya maji, not mifereji, maji inapotea in some places na kwingine inakuja like thrice a week, sio eti tap haziko. Hakuna flat haina mfereji ndani ya nyumba, shida ni flow., but NMS wametoa cartels who have been blocking water ndio wapate fursa ya kuuza., extreme slums kama kibera ndio wanaishi sana sana hii maisha ya Dar ya foleni kwa taps., jeshi amefanya kazi sana, kwanza dealing with cartels!.,We
Duh! Kumbe hawa mang'ombe wakisema wana maji 95% ya makaazi ya Dar kumbe wanamaanisha kwamba wamefunga mifereji communal nje ya estate ili kila mtu aje achote? Hahaha. Mimi nilidhani kwamba kila nyumba imefungiwa mfereji wake ndio maana nikashangaa sana na kuwapa kongole maana walikuwa wanakimbizana na Marekani mahali ambapo karibu kila nyumba ina mfereji ndani ya nyumba. Nilikuwa nimeshaanza kuona Dar kwamba imeanza kuwa Ulaya kumbe bado sana. Nilijua tu kuwa nchi masikini za Afrika mashariki hazitafika haraka mahali pa kila nyumba kuwa na mfereji ndani ya nyumba. Hii mifereji communal ambayo ipo nje ili kila mtu aweze kuchota ipo hata hapa Kenya.
Cc Geza Ulole Naton Jr
Hili jengo Jakaya hausiki!Hongera hapa kwa kituo. Ushindani nimeweka pembeni. Kazi nzuri Jakaya na Magufuli wamefanya.
Tony254 Unacheka nn tangu uanze kuvuta ugoro umekua na uzezeta!Wacha upumbavu last mile connection huwa kwa mteja yaani serikali inaleta maji mpaka mtaani then mwananchi unalipa ku-connect Kwa nyumba yako at a very low cost! Nyie hamna hilo mna water kiosks na pia magari ya ugawaji maji! Usifananishe Nairobi na Dar kwenye hili hata siku moja!
Kuna estates nyingi sana Nairobi zina piped water. Kwani unadhani Nairobi water company kazi yao ni gani? Wao ndio wamefunga mifereji Nairobi ndani ya nyumba za watu. Naweza sema zaidi ya nyumba 30% Nairobi zina mfereji wa maji.Wacha upumbavu last mile connection huwa kwa mteja yaani serikali inaleta maji mpaka mtaani then mwananchi unalipa ku-connect Kwa nyumba yako at a very low cost! Nyie hamna hilo mna water kiosks na pia magari ya ugawaji maji! Usifananishe Nairobi na Dar kwenye hili hata siku moja!
Unajimention?Unacheka nn tangu uanze kuvuta ugoro umekua na uzezeta!
What is mifereji sisi Dawasco huunganisha mabomba ya maji kwenye nyumba za watu hatufungi "mifereji" is open water canal/channel/stream!Kuna estates nyingi sana Nairobi zina piped water. Kwani unadhani Nairobi water company kazi yao ni gani? Wao ndio wamefunga mifereji Nairobi ndani ya nyumba za watu. Naweza sema zaidi ya nyumba 30% Nairobi zina mfereji wa maji.
Huna habari na unacho kizungumzia🙂
Exactly what Kenyan water companies does., then unalipa to connect into your house. Shida ni flow ya maji, not connectivity.What is mifereji sisi Dawasco huunganisha mabomba ya maji kwenye nyumba za watu hatufungi "mifereji" is open water canal/channel/stream!
Whatever engineer, you know what I mean. Wacha mambo ya semantics. Sisi tunaconnectiwa hadi tap kwenye nyumba. Nyinyi kama hamconnectiwi hadi tap ndani ya nyumba basi hio ni shida yenu.What is mifereji sisi Dawasco huunganisha mabomba ya maji kwenye nyumba za watu hatufungi "mifereji" is open water canal/channel/stream!
Halafu channel/stream ndio nini? Sio kila mtu ni engineer hapa.What is mifereji sisi Dawasco huunganisha mabomba ya maji kwenye nyumba za watu hatufungi "mifereji" is open water canal/channel/stream!
Mfereji ni water flowing through gradient in an open artificial source like in an irrigation water system! Or water supply canals in towns/cities during medival era!Halafu channel/stream ndio nini? Sio kila mtu ni engineer hapa.
Slums on pointView attachment 1710798
huku ni karibangi kenya ...mitaa kama hii dar ndio mitaa ya kifahari...huklu kenya twaziita vitongoji duni
😅😅😅😅😅Lakini leo tumepigana sana. Tupunguze kichapo pande zote mbili.😂😂🤣🤣
LA maji sijamalizaLakini leo tumepigana sana. Tupunguze kichapo pande zote mbili.😂😂🤣🤣
Asante kwa somo la history 😅😅😅Dar haikomboleki karne hii, wachana na Nairobi na shida zake., bado mpo mashambani tu, licha ya kukua na mifereji ya maji, yaani maisha ni yale yale ya vijijini, kama vile watu wanaenda mitoni kuteka maji, yaani pale Dar nyie mnatunga folen mahali hizo taps zimewekwa, kwani hawawezi kuweka mfereji kwa kila nyumba ama ni umasikini umekithiri sana? ama ni ujamaa? sielewi, kaka nifahamishe kikamilifu..,
Mitungi mumejaza kwa nyumba.., licha ya maji maisha inabaki ya kishamba tu.., inaeza kua mko na maji 95% to 100% lakini sasa weka mpangilio mwafaka, Dar ni mashambani tu 😂 😂 😂 😂
View attachment 1710835
View attachment 1710808
View attachment 1710809
View attachment 1710815
View attachment 1710818
View attachment 1710822
View attachment 1710823
View attachment 1710829
View attachment 1710830
View attachment 1710836
View attachment 1710838
Tena si Bure ni msaada 😅😅😅We linganisha hiyo mitambo ulio post ya world war 2 na ya dawasa🤣🤣🤣🤣🤣
Phase iiHere at Dar Es Salaam Bus TerminalView attachment 1710852
Kwanza mfereji ndio nini?We
Duh! Kumbe hawa mang'ombe wakisema wana maji 95% ya makaazi ya Dar kumbe wanamaanisha kwamba wamefunga mifereji communal nje ya estate ili kila mtu aje achote? Hahaha. Mimi nilidhani kwamba kila nyumba imefungiwa mfereji wake ndio maana nikashangaa sana na kuwapa kongole maana walikuwa wanakimbizana na Marekani mahali ambapo karibu kila nyumba ina mfereji ndani ya nyumba. Nilikuwa nimeshaanza kuona Dar kwamba imeanza kuwa Ulaya kumbe bado sana. Nilijua tu kuwa nchi masikini za Afrika mashariki hazitafika haraka mahali pa kila nyumba kuwa na mfereji ndani ya nyumba. Hii mifereji communal ambayo ipo nje ili kila mtu aweze kuchota ipo hata hapa Kenya. Na haturingi. Hata slums za Kenya siku hizi zina mifereji za kufungiwa nje.
Cc Geza Ulole Naton Jr
Jakaya kafanyaje?Hongera hapa kwa kituo. Ushindani nimeweka pembeni. Kazi nzuri Jakaya na Magufuli wamefanya.