Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona Watanzania wamejaa Nairobi? Kubali tu kwamba huwa unakutana na Wabongo wengi huku Nairobi ukiwa kwenye mishe zako.
Hata kama wapo Mimi Nina issue zangu zimenileta huku ikiwemo kupiga picha za Nai😃😃
 
Tumia akili, this is the second wave of Corona inflection, we shall defeat the same way we defeated the first one. Tanzania is not a failed state.
Hakuna cha second wave wala nini. Corona mmekuwa nayo huu muda wote tangu igunduliwe Tanzania last year. Ni wajinga tu kama wewe ndio wanaweza amini kirusi haikuwepo wakati mataifa zote majirani yenu walikuwa na kirusi na watu walikuwa wakiingia Tanzania na kuondoka kupitia mipakani na ndege pia zilikuwa zikiingia Kutoka mataifa zilizoathirika. Hata akili ya kureason hamjabakisha?
 
Stendi ya kawaida ya mabasi Nairobi View attachment 1711066
20210224_174353(0).jpg
 
Back
Top Bottom