Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endless sprawling slums

2478035_IMG_20200805_163234.png
 
Mji ambao uko well planned tunaujua kwa kuangalia aerial photograph. Huwezi kulinganisha Washington DC
View attachment 1710436

Au Konza city ambayo bado inajengwa
View attachment 1710437View attachment 1710438

Na huu utopolo wa Dar hapa chini ambapo hata nafasi ya kufanya expansion ya barabara hakuna. Manyumba yamefinyana kama nzige.
View attachment 1710439

Barabara zenyewe konde utadhani sindano halafu zimepinda kishenzi utadhani nyoka, sio straight. Halafu ukitaka kupanua barabara itabidi ubomoe nyumba za watu.
Wewe bwege nani kakuambia barabara lazma ziwe zimenyooka?
 
Ewaaaaah! Yani umegongelea msumari mahala pake huaga unaongea point Sana sema dawa za mental zibadlishwe kufanya kazi Ila basi tu
Ni kweli Sana hata mimi juzi nimeshangaa Sana kuona eti Tanzania wanaendea kujenga BRT wakati hawaitaji na BRT ya Kenya iko Sawa Sana
Hata hiyo stendi haina maana vile ni Bora serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania Inge consider usafiri wa miguu,baisikeli au kusisitiza ufugaji wa punda kwa ajili ya Transportation from mkoa to mkoahata hizi meli na Geri wana introduce kushindana na Kenya si za kiwango
Najiulizanga kwani ni Tanzania ina leta treni za kisasa electric na vile ya diesel au mkaa iko Sawa
Wakenya tuko na akili Sana sema slums ndo huaga zinaturudisha nyuma
Chizi kama huyo inabidi ajibiwe hv
 
😅😅😅 Halafu watakwambia ni kibera tu kumbe wana mzinga wa list za slums, hii ni nairobi tu

View attachment 1710503
Kwenye hii list hakuna soweto slums huko kasarani lakini kwa ground ni bigger than mathare and kibera combined

Yaani nairobi huwezi hesabu slums zote ukazimaliza hata upewe mwaka mzima

Kitu cha soweto hicho dadeq

Screenshot_20210224-091527.png
 
Hio sio definition ya planning bwana. Unless unataka kujitungia definition yako ya planning. Planning ina maana hii.
1. Kabla ya makaazi kujengwa, kuna ardhi inayotengwa kando ya kujenga, barabara na road reserve pia inastahili kutengwa. Barabara hizi zinastahili kuwa straight na zinaintersect na barabara zingine at 90°. Angalia city of Washington DC utaona ninachomaanisha. View attachment 1710425Unaona jinsi barabara zina-intersect at 90°. Hapa ndio utajua kwamba hio city ilikuwa planned mwanzoni hata kabla ya ujenzi wa majumba kuanza tayari ramani ya barabara ilikuwa imechorwa. Huwa tunastahili kuanza kuchora mahali ambapo barabara itakapopitia hata kabla ya kuanza kujenga majumba.
Tazama Konza city ambayo bado ipo kwenye ujenzi. Tazama jinsi barabara zitakuwa straight na zita-intersect at 90°.
View attachment 1710431

View attachment 1710432
Hivi ndivyo unavyojua kwamba city fulani ilikuwa planned na city nyingine haikuwa planned.
Halafu jambo la pili ni kuangalia ikiwa public parks, nature parks, stadia, markets, police stations, hospitals ziko well distributed katika eneo hilo au ziko upande mmoja tu. Kwa mfano cities ambazo ziko well planned unapata kwamba police station ziko katika maeneo zote na katika estate zote na hakuna estate ambayo iko mbali sana na police station. Lakini cities ambazo haziko well planned utakuta eneo fulani wana police station tatu na eneo lingine hawana police station hata moja. Hii yote tunaweza kujua kwa kutazama aerial photograph. Ndio maana nakumbia Dar isipokuwa CBD na maeneo mengine machache ya mjini, maeneo mengine ni unplanned settlement, hata hakuna nafasi ya barabara kupitia au expansion kufanywa bila kubomoa nyumba za watu. Tazama huu utopolo wa Dar, hakuna hata nafasi ya upanuzi wa barabara kupitia.
View attachment 1710428
Na kwa The best 007 unayependa kusema kwamba hio picha sio ya Dar, tazama hapa, source ya picha ni stock photos na kama unajua mambo ya stock photos basi stock photos huwa hawadanganyi kuhusu photo zao. Tazama hapa
View attachment 1710430
Sikiliza nikwambie bwana Tony, mm sijawahi kukataa kwamba most of places in Dar are not well planned hili ni jambo ambalo linanikera mno, lkn pia nakukumbusha na ww pia hili ni tatizo letu Africa nzima hata kwenu pia ni baadhi tu ya maeneo machache yako planned km unabisha basi utakuwa unajifurahisha tu cz iko wazi kwamba Wakenya wengi karibu 3/4 wanaishi kwenye mabanda ss je hayo mabanda yako planned?

Hiyo Konza city ndiyo kwanza mmeanza kuijenga na haijafika hata 1/3 ya render yake na sisi pia tunajenga Dodoma ili kuwa na miji iliyopangwa.

Btw, hizo picha unazo claim kwamba ni Dar zirudishe ulikozitoa cz Dar haina udongo wa aina hiyo.
 
Mji ambao uko well planned tunaujua kwa kuangalia aerial photograph. Huwezi kulinganisha Washington DC
View attachment 1710436

Au Konza city ambayo bado inajengwa
View attachment 1710437View attachment 1710438

Na huu utopolo wa Dar hapa chini ambapo hata nafasi ya kufanya expansion ya barabara hakuna. Manyumba yamefinyana kama nzige.
View attachment 1710439

Barabara zenyewe konde utadhani sindano halafu zimepinda kishenzi utadhani nyoka, sio straight. Halafu ukitaka kupanua barabara itabidi ubomoe nyumba za watu.
Vp hii je ni Nairobi vp iko planned
tapatalk_1594761297252.jpg
tapatalk_1596370583403.jpg
tapatalk_1596488781856.jpg
 
Mji ambao uko well planned tunaujua kwa kuangalia aerial photograph. Huwezi kulinganisha Washington DC
View attachment 1710436

Au Konza city ambayo bado inajengwa
View attachment 1710437View attachment 1710438

Na huu utopolo wa Dar hapa chini ambapo hata nafasi ya kufanya expansion ya barabara hakuna. Manyumba yamefinyana kama nzige.
View attachment 1710439

Barabara zenyewe konde utadhani sindano halafu zimepinda kishenzi utadhani nyoka, sio straight. Halafu ukitaka kupanua barabara itabidi ubomoe nyumba za watu.
Konza ambayo inajengwa, hapo ilipo ina miaka zaidi ya 10 kinachojengea hakionekani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tuleteeni vitu vyenye dira
 
Back
Top Bottom