Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

that issue was dealt with immediately, ingekuwa ni bongo i bet hainge make headlines

View attachment 1710395View attachment 1710396View attachment 1710397
Bongo huwezi kuta usenge km huo, cc elimu imetusaidia sana hatuwezi kufanya jambo la hatari na la kushangaza duniani km hilo, unajua kwa nini Kenya inaitwa failed state? Ni kwasababu ya mambo ya kushangaza km hayo.

Shirika linawezaje kujenga power poles zilizo chini wakati wanajua fika kuna wanyama warefu? Mby zaidi ukitaka kujua hii nchi ni ya kipumbavu hakuna mtu aliyewajibishwa, kwa hiyo watu wanafanya uzembe km huo wakijua hakuna kuwajibishwa, failed state.

Hii issue imeniuma sana sana.
 
Hili ni tatizo sugu la nchi nyingi za kiafrika, hata kwenu pia maeneo mengi ni hivyo hivyo tu unplanned settlements, ukiacha maeneo machache wanayoishi foreigners hasa kwenye estates kwengine kote ni uozo, tena afadhali Dar ni kweli sehemu nyingi mpangilio mbovu ila hakuna vibanda kama maeneo mengi wanayoishi Wakenya ukiacha maeneo machache ya foreigners.
Una dhana potovu kwamba Kenya mahali ambapo middle class na matajiri wanapoishi hakuna Wakenya weusi pale. Kwamba foreigners pekee ndio wanaoishi katika makaazi haya. Yaani hata sijui niseme nini. Lakini ni wazi kwamba kwa kauli yako hii huielewi Kenya kabisa. Sidhani kama kauli yako inahitaji jibu. Wewe endelea kuamini unachotaka.
 
Hehehehee tony usiku mwema bhn
 
sikulifahamu kumbe stendi ni ukalulu.....

ujenzi wa stendi ni vitu muhimu vya kawaida kwa mazingira ya transiportation...na isitoshe hiyo stand haikai for nothing hapo itamuingizia huyo fukara mapato zaidi na kupata muendelezo wa maisha yake ya kila siku na kuweza kumpatia tv nyingine ya inch 100
Kosa kubwa la TZ ni kufanya maendeleo ili mshinde Kenya na wala sio kwa sababu mnahitaji mambo Fulani....hii Kenya tunaiita misprioritising.. yaani kupea Mambo ya kipaumbele yasiyohitajika.
Sasa stendi ya basi kuubwa namna hiyo ina maana gani Kwa nchi ina struggle economically na kwa njia zingine nyingi??
Hii pesa kidogo mnayo kopa mngeitumia kwa mambo yanayo leta manufaa kwa mea nchi wa chini......ina nikumbusha maskini wa uswahilini ambaye baada ya kupata hela kiasi tu...kakimbilia kununua bonge la TV 80" nakuieka kwa kanyumba ka udongo... huku watoto wake wakikosa karo na kadhalika.
Hii ndio shida ya tz kubwa...doing things for show off ili Kenya ishtuke... sisi Kenya tulisha piga hatua kitambo
 
Una dhana potovu kwamba Kenya mahali ambapo middle class na matajiri wanapoishi hakuna Wakenya weusi pale. Kwamba foreigners pekee ndio wanaoishi katika makaazi haya. Yaani hata sijui niseme nini. Lakini ni wazi kwamba kwa kauli yako hii huielewi Kenya kabisa. Sidhani kama kauli yako inahitaji jibu. Wewe endelea kuamini unachotaka.
Unajua mimi hulaumu sana serikali ya tz kwa kutoipa masomo kipa umbele...Unaona sasa mawazo yenu.. Langata, muthaiga, lavington, kileleshwa,runda,south c, south B, Westlands zimejaa wakenya halisi...na pia...kwa sababu ya masomo ya hali ya juu ipatikanayo Kenya..tulifunzwa kuwa hata mzungu,mhindi,msomali aweza bado kuwa mkenya..vile tu kuna wamarekani weusi... You become a citizen of a country by birth...ikiwa bado nyinyi tz hamjui Mambo kama haya .. Yaani nalaumu sana viongozi wenu wanaojengea ma basi stendi kuuubwa badala ya kuimarisha. masomo..ili at least mjue ya kwamba hata mhindi au mzungu aweza kuwa mtanzania....na mjifunze na kizungu pia aisee
 
Hapo kwa mpangilio umechemsha. Dar es Salaam haina mpangilio nje ya CBD. Kama unapinga tazama aerial photos za makaazi ya watu ndio utaona jinsi Dar haina mpangilio wowote. Basically watu wanaishi kokote wapendao na hata hakuna city planning iliyofanywa pale. Most of the makaazi ya Dar ni unplanned settlements. We can easily tell this when we look at aerial photographs. Huwezi kutudanganya kwamba Dar is a planned city. Isipokuwa maeneo machache ya CBD, the rest ni unplanned na ndio maana ukitazama makaazi ya Dar kutoka juu unapata kichefuchefu maana hata hakuna barabara ya kutosha, nyumba zimefinyana hakuna hata road reserve katika baadhi ya maeneo haya.
Nikisema mpangilio sio makaazi ya watu tu🙂
Kuna mambo mengi yana fall hapo mfano;

1.Je mazingira na makaazi ya watu ni salama?
2.je wa wekezaji wa ndani na nje ya nchi Wana heshimu sehemu za umah public spaces?
3.kuna public transport salama na inayo dhibitiwa na serikali pasipo na exploitation ya Wa tumiaji?
Etc etc....
 
Unajua mimi hulaumu sana serikali ya tz kwa kutoipa masomo kipa umbele...Unaona sasa mawazo yenu.. Langata, muthaiga, lavington, kileleshwa,runda,south c, south B, Westlands zimejaa wakenya halisi...na pia...kwa sababu ya masomo ya hali ya juu ipatikanayo Kenya..tulifunzwa kuwa hata mzungu,mhindi,msomali aweza bado kuwa mkenya..vile tu kuna wamarekani weusi... You become a citizen of a country by birth...ikiwa bado nyinyi tz hamjui Mambo kama haya .. Yaani nalaumu sana viongozi wenu wanaojengea ma basi stendi kuuubwa badala ya kuimarisha. masomo..ili at least mjue ya kwamba hata mhindi au mzungu aweza kuwa mtanzania....na mjifunze na kizungu pia aisee
Hivi vichaa wako kwenye likizo 🤔🤔🤔🤔🙂?
 
Kosa kubwa la TZ ni kufanya maendeleo ili mshinde Kenya na wala sio kwa sababu mnahitaji mambo Fulani....hii Kenya tunaiita misprioritising.. yaani kupea Mambo ya kipaumbele yasiyohitajika.
Sasa stendi ya basi kuubwa namna hiyo ina maana gani Kwa nchi ina struggle economically na kwa njia zingine nyingi??
Hii pesa kidogo mnayo kopa mngeitumia kwa mambo yanayo leta manufaa kwa mea nchi wa chini......ina nikumbusha maskini wa uswahilini ambaye baada ya kupata hela kiasi tu...kakimbilia kununua bonge la TV 80" nakuieka kwa kanyumba ka udongo... huku watoto wake wakikosa karo na kadhalika.
Hii ndio shida ya tz kubwa...doing things for show off ili Kenya ishtuke... sisi Kenya tulisha piga hatua kitambo
Ewaaaaah! Yani umegongelea msumari mahala pake huaga unaongea point Sana sema dawa za mental zibadlishwe kufanya kazi Ila basi tu😃
Ni kweli Sana hata mimi juzi nimeshangaa Sana kuona eti Tanzania wanaendea kujenga BRT wakati hawaitaji😃 na BRT ya Kenya iko Sawa Sana🙂
Hata hiyo stendi haina maana vile ni Bora serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania Inge consider usafiri wa miguu,baisikeli au kusisitiza ufugaji wa punda kwa ajili ya Transportation from mkoa to mkoa🙂hata hizi meli na Geri wana introduce kushindana na Kenya si za kiwango🙂
Najiulizanga kwani ni Tanzania ina leta treni za kisasa electric na vile ya diesel au mkaa iko Sawa🙂
Wakenya tuko na akili Sana sema slums ndo huaga zinaturudisha nyuma 🙂
 
Screenshot_20210224-065209.png
 
Nikisema mpangilio sio makaazi ya watu tu🙂
Kuna mambo mengi yana fall hapo mfano;

1.Je mazingira na makaazi ya watu ni salama?
2.je wa wekezaji wa ndani na nje ya nchi Wana heshimu sehemu za umah public spaces?
3.kuna public transport salama na inayo dhibitiwa na serikali pasipo na exploitation ya Wa tumiaji?
Etc etc....
Hio sio definition ya planning bwana. Unless unataka kujitungia definition yako ya planning. Planning ina maana hii.
1. Kabla ya makaazi kujengwa, kuna ardhi inayotengwa kando ya kujenga, barabara na road reserve pia inastahili kutengwa. Barabara hizi zinastahili kuwa straight na zinaintersect na barabara zingine at 90°. Angalia city of Washington DC utaona ninachomaanisha.
images (1).jpeg
Unaona jinsi barabara zina-intersect at 90°. Hapa ndio utajua kwamba hio city ilikuwa planned mwanzoni hata kabla ya ujenzi wa majumba kuanza tayari ramani ya barabara ilikuwa imechorwa. Huwa tunastahili kuanza kuchora mahali ambapo barabara itakapopitia hata kabla ya kuanza kujenga majumba.
Tazama Konza city ambayo bado ipo kwenye ujenzi. Tazama jinsi barabara zitakuwa straight na zita-intersect at 90°.
images (2).jpeg

images (4).jpeg

Hivi ndivyo unavyojua kwamba city fulani ilikuwa planned na city nyingine haikuwa planned.
Halafu jambo la pili ni kuangalia ikiwa public parks, nature parks, stadia, markets, police stations, hospitals ziko well distributed katika eneo hilo au ziko upande mmoja tu. Kwa mfano cities ambazo ziko well planned unapata kwamba police station ziko katika maeneo zote na katika estate zote na hakuna estate ambayo iko mbali sana na police station. Lakini cities ambazo haziko well planned utakuta eneo fulani wana police station tatu na eneo lingine hawana police station hata moja. Hii yote tunaweza kujua kwa kutazama aerial photograph. Ndio maana nakumbia Dar isipokuwa CBD na maeneo mengine machache ya mjini, maeneo mengine ni unplanned settlement, hata hakuna nafasi ya barabara kupitia au expansion kufanywa bila kubomoa nyumba za watu. Tazama huu utopolo wa Dar, hakuna hata nafasi ya upanuzi wa barabara kupitia.
images (3).jpeg

Na kwa The best 007 unayependa kusema kwamba hio picha sio ya Dar, tazama hapa, source ya picha ni stock photos na kama unajua mambo ya stock photos basi stock photos huwa hawadanganyi kuhusu photo zao. Tazama hapa
Screenshot_20210224-072302.jpg
 
Hio sio definition ya planning bwana. Unless unataka kujitungia definition yako ya planning. Planning ina maana hii.
1. Kabla ya makaazi kujengwa, kuna ardhi inayotengwa kando ya kujenga, barabara na road reserve pia inastahili kutengwa. Barabara hizi zinastahili kuwa straight na zinaintersect na barabara zingine at 90°. Angalia city of Washington DC utaona ninachomaanisha. View attachment 1710425Unaona jinsi barabara zina-intersect at 90°. Hapa ndio utajua kwamba hio city ilikuwa planned mwanzoni hata kabla ya ujenzi wa majumba kuanza tayari ramani ya barabara ilikuwa imechorwa. Huwa tunastahili kuanza kuchora mahali ambapo barabara itakapopitia hata kabla ya kuanza kujenga majumba.
Tazama Konza city ambayo bado ipo kwenye ujenzi. Tazama jinsi barabara zitakuwa straight na zita-intersect at 90°.
View attachment 1710431Hivi ndivyo unavyojua kwamba city fulani ilikuwa planned na city nyingine haikuwa planned.
Halafu jambo la pili ni kuangalia ikiwa public parks, nature parks, stadia, markets, police stations, hospitals ziko well distributed katika eneo hilo au ziko upande mmoja tu. Kwa mfano cities ambazo ziko well planned unapata kwamba police station ziko katika maeneo zote na katika estate zote na hakuna estate ambayo iko mbali sana na police station. Lakini cities ambazo haziko well planned utakuta eneo fulani wana police station tatu na eneo lingine hawana police station hata moja. Hii yote tunaweza kujua kwa kutazama aerial photograph. Ndio maana nakumbia Dar isipokuwa CBD na maeneo mengine machache ya mjini, maeneo mengine ni unplanned settlement, hata hakuna nafasi ya barabara kupitia au expansion kufanywa bila kubomoa nyumba za watu. Tazama huu utopolo wa Dar, hakuna hata nafasi ya upanuzi wa barabara kupitia.
View attachment 1710428
Na kwa The best 007 unayependa kusema kwamba hio picha sio ya Dar, tazama hapa, source ya picha ni stock photos na kama unajua mambo ya stock photos basi stock photos huwa hawadanganyi kuhusu photo zao. Tazama hapa
View attachment 1710430
Yote hayo Yana fall under planning huwez Uka plan mji ukawa unavutia bila ya mambo flani🙂
 
Mji ambao uko well planned tunaujua kwa kuangalia aerial photograph. Huwezi kulinganisha Washington DC
images (1).jpeg

Au Konza city ambayo bado inajengwa
images (2).jpeg
images (4).jpeg

Na huu utopolo wa Dar hapa chini ambapo hata nafasi ya kufanya expansion ya barabara hakuna. Manyumba yamefinyana kama nzige.
images (3).jpeg

Barabara zenyewe konde utadhani sindano halafu zimepinda kishenzi utadhani nyoka, sio straight. Halafu ukitaka kupanua barabara itabidi ubomoe nyumba za watu.
 
Mji ambao uko well planned tunaujua kwa kuangalia aerial photograph. Huwezi kulinganisha Washington DC
View attachment 1710436

Au Konza city ambayo bado inajengwa
View attachment 1710437View attachment 1710438

Na huu utopolo wa Dar hapa chini ambapo hata nafasi ya kufanya expansion ya barabara hakuna. Manyumba zimefinyana kama nzige.
View attachment 1710439

Barabara zenyewe konde utadhani sindano halafu zimepinda kishenzi utadhani nyoka, sio straight. Halafu ukitaka kupanua barabara itabidi ubomoe nyumba za watu.
Africa Mashariki miji iliyopangwa ni Tanga na Dodoma tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mji ambao uko well planned tunaujua kwa kuangalia aerial photograph. Huwezi kulinganisha Washington DC
View attachment 1710436

Au Konza city ambayo bado inajengwa
View attachment 1710437View attachment 1710438

Na huu utopolo wa Dar hapa chini ambapo hata nafasi ya kufanya expansion ya barabara hakuna. Manyumba yamefinyana kama nzige.
View attachment 1710439

Barabara zenyewe konde utadhani sindano halafu zimepinda kishenzi utadhani nyoka, sio straight. Halafu ukitaka kupanua barabara itabidi ubomoe nyumba za watu.
Hii ni definitions ya nini?

Kenya nzima ni shithole kuanzia nairobi mpaka mikoani

images (71).jpeg
sddefault.jpg
images - 2020-03-02T105608.454.jpeg
images - 2020-03-02T105445.016.jpeg
images - 2020-02-22T130522.464.jpeg
 
Back
Top Bottom