Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha ufala njoo Dar uone! zaidi ya imetumika $1bln maji yanatoka source tatu Wami, Ruvu na Kisarawe huko!
Kwa hivyo Dar mumefikia level ya ulaya kwenye swala la maji? Mpo 92%? Yaani almost 100% (universal access to water) kama Marekani au Ulaya?
 
Kosa kubwa la TZ ni kufanya maendeleo ili mshinde Kenya na wala sio kwa sababu mnahitaji mambo Fulani....hii Kenya tunaiita misprioritising.. yaani kupea Mambo ya kipaumbele yasiyohitajika.
Sasa stendi ya basi kuubwa namna hiyo ina maana gani Kwa nchi ina struggle economically na kwa njia zingine nyingi??
Hii pesa kidogo mnayo kopa mngeitumia kwa mambo yanayo leta manufaa kwa mea nchi wa chini......ina nikumbusha maskini wa uswahilini ambaye baada ya kupata hela kiasi tu...kakimbilia kununua bonge la TV 80" nakuieka kwa kanyumba ka udongo... huku watoto wake wakikosa karo na kadhalika.
Hii ndio shida ya tz kubwa...doing things for show off ili Kenya ishtuke... sisi Kenya tulisha piga hatua kitambo
umeongea pumba sana,,,,

kwani hiyo stand itakuwa imekaa bure hapo...?
je vip kihusu hizo bus zitakazokuwa zinaingia hapo..?

humo ndani kuna service za kijamii je vipi watu watakao rent humo watakuwa wanakaa bure...?..

unaongea pumba sana

baadhi sehemu byingine ni hizo
images.jpg
images (4).jpg
images (5).jpg
images (8).jpg
images (9).jpg
 
In this skewed reasoning uko na mwenzako humu kaka.., anajijua, sitaji mtu mimi
Dawasa collects more money from it's bigger customer base thus enable the institution to handle bigger projects on its own finance ikiwemo jengo kama hilo

Sasa ninyi mnaohudumia watu mia 2 saa ngapi mtapata guts kama Dawasa? 😅😅😅
 
Ewaaaaah! Yani umegongelea msumari mahala pake huaga unaongea point Sana sema dawa za mental zibadlishwe kufanya kazi Ila basi tu😃
Ni kweli Sana hata mimi juzi nimeshangaa Sana kuona eti Tanzania wanaendea kujenga BRT wakati hawaitaji😃 na BRT ya Kenya iko Sawa Sana🙂
Hata hiyo stendi haina maana vile ni Bora serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania Inge consider usafiri wa miguu,baisikeli au kusisitiza ufugaji wa punda kwa ajili ya Transportation from mkoa to mkoa🙂hata hizi meli na Geri wana introduce kushindana na Kenya si za kiwango🙂
Najiulizanga kwani ni Tanzania ina leta treni za kisasa electric na vile ya diesel au mkaa iko Sawa🙂
Wakenya tuko na akili Sana sema slums ndo huaga zinaturudisha nyuma 🙂
mnazoita slumz kenya ndio mitaa ya kifahari tz
 
Dawasa collects more money from it's bigger customer base thus enable the institution to handle bigger projects on its own finance ikiwemo jengo kama hilo

Sasa ninyi mnaohudumia watu mia 2 saa ngapi mtapata guts kama Dawasa? 😅😅😅
Haupati picha bado., 😂 😂 😂 more misses😂😂
 
Kwenye hii list hakuna soweto slums huko kasarani lakini kwa ground ni bigger than mathare and kibera combined

Yaani nairobi huwezi hesabu slums zote ukazimaliza hata upewe mwaka mzima

Kitu cha soweto hicho dadeq

View attachment 1710504
1614162927926.png

huku ndio huruma sasa nyumba kama hizi tz ni mitaa ya kifahari lakini klwetu twaziita slumz
 
Kwenye hii list hakuna soweto slums huko kasarani lakini kwa ground ni bigger than mathare and kibera combined

Yaani nairobi huwezi hesabu slums zote ukazimaliza hata upewe mwaka mzima

Kitu cha soweto hicho dadeq

View attachment 1710504
1614163034473.png

huku ni karibangi kenya ...mitaa kama hii dar ndio mitaa ya kifahari...huklu kenya twaziita vitongoji duni
 
Back
Top Bottom