Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi hata 50% hamfiki sababu wananchi wote wapo kwenye slums

CCM at its best😂😂😂😂😂, post this nonsense kwa habari na hoja mchanganyiko uone moto kwa wapenda ukweli na wako na facts😂😂
 
Kwn we unayeongea hapa haujui kwmb kuna Wakenya wenzio wa humu wanaishi Dar? Ni walimu na wanaijua Dar vzr sn kuna mmoja anaitwa Engineer levin Devin yeye ni mkenya anayefundisha hapa tz nafikiri anafundisha primary lkn ni English medium, yeye huyu bwn ukimkuta humu anaponda Dar lkn kwenye ya instagram kaweka lipicha likubwa la Dar akionesha kuipenda, na huwa hamuondoki mkishaonja maisha ya Tz
Kwa hivyo wewe unachokora maisha ya watu kwenye mitandao?
 
CCM at its best😂😂😂😂😂, post this nonsense kwa habari na hoja mchanganyiko uone moto kwa wapenda ukweli na wako na facts😂😂
Slums zimeelemea mifumo ya maji Nairobi's
Ndio maana mmeweka mamia ya boreholes sababu maji hayaingii kwenye chochoro za slums, Dar tapwater is everywhere
 
FB_IMG_16141596184848026.jpeg
 
Back
Top Bottom