Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anajua kila ward na MCA wao. Hawa watanzania wanajua women representatives wote from one county to the other. Watakuambia kitu imefanyika Garissa even before wewe mwenyewe ujue.
Wabongo wanajua mpaka balozi wa nyumba kumi wa kenya, mimi rais wao sijui ni diamond ama 😕 😕
 
Nitaaomba mtu anitumie picha ya punda nikuoneshe

Sent using Jamii Forums mobile app
tapatalk_1603794956206.jpg
 
Hili gari huwezi kuliendeshea kwenye barabara za Africa maana hatuna expressways halafu barabara zetu zimeundwa kwa kutumia bumps kibao ili kupunguza speed. Barabara zetu zimeundwa kupunguza speed na pia zinataka magari yenye ground clearance kubwa ili kuweza kuvuka bumps. Hili gari hata haliwezi kuvuka bumps
broh so unabisha apo sio dar? au ...
 
nyie jamaa bana 😂😂😂😂😂😂
mbona yapo mengi tuu apa dar anyway kuna costa apo nyuma imeandikwa city bus dunianzima za hivyo znapatkana tz tuu
Kwa hivyo huyo ng'ombe anavuka vipi kwenye speed bumps?
 
Back
Top Bottom