Nilikuambua get in the bus or KQ nenda kajionee., kwao ni kawaida sana, inakaa villagish hivi., Kenya nyumba nyingi ziko na taps za maji ndani, ama kwa compound incase not all houses, shida ni flow ya maji, not mifereji, maji inapotea in some places na kwingine inakuja like thrice a week, sio eti tap haziko. Hakuna flat haina mfereji ndani ya nyumba, shida ni flow., but NMS wametoa cartels who have been blocking water ndio wapate fursa ya kuuza., extreme slums kama kibera ndio wanaishi sana sana hii maisha ya Dar ya foleni kwa taps., jeshi amefanya kazi sana, kwanza dealing with cartels!.,