Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The best way to remove slums from Kenya is to kill all Kenyans, these people love slums by passion 😅😅😅

Uharo sprawling like clouds in the sky

View attachment 1710661View attachment 1710662View attachment 1710663View attachment 1710665
Tanzania haikomboleki karne hii ukubali ukatae, endelea kujitetea na Kenya, your normal standards ni kubwa mno for your meagre economy.,
1614156409050.png

1614156469647.png

1614156495857.png

1614156643472.png

1614156709831.png
 
Attachments

  • 1614156679971.png
    1614156679971.png
    44.4 KB · Views: 4
Sio lazima inyooke lakini cities nyingi mashuhuri hususan za Marekani zina barabara zilizonyooka. Kwa hivyo hizo barabara zenu mbovu, zisizokuwa na lami, konde na zilizopinda kishenzi ndio standard ya dunia nzima? Mbona the best cities kama akina London, Riyadh, Dubai, New York zina barabara ambazo zimenyooka au hata kama zimepinda zimepinda kidogo tu? Halafu barabara inastahili kuwa pana sio hilo barabara lenu konde hata pikipiki itapata tatizo kupita.
Tazama hapa upate darasa wewe bwege. Angalia jinsi barabara ni pana na zimenyooka

London
View attachment 1710533

Riyadh
View attachment 1710537
Dubai usiku kunakaa hivi View attachment 1710540
New York
View attachment 1710551
Halafu linganisha na huu utopolo wa Dar
View attachment 1710554
Aliyekuambia hyo ni Dar nani?
 
Tanzania haikomboleki karne hii ukubali ukatae, endelea kujitetea na Kenya, your normal standards ni kubwa mno for your meagre economy.,
View attachment 1710687
View attachment 1710688
View attachment 1710689
View attachment 1710690
View attachment 1710692
Umetoka kuomba usaidizi kwenye slums za kenya, zimekushinda sasa umegeukia India 😅😅😅😅

Screenshot_20210224-115659.png

Nairobi pekee Ina zaidi slums 15 na me nimeweka 5 tu mpaka saivi 😅😅😅
 
Hapa ni masikini wa mwisho anaishi

Yaani hata pa kuanikia nguo shida, means bigger population in a limited space and resources thus slum

Being vertical or horizontal slums are slums 😅😅😅

View attachment 1710685
😂😂😂 umenibamba.., hapo sasa kote kote, na bado ni slum., a town in Tanzania.,
1614156936160.png

1614157043197.png

1614157175641.png
 
Umetoka kuomba usaidizi kwenye slums za kenya, zimekushinda sasa umegeukia India 😅😅😅😅

View attachment 1710699

Nairobi pekee Ina zaidi slums 15 na me nimeweka 5 tu mpaka saivi 😅😅😅
Weka zote ata kama ni mia, pia na drone views ukitaka, so that tuone tujue vyema., unaogopa nini, wewe ni ku cherry pick vipicha kutetea your skewed reasoning, hehehehe, Dar is the shit if Nairobi is the hole,😂😂😂😂😂, just stay there, tulia hapo hapo...,
 
Shebby01 The best 007 Naton Jr
Geza Ulole
Sasa nadhani ichoboy01 amewapa darasa kuhusu jinsi mji unavyostahili kupangwa.
Sumbawanga ndio best mji wa TZ in terms of city planning. Sikujua Tanzania mna city ambayo iko well planned namna hii. Inapendeza macho ukiitazama kutoka juu.
View attachment 1710615View attachment 1710616
Sio huu uharo wa Dar es Salaam
View attachment 1710624View attachment 1710628
Tz ni Dar tu ndio imezingua baadhi ya sehemu lkn kwengine kuko poa nenda Lindi, Tanga etc kupo vizuri.
 
DSM kuna changamoto Zake Ila sio kama za Nai🙂mko level yenu
 
Tz ni Dar tu ndio imezingua baadhi ya sehemu lkn kwengine kuko poa nenda Lindi, Tanga etc kupo vizuri.
Endelea hivyo, kumbe sasa umekubali., na sio baadhi ya sehemu, ni sehemu kubwa kwa asilimia😂😂😂.,
 
Hapa tulifanya project flani two years ago..,

Just take a bus, vuka boda, or fly in to Nyerere, usichukue taxi, toka tafuta boda boda ndio mzuri ya kuzunguka, nenda kajionee, watu wakiongea humu nashangaa nguvu wanatoa wapi, ama wamezoea propaganda kama serikali yao Kenya you can put a finger, TZ naaaa.,
Kwn we unayeongea hapa haujui kwmb kuna Wakenya wenzio wa humu wanaishi Dar? Ni walimu na wanaijua Dar vzr sn kuna mmoja anaitwa Engineer levin Devin yeye ni mkenya anayefundisha hapa tz nafikiri anafundisha primary lkn ni English medium, yeye huyu bwn ukimkuta humu anaponda Dar lkn kwenye ya instagram kaweka lipicha likubwa la Dar akionesha kuipenda, na huwa hamuondoki mkishaonja maisha ya Tz
 
Dar ipo ipo tu, bado ni kijiji sehemu kubwa sana to be called a serious city kwa muonekano kaka, napenda tu utulivu wake., nachukia joto kama vile Mombasa tu., maisha ni same na ya Mombasa, hakuna tofauti hataa.,
 
Back
Top Bottom