Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi's fifth CBD after completion
tapatalk_1614097360714.jpg
 
Mzee, nashukuru kwankunipa wallpaper. Ngoja niiweke fasta isije kupotea bure. . Bongo raha sana siku hizi.

Ngoja nikupe kasiri kamoja mkuu The best 007 ila usimwambie mtu. Ni true story bro. Ni hivi, mwaka 2015 ndiyo ilikuwa mara yangu ya mwisho kuja Dar kutoka Green City huku.

Dar pale nilipokelewa na foleni ya kutoka Kibaha, uje Kimara, uingie Ubungo. Sasa kasheshe lenyewe la foleni likaanzia Ubungo kwenda kwa mshikaji wangu Kongowe huko! Nilijuta mbona.

Nilitumia masaa mawili na dk 45. Sasa mimi miongoni mwa vitu sipendi ni foleni. Siku ya kuondoka nilikaa kwenye foleni mpaka mabasi yote yanayoeleweka yakasepa. Kusafiri na Taqwa kutaka Dar mpaka Mby ni michosho asikwambie mtu. Hivyo nikaapa siendi tena Dar mpaka foleni ziishe.

Sasa ajabu from no where katokeo mtu kutoka Chato huko anafanya ndoto yangu iende kutimia. Siku natimba Dar nadhani itakuwa utelezi tu kama niko huku mikoani.

Magu buana.
 
Mkuu Dar ya ss iko fire sn, kwa mfano mm nilikuwa natokea mwenge, pale ubungo ilikuwa hukatizi kizembe pale but jana gari yetu ilipita kama kishada floor ya juu kabisa, pale tazara pia fasta tukakunja ngoma airport hii hapa mara gongo la Mboto daahhh raha sn
 
Back
Top Bottom