Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,227
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Arabs are raping some witches in AFCON U-20. [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uko sahihi mkuu....Tuwe wastaarabu bhana sisi Wengine humu ni mashabiki wa huu uzi sasa matusi yanaharibu uzi bhana ....Aisee nawaomba kitu kimoja humu ndani tujitahidi kidogo kuwa wastaarabu,tuko na tofauti zetu ni kweli Mimi binafsi naipenda Tanzania Sana,same kwa wabongo wote humu ndani wakenya pia vilevile Ila naona tunajisahau wakati mwingine mpaka tuna rushiana matusi[emoji846]tujewekee limit sijui mnasema aje wadau[emoji846]?
Kwahivyo kukuwa hawker ni laana?Indeed a Street Hawker reasoning, umejilaani kwa jina[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Awamu hii watu wa security detail ya Mr. President wako very smart. Rais ndiye anapaswa kuwa the most protected creature in the country. Ndiyo sababu hata ukimwalika nyumbani kwako watu wake watatangulia kuja kuweka vifaa vyao vikiwemo viyoyozi.Tupe neno moja kuhusu hyo picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1708296
Sasa huo ndiyo upuuzi bro Magu hautaki. In such a rich continent unalipiaje kupita barabarani au kuvuka daraja! Hata ile Kigamboni bridge ni kwa kuwa tu ilijengwa enzi zile tuna vacuum kwenye nafasi fulani. Otherwise sisi hatupaswi kuishi maisha tight kama ya wazungu ambao kuna nchi zina zero resources apart from HR.Zitarudi kupitia toll fees.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo amebadiri ID ile ya kwanza baada ya kupuuzwa mpaka na aliohisi watamuunga mkono(wakenya).
maana walimpuuza baada ya kugundua ni FIPA lililojificha kwenye upande wao wa battle,linaponda mpaka vitu vya msingi.
Lionesses ni jina wanalotumia timu ya taifa ya football ya wanawake kule England.Been a busy sporting weekend for team Kenia [emoji458][emoji460]️[emoji459]
SHUJAA!!!!
View attachment 1709392
MORANS
View attachment 1709383
LIONESSES!!!
View attachment 1709399
View attachment 1709400
Kogalo
Tunajua kila kitu hulipwa na wananchi ila issue ni namna sahihi ya kulipia. Huo mfumo wenu wa kulipia baada ya ujenzi hufanya wananchi kulipa pesa zaidi na kwa muda mrefu zaidi.Miradi yote lazima ilipiwe na wananchi Kwa njia moja au nyingine...au tz hawalipi kodi...ama hawelewi hata kodi ni nini....kwa sababu kizungu huwapiga Chenga hawa jirani aisee...hupitwa na mengi saana
Ina maana hawakujua kimo cha twiga wao! Ni kama vile Ethiopia nchi ya wafugaji kujenga unfensed electric SGR. Kwa nini hamfanyi study kwanza kama Tz?Wakunya ni failures kwenye kila kitu. Huu ukatili kwa wanyama ni uzembe mkubwa sana.
Mkuu hii accnt itakuwa imehakiwa na mkenya hii, huu mwandiko wa tony254 co wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Halafu eti wanajenga reli ya kutumia umeme, Ethiopia wameshindwa ije iwe Tz, malazy full kukurupuka.
Sisi huku hatukurupuki ndio maana Tumeanza na mtambo wa gongo na reli yetu ina option ya kuwa electrified in the future. [emoji23][emoji23]
Wakenya wote someni [emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3][emoji3][emoji3]I agree that if all your projects are completed then there is a possibility of Tanzania becoming the economic powerhouse of this region.
Hawezi kukuelewa huyo, keshamwagiwa ugali wake na Magu huyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi una habari mpaka mwaka wa 3 wa utawala wa jpm alikuwa analipa madeni ya makandarasi wa kikwete.
Shirika la ndege lilikufa kipindi cha kikwete.
Shirika la reli lilikufa kipindi cha kikwete.
Shirika la meli lilikufa kipindi cha kikwete.
Alianzisha wilaya na mikoa isiyokuwa na ofisi, JPM ndio anajenga ofisi za mikoa na wilaya + hospitali za mikoa na wilaya.
Those are just few to mention.
Sisi tunakopa kwaajili ya development projects wengine wanakopa wanunue chanjo zinazotibu virusi vinavyoenda kuwa outdated! Kwa hivyo kila version mpya ya corona virus ikipatiwa chanjo yake watakuwa wakikopa tena siyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanakopa kwa ajili ya kufanyia ujinga na pesa inarudi tena kwa mkopeshaji, wao wanabaki na deni. Poor Kenyans.Madeni jaman KenyaView attachment 1708366
Kwamba Suitomo Mitsui walianza ujenzi Tazara 2015! Na kwamba Ubungo imeanza kujengwa 2015! Anyway bando la kwako uko huru kuandika unachotaka. Ila ni aibu ujue. Unatufanya watz wote kuonekana tuna shida. Kama hujui kwa nini usiulize? Mkuu umeshindwa hata kwenda youtube uangalie mikataba ya ujenzi ilifanyika lini?Ipi hiyo iliyofunika,mbona huitaji ? unabwabwaja tuu.2015 tayari Wajapan walikuwa site Tazara na Ubungo,Wakorea walikuwa kwenye mobilization ya salander bridge na pesa zilikuwepo alizo mobilize JK
Tumiradi tembo mweupe twa Magu ni stori na kujisifia bila ku deliver,huyu alishadhibiti freedom of press and opposition ili wasifukue madudu ila bado ni mtu wa kulia lia since day one..tuonesheni reli basi.
Miaka 10 ya JK aliifungua nchi kwa barabara za lami sasa miaka 5 ya Magu hadi leo hii kigoma na kanda ya magharibi ni kuogelea kwenye matope tuu,imagine eti ndani ya 5yrs wamejenga less than 4500km of paved afu ndio wana jimwambafy,hadi Mkapa alianza kumchana huyo mtu wanu.
Mkuu, huyo jamaa katuvua nguo watz. Sijui kavuta za wapi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]2015 wajapan walikuwa ubungo tayar[emoji16][emoji16][emoji16], ni njaa au bangi umevuta.
Tumegundua njama za mabeberu akitoka. Hatutaki atoke. Panapo uhai tutampa tena nchi mpaka 2030. Kupitia issue ya corona tumegundua kumbe viongozi shupavu si wengi kama tunavyodhani. Tunataka anapotoka awe ametandika miundombinu yote ya msingi ili hata akifuata mwepesi kama yule Vasco Da Gama isiwe issue sana.Wewe nyumbu ufahamu kwamba hiyo kai alitumwa na boss wake marehemu.Subiri atoke utaona matusi atakayooga na wapambe njaa mnajifanya watetezi wake hamtakenua tena maana mtakuwa sio wanufaika ila saizi ni zamu yenu tambeni
Ubepari una mambo mengi. Usikute katika hayo mapato gvt inakunja hata chini ya 10%. Kumbuka sisi tulivyopigwa hasa miaka ya 2006-2015. Mara sijui TICTS, mara sijui private ICD...na bado mnakopa $million[emoji16][emoji16].
kwani shida ni nini!!!
Subiri 2025 uje tena na hiyo statement.Hakuna port in East Africa enye inaezashindana na Mombasa port ikifika kwa revenue.
Mkuu kuna bitter truth umeiongea hapo. Ukiwasikiliza wastaafu wengi (ukitoa Pinda na Mwinyi) unaweza dhani tayari Tz ni nchi iliyoendelea. Ukimsikiliza Warioba unaweza dhani akiwa PM nchi ilipaa sana kimaendeleo. Huyo "mchumi" Vasco Da Gama ndiyo kabisa haishiwi mipasho. Kuna wakati huwa nadhani wanazo defn za kwao wenyewe za maendeleo.Tatizo la Mkwere ni kupenda sifa sana.
Kuna ile slogan yake kwamba nchi za africa haziwezi bila misaada. Nilikuwa siupendi huu basi tu.
Miradi aliyofanya Magufuli for 5yrs pamoja na kwamba haijakamilika mingine but ishafunika ile aliyofanya kikwete for 10yrs.
Hawezi furahia hilo plus tax makusanyo yamedouble.
Kwa wastaafu pekee walio hai Magu anaweza wasikiliza ni Mwinyi na Pinda.
Nigeria nao ni failed state kama nyinyi. Halali yenu kujifananisha nao.Kenya is punching above its weight. Are you aware that the revenue that GOK gets from Mombasa port is equal to the revenue Nigerian government gets from all the ports in Nigeria. Remember Nigerian population is 5 times that of Kenya.