Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1000231170.jpg
 
As we grow old, huko mbele tunakuja kujutia baadhi ya maamuzi tuliyofanya under the influence of emotions.
Wengi hawapendi hii regime, mimi mmoja wapo, na pia yupo "Chamoto" ambaye ameamua kutoweka.

Anyway, kila la kheri.
hata mm nawatakia kila la kheri sikuwah kudhania hii nchi itakuja kua ya machawa kusifia na kunadi mambo ya uongo yaonekane ukweli 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
Kaka naona umerudi kama rebel. Kabila style😅
mm sio chawa ni mtu nilionyooka, if its white nitakwambia hii ni white na if its black i will tell u the same way, hakuna awamu iliwanyima wakenya raha kama awamu ya magufuli hata nyinyi munakiri kuhusu yule mtu
 
65 good years leo tunabadilisha uongo kua ukweli aiseeee, bunge zima hawana kazi zaidi ya kusifia rais 😆😆😆😆😆🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
sijibu maswali ambayo hayana tija huwez niuliza kuhusu wakenya wakat mm sio mkenya niulize kuhusu watanzania nitakujibu papo hapo
Swali linaeleweka acha kukwepa,
Wakunya wakisifia kwao ni sawa ila Mtanzania kusifia nchi yake ni chawa?
Kuna mtu umeona anasifia viongozi humu?
Huwezi ulizwa kuhusu mkunya ila unaleta products zao kwenye supermarket za Tanzania!
 
mm sio chawa ni mtu nilionyooka, if its white nitakwambia hii ni white na if its black i will tell u the same way, hakuna awamu iliwanyima wakenya raha kama awamu ya magufuli hata nyinyi munakiri kuhusu yule mtu
Unajua tatizo nn, vitu unavyokosoa leo vilikuwepo tangu hapo awali, nawewe ulikua front ku-counter. Swali ni Je, hizo product ndo leo umeziona? Au Kuna tatizo lingine. Unajua hata hawa wakenya wenyew wanashangaa.

Nikiri, wewe ni miongoni mwa waliofanya niipende na kuifatilia hii battle.
 
Walikuwa wanamuita Mu-yemen ghafla leo wanamuona ni Mtanzania na ni hero! 😂😂😂
 
Swali linaeleweka acha kukwepa,
Wakunya wakisifia kwao ni sawa ila Mtanzania kusifia nchi yake ni chawa?
Kuna mtu umeona anasifia viongozi humu?
Huwezi ulizwa kuhusu mkunya ila unaleta products zao kwenye supermarket za Tanzania!
kwakua yanayofanyika nchini ww huyaoni au unafkiri watu wamezibwa macho, so nikikosoa inageuka kua muasi? penye kusifia i will na penye kukosea i will
 
Unajua tatizo nn, vitu unavyokosoa leo vilikuwepo tangu hapo awali, nawewe ulikua front ku-counter. Swali ni Je, hizo product ndo leo umeziona? Au Kuna tatizo lingine. Unajua hata hawa wakenya wenyew wanashangaa.

Nikiri, wewe ni miongoni mwa waliofanya niipende na kuifatilia hii battle.
atleast kuna mambo sikuyajua, sikuwah kujua kua marcopolo zote nchini zinatoka AVA kenya badala yake nilijua zinatoka south africa, tanzania leo nchi ya 6 kwa umaskini duniani tumefikaje hapo mm sijui waulize machawa majibu wanayo kuna mambo mengi sana tumerudi nyuma ikiwemo mpaka below poverty line, tanzania kmeshika mkia kwenye nchi zenye furaha, tanzania imeshika mkia kwenye nchi zinazofanya kwenye demokrasia ambayo awali hatukifika hii level. sasa hvi kila
mtu chawa kuanzia msomi mpaka wajinga

leo tumefika hatua tunaua viwanda vya sukari kwa kutoa vibali kuingiza sukari kiholela, how its possible leo tunaagiza mchele kutoka india na pakistan for 16.5m usd kwa mwaka over 43billion

kwenye kusifia ntasifia na kwenye kukosoa i will do the same, uchawa ni cancer ya nchi hii, lakini wacha inyeshe tujue panapovuja
 
Kiwanda kipi cha sakari kimeuliwa? 😂😂😂
Tanzania nchi ya 6 kwenye nini? 😂😂😂
So shida yako ni marcopolo kutoka kunya badala ya South Africa!
 
Back
Top Bottom